Tundu Lissu: CHADEMA kuna tabia za ovyo zimeanza kujengeka kwa baadhi ya watu; ukikosolewa unasema umetukanwa unatuma chawa kushambulia. Kwanini?

Uzuri wa Lissu ukizingua huwa hakuachi, CHADEMA wanapenda kuikosoa CCM ila wao wakikosolewa sasa,utatukanwa matusi hujawai kusikia.They are always right!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
Ccm huwa wanapenda/kubali kukosolewa, sio ndio tunaona wakoasoaji wakitekwa, kuuwawa, kubambikiwa kesi, kuhujumiwa maeneo Yao ya kuwaingizia kipato nk? Ama unafumbia macho ukweli huo?
 
Me nahisi huu mvurugano katengeneza makonda
Hana ujanja Wala uwezo huo. Usitake kumpa point za mezani kwa kazi aliyoshindwa hata kipindi Cha dhalimu magu. Labda umsifie Makonda kwa siasa chafu na za kikatili kwa backup ya vyombo vya Dola.
 
Ccm huwa wanapenda/kubali kukosolewa, sio ndio tunaona wakoasoaji wakitekwa, kuuwawa, kubambikiwa kesi, kuhujumiwa maeneo Yao ya kuwaingizia kipato nk? Ama unafumbia macho ukweli huo?
Kolimba aliuliwa kwa kusema ukweli kuwa CCM imekosa mwelekeo
 
Ni mawazo yako ila wenyewe CHADEMA wanasemaje
 
Pungu
Za uongo utakuja kusutwa
 
Bado hizi propaganda za kizee mnazitegemea Hadi karne hii?
 
Kuporomosha matusi kwa umahiri, bidii na ustadi mkubwa ndio utambulisho na ushujaa wa hii chama......

kama huna tabia ya mitusu basi bado hujaiva na utaonekana useless......
Matusi gani, maana kama ni matusi huwa ni chini ya 90% ya ukweli unaosemwa, ila inabidi kujifichia kwenye kichaka Cha matusi ili kufunika ukweli unaosemwa. Kama ni matusi huwa tunayaona wenyewe, na hakuna chama kinaweza kusema hawana tabia hiyo. Na ushahidi upo wazi.
 
ACHA kutulisha matango Poli mbona hata hao jambo TV wamekanusha uzushi wako munaanza kufanya kazi za mwanahalakati msiba
Itabdi uende kwenye Youtube ukaangalia hiyo Video vzuri usiwe unaropoka bila kujua chochote kaangalie hiyo video ya hotuba ya Lissu leo akiwa marekani..

Kapitie Handler ya Jambo Tv ya X ndo utaona kila kitu

Kingine Jaribu kubalance shobo..
Na kama unataarifa waliokanusha nionyeshe..
Ndo maana Mmeambiwa muache uchawa mnakera sana
 
utaanza kuiporomosha muda si muda.....

kwanza wenye akili makini ndani ya chadema na machekbob wa town wameshamstukia, watampuuza tu. wanajua ametumwa huyo....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…