Akakiokoe NCCR, asituchoshe.Lissu ameendelea kumkalia kooni Freeman Mbowe, safari hii ameiambia BBC anataka kumuokoa Mbowe asitoke kwenye chama kwa aibu kama Mugabe.
---
Chama hakiwezi kuokolewa na mtu aliyekiongoza kwa miaka 21"
Mgombea nafasi ya Uenyekiti Chadema Tundu Lissu amesema hatua yake ya kutaka uongozi wa chama hicho unalenga kulinda heshima ya kisiasa ya Mwenyekiti wa sasa Freeman Mbowe.
Amesema hayo katika mahojiano maalum na Mwandishi wa BBC, Sammy Awami
Soma ~ Lissu: Mbowe alivyotoka gerezani alibadilika, akasema hawezi kutuambia kila kitu alichozungumza na Rais
Kama kwenye uenyekiti tu hataki kung'atuka , akiwa raisi si ndio atafia madarakani
Pona ya CHADEMA iko kwa Mbowe. Kwamba aache Demokrasia ichukuwe mkondo na iwapo atashindwa akubali matokeo. Lisu naye akishondwa akubali matokeo lakini uchaguzi uwe wa huru na Haki ili watoe somo kwa CCM. Vinginevyo wasahau kuungwa mkono na wananchi.Bado siamini kama CHADEMA itatoka salama kwenye hii civil war. Haijalishi mshindi ni nani.
Wewe unamwonaje Tundu Lissu..?Napenda apewe ili atofautishe theory and practical on knowing things!!
Mambo mengi anayoyaongea sivyo yalivyo apewe akajionee
Siri Gani za chama mkuu? Hayo mambo ya masiri ndo yameifikisha nchi hapa ilipo chini ya maccmSasa huyu siri za chama si zitakua sio siri tena ila huyu jamaa anajua sana kubishana mahakaman ni sehem sahihi sana kwake
Haahaa mbowe hata sera Hana, labda ni Siri mpaka kwenye mkutano mkuuMajibu ya Mbowe yatakuwa nilimpa nauli Lissu ya kwenda Ubeligiji
PointLissu ameendelea kumkalia kooni Freeman Mbowe, safari hii ameiambia BBC anataka kumuokoa Mbowe asitoke kwenye chama kwa aibu kama Mugabe.