Tundu Lissu: CHADEMA kuna tabia za ovyo zimeanza kujengeka kwa baadhi ya watu; ukikosolewa unasema umetukanwa unatuma chawa kushambulia. Kwanini?

Me nahisi huu mvurugano katengeneza makonda
Nyie ni vimada wa Bashite? Naona mnamwona kama mfalme wenu. Hii kauli ina nini cha ajabu? Nendeni kamwambieni huyo bwana wenu aliyewatuma kuwa siku zake zinahesabika..
 
Hichi ndo Makamu mwenyekiti alichokilaani UCHAWA, kubali kukosolewa na nyinyi ndo mnaharibu chama washenzi nyinyi...Hizi tabia zimekuwa Kero
 
Bado hizi propaganda za kizee mnazitegemea Hadi karne hii?
Moyo wa mtu msitu. Hapa unaweza kujifanya kupinga mbele ya bavicha wenzako, lkn huko ulipo akili na moyo vinakubaliana na kile nlichoandika.
 
Back
Top Bottom