DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
- Thread starter
- #41
Hahah ila hapo anatafutwa Mwwnyekiti tuhao wana set stage tu, ili patriotic na pupet waje wagongane vizri kwa uwazi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahah ila hapo anatafutwa Mwwnyekiti tuhao wana set stage tu, ili patriotic na pupet waje wagongane vizri kwa uwazi
Nyie ni vimada wa Bashite? Naona mnamwona kama mfalme wenu. Hii kauli ina nini cha ajabu? Nendeni kamwambieni huyo bwana wenu aliyewatuma kuwa siku zake zinahesabika..Me nahisi huu mvurugano katengeneza makonda
Hichi ndo Makamu mwenyekiti alichokilaani UCHAWA, kubali kukosolewa na nyinyi ndo mnaharibu chama washenzi nyinyi...Hizi tabia zimekuwa KeroNyie ni vimada wa Bashite? Naona mnamwona kama mfalme wenu. Hii kauli ina nini cha ajabu? Nendeni kamwambieni huyo bwana wenu aliyewatuma kuwa siku zake zinahesabika..
unaona mbali kama Tai vile 😜Hahah ila hapo anatafutwa Mwwnyekiti tu
Moyo wa mtu msitu. Hapa unaweza kujifanya kupinga mbele ya bavicha wenzako, lkn huko ulipo akili na moyo vinakubaliana na kile nlichoandika.Bado hizi propaganda za kizee mnazitegemea Hadi karne hii?
ni mapema mno aiseMe nahisi huu mvurugano katengeneza makonda