Pre GE2025 Tundu Lissu: Chama hakitaokolewa na mtu ambaye ameshakiongoza kwa miaka 21. Namuokoa Mbowe asiwe 'Mugabe'

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Well
 
Napenda apewe ili atofautishe theory and practical on knowing things!!

Mambo mengi anayoyaongea sivyo yalivyo apewe akajionee
Wafuasi wanaamini kwamba:

1. Akipata hiko cheo ataleta katiba mpya kutoka CCM,

2. Ataleta wanachama wengi ikiwemo diaspora wote nje ya nchi,

3. Kwamba akiwa mwenyekiti nchi za magharibi zitamsaidia yeye kuitoa CCM madarakani,

4. Kwamba akiwa yeye atafanya mobilization nchi nzima kuitoa CCM madarakani!!.

5. Wanaamini kwamba akishinda tuu chadema basi na ikulu kachukua

6. Wafuasi wake wanajiita gen Z!! Kwamba watapiga kura kwake kuliko lowasa mwaka 2015!!. Na kwa msingi huo lazma ashinde!!
 
Napenda apewe ili atofautishe theory and practical on knowing things!!

Mambo mengi anayoyaongea sivyo yalivyo apewe akajionee
Wafuasi wanaamini kwamba:

1. Akipata hiko cheo ataleta katiba mpya kutoka CCM,

2. Ataleta wanachama wengi ikiwemo diaspora wote nje ya nchi,

3. Kwamba akiwa mwenyekiti nchi za magharibi zitamsaidia yeye kuitoa CCM madarakani,

4. Kwamba akiwa yeye atafanya mobilization nchi nzima kuitoa CCM madarakani!!.

5. Wanaamini kwamba akishinda tuu chadema basi na ikulu kachukua

6. Wafuasi wake wanajiita gen Z!! Kwamba watapiga kura kwake kuliko lowasa mwaka 2015!!. Na kwa msingi huo lazma ashinde
 
Napenda apewe ili atofautishe theory and practical on knowing things!!

Mambo mengi anayoyaongea sivyo yalivyo apewe akajionee
Una vituko ww,kumbuka Lissu ni mwenyekiti mwenza wa hicho chama cha Kichaga.
 
Unamtaja mbowe yupi? Yule aliyekuokoa kufa Dodoma,au mwingine?
 
3 & 4 aliwa serious anaweza tena sana,kumbuka kuwa vyama vingi vikongwe Afrika vimetoka kwa njia hiyo sio kwa sanduku la kura.Mfano mzuri ni hapo Kanu ya hapo Kenya.
 
Uchaguzi huu,usimamishwe ,kupisha uchaguzi mkuu!
Mkiendelea chadema,itasabaratika
 
Sasa huyu siri za chama si zitakua sio siri tena ila huyu jamaa anajua sana kubishana mahakaman ni sehem sahihi sana kwake
Siri zipi? na za nini? kwa manufaa ya nani?uvundo ukizidi ndani mwisho hutapakaa nje na kila mtu atajionea uchafu uliokuwa unafagiliwa na kulindikwa uvunguni, jifunze kuwa msafi
 
Itakuwa vizuri ili wananchi wawe wanaangalia taasisi badala ya mtu. Mtu anaweza akaondoka mda wowote lakini taasisi itaishi.
Sana mkuu!
.
Ona Maalimu Seif alipohama alihama na CUF yake, na alipokufa ndio kabisa kafa nayo
 
Sawa chuma chetu tupo na wewe CCM wamelala siku wakiamka watakukuta upo Ikulu.
 
Nilichomuelewa ni kuwa CDM kimepoteza mvuto kwa wananchi. Ndio maana hakujisumbua kupiga kura uchaguzi uliopita kwa sababu alijua kwa vyo vyote vile CDM itashindwa maana wananchi hawana imani nacho. Tutasikia mengi.

Amandla...
 
Piga spana mkuu ikifika uchaguzi hizi spana wapiga kura wa chadema zitakuwa zimewaingia kisawa sawa, ni aidha upewe wewe mwenyekiti chadema iimarike au apewe Mbowe ife kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…