Tundu Lissu: DCI Kingai kaniandikia barua ya wito wa kuripoti ofisini kwake. Nipo nje ya nchi, wiki ijayo narudi kumkabili

Hii nchi hii hata Kenya tu hapo jirani hatuigi hata democracy ya jirani tu hapo.
 
Lisu sio ngombea uraisi tu bali ni next president, jeshi la Police lina askari wengi wazalendo wanashangaa sana hizi mambo zimewagawa sana.
Huko jeshini ndio usiseme.
Wajeda wameapa kuilinda katiba ya nchi.
Kama mna kumbukumbu mtakumbuka.
 
Mnataka kugha za kubembeleza ili iweje ?
 
duh aiseee maigizo ya wapenda haki,demokrasia yamedumu kwa muda mfupi sana
 
Huko jeshini ndio usiseme.
Wajeda wameapa kuilinda katiba ya nchi.
Kama mna kumbukumbu mtakumbuka.
Hawana akili , wakati hawa polisi wanatumika kuthibiti watu wanaotetea utu wao , viongozi wao wanawaibia michango yao ya mazishi!!
Hakuna jeshi hapo linahitaji kupanguliwa!
 
Suala bandari Hapana Hapana Hapana.....warekebishe vipengele vyote vyenye utata
Nenda basi kwa mwanasheria mkuu umuoneshe hivyo vifungu.

Wewe hodari sana, tetea nchi yako isiuzwe, peleka vifungu. Unasubiri nini?
 
Ukiona Ivo inamaanisha serikal inazingua, na chawa wa serikal wameshindwa Kwa hoja. Ni wazi Kuna kitu kisicho na tija chanya Kwa Taifa.

Mam, acha izo
 
Hii safi sana, tulikuwa tunasema humu, kama anayake akayaongee mahakamani.

bado na Mbowe, si ndivto wanavyotaka?
Mtetezi wa waovu upo kazini. Unaunga mkono Wizi na ufisadi unaotaka kufanywa na DP world kwenye bandari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…