- Thread starter
- #201
Wacha tuile ni wakati wetu.Nakuonea huruma sana. Asali tamu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wacha tuile ni wakati wetu.Nakuonea huruma sana. Asali tamu.
Hongereni.Wacha tuile ni wakati wetu.
Kwani sheria ya uchaguzi inasemaje..??Jamani mbona kama vile nilisikia jamaa amepata kura 17m+ hivi au mm ndo sielewi.?
Sio wakupuuza Bali ni li Fara tu furani jichawiWewe ni wa kupuuza tuu
Tafuta taarifa na ujue kigezo cha chama cha siasa kupokea ruzuku ni nini Kwa mujibu wa sheria..Maana yake, Sasa akina Halima Mdee ni Wabunge Rasmi wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Viti Maalum (CHADEMA). Ahahahahah!
Nisikie tena mtu anawaita COVID 19. Hakuna mkate mgumu mbele ya chai! Shubami!
Kama siyo mvua, utakuwa upepo umetikisa... Maana imeandika NO SIGNAL.Ni jambo jema
Mbowe: Wanachama wenzangu wa CCM
Hizo hela inaonyehsa mbowe alikuwa anazimezea mate kinomaNi jambo jema
Mbowe: Wanachama wenzangu wa CCM
Ahahahahaha!Tafuta taarifa na ujue kigezo cha chama cha siasa kupokea ruzuku ni nini Kwa mujibu wa sheria..
Kina Halima Mdee hawana uhusiano na ruzuku ya CHADEMA. Kwa lugha rahisi, ni kuwa, CHADEMA hawapati ruzuku Kwa kigezo cha ubunge wa viti maalumu vya hao kina mama wakiongozwa na Halima Mdee..!!
Kina Halima Mdee hata wakiondolewa bungeni kesho, CHADEMA still kitaipata hiyo ruzuku, shubamit wewe..!!
Sababu ya mgogoro wao na CHADEMA ni kufoji nyaraka na kujihalalishia ubunge huo kinyume Cha sheria na taratibu za chama na za nchi...
In a simple language, one can say, those are criminals 100%... !!
Duh bc sawaKwani sheria ya uchaguzi inasemaje..??
Inasema, matokeo ya u - Rais yakishatangazwa hakuna chombo wala mtu aweza kuhoji popote na kuanzia saa hiyo hiyo aliyetangazwa anakuwa Rais...!!
Kwa hiyo, dikteta anaweza kuamuru mwenye mamlaka (Kwa sisi TZ ni M/Kiti wa tume ya uchaguzi) atangaze matokeo yoyote tu hata kama ya kubumba tu (yaani yasiyo halisi) na game inaishia hapo..
Hiki ndicho kilichotokea mwaka 2020. Jamaa (John P. Magufuli) hakushinda kupitia sanduku la kura. Alipigwa na kukataliwa vibaya sana na wananchi. Tundu Lissu wa CHADEMA alishinda Kwa kishindo kikuu...
Na za ndani kabisa zinasema, hata kwenye ubunge CCM walipata majimbo yasiyozidi 25 Tanzania nzima na ndiyo chanzo cha mgogoro wa kushindwa kutangazwa kura halisi za u - Rais hadi leo Kwa sababu hawana takwimu halisi..!!