Tundu Lissu: CHADEMA kuna tabia za ovyo zimeanza kujengeka kwa baadhi ya watu; ukikosolewa unasema umetukanwa unatuma chawa kushambulia. Kwanini?

Tundu Lissu: CHADEMA kuna tabia za ovyo zimeanza kujengeka kwa baadhi ya watu; ukikosolewa unasema umetukanwa unatuma chawa kushambulia. Kwanini?

Uzuri wa Lissu ukizingua huwa hakuachi, CHADEMA wanapenda kuikosoa CCM ila wao wakikosolewa sasa,utatukanwa matusi hujawai kusikia.They are always right!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
Ccm huwa wanapenda/kubali kukosolewa, sio ndio tunaona wakoasoaji wakitekwa, kuuwawa, kubambikiwa kesi, kuhujumiwa maeneo Yao ya kuwaingizia kipato nk? Ama unafumbia macho ukweli huo?
 
Me nahisi huu mvurugano katengeneza makonda
Hana ujanja Wala uwezo huo. Usitake kumpa point za mezani kwa kazi aliyoshindwa hata kipindi Cha dhalimu magu. Labda umsifie Makonda kwa siasa chafu na za kikatili kwa backup ya vyombo vya Dola.
 
Ccm huwa wanapenda/kubali kukosolewa, sio ndio tunaona wakoasoaji wakitekwa, kuuwawa, kubambikiwa kesi, kuhujumiwa maeneo Yao ya kuwaingizia kipato nk? Ama unafumbia macho ukweli huo?
Kolimba aliuliwa kwa kusema ukweli kuwa CCM imekosa mwelekeo
 
Nani wa kumfunga paka kengele. Mwenyekiti anakula kote kote huku akirudisha juhudi za mapambano ya makamu nyuma.

Makamu nae hana ujanja wa kumfunga paka kengele yakaja kumkuta ya Chacha Wangwe na kina Zito. Hivyo anaona cha kufanya ni kurusha madongo ya mbali na mafumbo ya hapa na pale kama hivi, lkn vyote havina impact yoyote.
Ni mawazo yako ila wenyewe CHADEMA wanasemaje
 
Attachments

  • Screenshot_20231030-133533.png
    Screenshot_20231030-133533.png
    71.2 KB · Views: 3
Pungu
Baada ya kuibuka Mnyukano ndani ya Chama na sintofahamu mbalimbali baina ya Viongozi wa chama na Baadhi ya Wanachama.

Jambo hilo limemuibua Makamu Mwenyekiti Bara akielezea sintofahamu hizo.

Hali hii imetokana na wiki kuibuka mnyukano kati ya Mariastella na martin na Ntobi kurushina maneno machafu mitandaoni mpaka kufikia kutoleana siri za chama.

Hata hivyo muheshimiwa Lissu kasema kwamba: "Ukiona mtu anashambulia kundi lolote linalofanya harakati za kutafuta haki nchini, huyo mtu anafanyakazi ya CCM, na anafanyakazi ya shetani"

Lissu aliendelea kusema kuwa: "Tunahitaji umoja wa makundi yote bila kubezana, lazima tujitofautishe na na kauli zinazofanana na CCM, ukikosolewa unasema umetukanwa, unakuwa na chawa wa kushambulia, CHADEMA lazima tukosolewe, kwa sasa tumekuwa chama kikubwa kuna vitabia vya hovyo vimeanza jengeka kwa baadhi ya watu, hatukuwa na hizi tabia huko nyuma"

Kwakuwa bado anaendele kuhutubia nitaleta Update kwa kadri ya maneno yake

View attachment 2797867
Za uongo utakuja kusutwa
 
Nani wa kumfunga paka kengele. Mwenyekiti anakula kote kote huku akirudisha juhudi za mapambano ya makamu nyuma.

Makamu nae hana ujanja wa kumfunga paka kengele yakaja kumkuta ya Chacha Wangwe na kina Zito. Hivyo anaona cha kufanya ni kurusha madongo ya mbali na mafumbo ya hapa na pale kama hivi, lkn vyote havina impact yoyote.
Bado hizi propaganda za kizee mnazitegemea Hadi karne hii?
 
Kuporomosha matusi kwa umahiri, bidii na ustadi mkubwa ndio utambulisho na ushujaa wa hii chama......

kama huna tabia ya mitusu basi bado hujaiva na utaonekana useless......
Matusi gani, maana kama ni matusi huwa ni chini ya 90% ya ukweli unaosemwa, ila inabidi kujifichia kwenye kichaka Cha matusi ili kufunika ukweli unaosemwa. Kama ni matusi huwa tunayaona wenyewe, na hakuna chama kinaweza kusema hawana tabia hiyo. Na ushahidi upo wazi.
 
ACHA kutulisha matango Poli mbona hata hao jambo TV wamekanusha uzushi wako munaanza kufanya kazi za mwanahalakati msiba
Itabdi uende kwenye Youtube ukaangalia hiyo Video vzuri usiwe unaropoka bila kujua chochote kaangalie hiyo video ya hotuba ya Lissu leo akiwa marekani..

Kapitie Handler ya Jambo Tv ya X ndo utaona kila kitu

Kingine Jaribu kubalance shobo..
Na kama unataarifa waliokanusha nionyeshe..
Ndo maana Mmeambiwa muache uchawa mnakera sana
 
Matusi gani, maana kama ni matusi huwa ni chini ya 90% ya ukweli unaosemwa, ila inabidi kujifichia kwenye kichaka Cha matusi ili kufunika ukweli unaosemwa. Kama ni matusi huwa tunayaona wenyewe, na hakuna chama kinaweza kusema hawana tabia hiyo. Na ushahidi upo wazi.
utaanza kuiporomosha muda si muda.....

kwanza wenye akili makini ndani ya chadema na machekbob wa town wameshamstukia, watampuuza tu. wanajua ametumwa huyo....
 
Back
Top Bottom