Ben Zen Tarot
JF-Expert Member
- Dec 13, 2014
- 4,298
- 7,612
Obama anavuta bangi
Kwani Trump hunyoaje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani Trump hunyoaje?
Well"Chama hakiwezi kuokolewa na mtu aliyekiongoza kwa miaka 21"
-
Mgombea nafasi ya Uenyekiti Chadema Tundu Lissu amesema hatua yake ya kutaka uongozi wa chama hicho unalenga kulinda heshima ya kisiasa ya Mwenyekiti wa sasa Freeman Mbowe.
-
Amesema hayo katika mahojiano maalum na Mwandishi wa BBC
View attachment 3195983
Wazee wa vijisenti vya mboweNdio mnavyo jidanganya ma keybord worrior?
Labda wapiga kura wa machame!Wapiga kura washakwambia hawakupi chama mzee, so anza kujipanga kwa maisha mapya ya kisiasa baada ya uchaguzi.
Wafuasi wanaamini kwamba:Napenda apewe ili atofautishe theory and practical on knowing things!!
Mambo mengi anayoyaongea sivyo yalivyo apewe akajionee
Wafuasi wanaamini kwamba:Napenda apewe ili atofautishe theory and practical on knowing things!!
Mambo mengi anayoyaongea sivyo yalivyo apewe akajionee
Una vituko ww,kumbuka Lissu ni mwenyekiti mwenza wa hicho chama cha Kichaga.Napenda apewe ili atofautishe theory and practical on knowing things!!
Mambo mengi anayoyaongea sivyo yalivyo apewe akajionee
3 & 4 aliwa serious anaweza tena sana,kumbuka kuwa vyama vingi vikongwe Afrika vimetoka kwa njia hiyo sio kwa sanduku la kura.Mfano mzuri ni hapo Kanu ya hapo Kenya.Wafuasi wanaamini kwamba:
1. Akipata hiko cheo ataleta katiba mpya kutoka CCM,
2. Ataleta wanachama wengi ikiwemo diaspora wote nje ya nchi,
3. Kwamba akiwa mwenyekiti nchi za magharibi zitamsaidia yeye kuitoa CCM madarakani,
4. Kwamba akiwa yeye atafanya mobilization nchi nzima kuitoa CCM madarakani!!.
5. Wanaamini kwamba akishinda tuu chadema basi na ikulu kachukua
6. Wafuasi wake wanajiita gen Z!! Kwamba watapiga kura kwake kuliko lowasa mwaka 2015!!. Na kwa msingi huo lazma ashinde!!
sio lazima, ila ujue chadema inamfia mbowe soon kabla ya oktober, kitakuwa kama cuf tuHata aseme nini lkn hapati uenyekiti
Siri zipi? na za nini? kwa manufaa ya nani?uvundo ukizidi ndani mwisho hutapakaa nje na kila mtu atajionea uchafu uliokuwa unafagiliwa na kulindikwa uvunguni, jifunze kuwa msafiSasa huyu siri za chama si zitakua sio siri tena ila huyu jamaa anajua sana kubishana mahakaman ni sehem sahihi sana kwake
Kwa sababu Mbowe ni mwanaccmHivi ni kwa nini wapenzi wa ccm wanampenda Mbowe kwa ghafla ghafla sana hivi? ni nini kipo ndani au nyuma ya pazia la ccm? Nijuzeni tafadhari...
Sana mkuu!Itakuwa vizuri ili wananchi wawe wanaangalia taasisi badala ya mtu. Mtu anaweza akaondoka mda wowote lakini taasisi itaishi.
Ubelgiji wanakaa wahuni wa kikongomani😁aache kunyoa kihuni
Sawa chuma chetu tupo na wewe CCM wamelala siku wakiamka watakukuta upo Ikulu.Lissu ameendelea kumkalia kooni Freeman Mbowe, safari hii ameiambia BBC anataka kumuokoa Mbowe asitoke kwenye chama kwa aibu kama Mugabe.
---
View attachment 3195956
Chama hakiwezi kuokolewa na mtu aliyekiongoza kwa miaka 21"
Mgombea nafasi ya Uenyekiti Chadema Tundu Lissu amesema hatua yake ya kutaka uongozi wa chama hicho unalenga kulinda heshima ya kisiasa ya Mwenyekiti wa sasa Freeman Mbowe.
Amesema hayo katika mahojiano maalum na Mwandishi wa BBC Sam Awami
Nilichomuelewa ni kuwa CDM kimepoteza mvuto kwa wananchi. Ndio maana hakujisumbua kupiga kura uchaguzi uliopita kwa sababu alijua kwa vyo vyote vile CDM itashindwa maana wananchi hawana imani nacho. Tutasikia mengi.Lissu ameendelea kumkalia kooni Freeman Mbowe, safari hii ameiambia BBC anataka kumuokoa Mbowe asitoke kwenye chama kwa aibu kama Mugabe.
---
Chama hakiwezi kuokolewa na mtu aliyekiongoza kwa miaka 21"
Mgombea nafasi ya Uenyekiti Chadema Tundu Lissu amesema hatua yake ya kutaka uongozi wa chama hicho unalenga kulinda heshima ya kisiasa ya Mwenyekiti wa sasa Freeman Mbowe.
Amesema hayo katika mahojiano maalum na Mwandishi wa BBC, Sammy Awami
Soma ~ Lissu: Mbowe alivyotoka gerezani alibadilika, akasema hawezi kutuambia kila kitu alichozungumza na Rais
Piga spana mkuu ikifika uchaguzi hizi spana wapiga kura wa chadema zitakuwa zimewaingia kisawa sawa, ni aidha upewe wewe mwenyekiti chadema iimarike au apewe Mbowe ife kabisaLissu ameendelea kumkalia kooni Freeman Mbowe, safari hii ameiambia BBC anataka kumuokoa Mbowe asitoke kwenye chama kwa aibu kama Mugabe.
---
Chama hakiwezi kuokolewa na mtu aliyekiongoza kwa miaka 21"
Mgombea nafasi ya Uenyekiti Chadema Tundu Lissu amesema hatua yake ya kutaka uongozi wa chama hicho unalenga kulinda heshima ya kisiasa ya Mwenyekiti wa sasa Freeman Mbowe.
Amesema hayo katika mahojiano maalum na Mwandishi wa BBC, Sammy Awami
Soma ~ Lissu: Mbowe alivyotoka gerezani alibadilika, akasema hawezi kutuambia kila kitu alichozungumza na Rais
Worrior ndio nini mjuba?Ndio mnavyo jidanganya ma keybord worrior?