Tundu Lissu: CHADEMA tumeanza kupokea Ruzuku

Kumbe NEC hawakutangaza kura za ushindi 😳 Kwahy mpaka sasa hatujui JPM alipata kura ngapi 😂
 
Kumbe NEC hawakutangaza kura za ushindi 😳 Kwahy mpaka sasa hatujui JPM alipata kura ngapi 😂
Absolutely, Yes...

Kwa mujibu wa Tundu Lissu akitumia website ya NEC na government gazette (Kwa sababu ni lazima matokeo ya uchaguzi yawe gazetted) as primary source ya taarifa hii, mpaka sasa hakuna matokeo ya u - Rais Kwa uchaguzi mkuu wa 2020 ya Jimbo Kwa Jimbo kuonesha alipata kura ngapi..

Ambacho Kiko published tayari kwa sasa ni matokeo ya kura za wabunge tu Jimbo Kwa Jimbo Tanzania bara na visiwani. Na hata takwimu hizo za kura za wabunge zina kasoro kubwa mno kwa sababu kuna ziada ya kura fake zaidi milioni tatu plus ya kura zilizopigwa ukikinganisha na idadi ya wapiga kura halisi walioandikishwa...

Na kwa mujibu wa sheria, ni lazima matokeo yawe published both in the NEC website & the gvt gazette within three months after the presidential election results had been announced..

Lakini leo ni muda gani?......... Ni mwaka wa tatu sasa...!!!
 
Maana yake, Sasa akina Halima Mdee ni Wabunge Rasmi wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Viti Maalum (CHADEMA). Ahahahahah!
Nisikie tena mtu anawaita COVID 19. Hakuna mkate mgumu mbele ya chai! Shubami!
 
Jamani mbona kama vile nilisikia jamaa amepata kura 17m+ hivi au mm ndo sielewi.?
 
Maana yake, Sasa akina Halima Mdee ni Wabunge Rasmi wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Viti Maalum (CHADEMA). Ahahahahah!
Nisikie tena mtu anawaita COVID 19. Hakuna mkate mgumu mbele ya chai! Shubami!
Roho inakuuma
 
😅😅😅hapakuwa na uchaguzi
 
Wala! Fuatilia michango yangu humu. Tangu 2020 niliwashauri wachukue ruzuku. Watu humu ukiwemo wewe mkajiapiza hamtachukua ruzuku. Sasa Kiko wapi? Acheni ushamba wa kuzira zira!
Hata hueleweki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…