Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama hiyo barua wamerudi nayo, hii picha ya barua hiyo imepatikanaje?View attachment 2692232
Baada ya mawakili Mwabukusi, Madeleka & Ruge Nshala, sasa ni zamu yangu. Leo DCI Kingai ametuma watu kuleta barua ya kuripoti ofisini kwake. Wamerudi nayo baada ya kujulishwa niko nje ya nchi. Nitarudi wiki ijayo kuwakabili. Madalali wa bandari zetu wasitutishe!
Tundu Lissu
Julai 18, 2023
View attachment 2692285
Barua ya wito wa Polisi
====
Mnamo jana, Julai 17 Mdau wa JF alidokeza kuwa Lissu na Mbowe walikuwa wanasakwa DOKEZO - Lissu na Mbowe wanatafutwa kukamatwa lakini Lissu aliifahamisha JF "Sijazisikia tetesi hizo. Kama ni za kweli, itakuwa ni mara ya kwanza kwa mimi au Mwenyekiti kukamatwa?"
You mean you can't defend yourself? You must be too weak fella!.Lissu is one the people who were born so the rest we can live/survive on this planet.
Hivi Rais ni ni nani yeye ?Rais anakwenda chooni anakata gogo kama sisi tu.Yeye asisemwe ni nani?View attachment 2692232
Baada ya mawakili Mwabukusi, Madeleka & Ruge Nshala, sasa ni zamu yangu. Leo DCI Kingai ametuma watu kuleta barua ya kuripoti ofisini kwake. Wamerudi nayo baada ya kujulishwa niko nje ya nchi. Nitarudi wiki ijayo kuwakabili. Madalali wa bandari zetu wasitutishe!
Tundu Lissu
Julai 18, 2023
View attachment 2692285
Barua ya wito wa Polisi
====
Mnamo jana, Julai 17 Mdau wa JF alidokeza kuwa Lissu na Mbowe walikuwa wanasakwa DOKEZO - Lissu na Mbowe wanatafutwa kukamatwa lakini Lissu aliifahamisha JF "Sijazisikia tetesi hizo. Kama ni za kweli, itakuwa ni mara ya kwanza kwa mimi au Mwenyekiti kukamatwa?"
Ccm ni majizi ya rasilimali za TaifaVibaraka wa mabeberu nyie inje za inje mnatafuta nini mmeacha jengo lenu la mchongo kutwa inje za inie hopeless kabisa nyie.
Mnapinga uwekezaji ili tuendelee kuwa tegemezi kwa hao mabeberu wenu🚮
Wewe sio mtanzania, hata kuandika kiswahili hujui, jinga wewe rudi kwa nchi yako!Vibaraka wa mabeberu nyie inje za inje mnatafuta nini mmeacha jengo lenu la mchongo kutwa inje za inie hopeless kabisa nyie.
Mnapinga uwekezaji ili tuendelee kuwa tegemezi kwa hao mabeberu wenu🚮
Lazima iwe shida Maana tumeliwa vuguvugu na Mungu alisema mtu achague kuwa baridi au moto kama ni vuguvugu atatutapika. Sasa sie tunamuomba Mungu na watumishi wa Mungu akina Mwakasege na wengineo wengi huku wengine wakiabudi mwenge na mizimu. Ndio maana mambo hayaendi.Huu mwenge unatakiwa itupwe mbali ndio inafanya Watanzania watawaliwe na mazuzu..usikute ndio kimbola tunapigwa watanzani tunakosa umoja wa kusimamia mambo yetu.
wewe bwege bonge la tahira yani,Vibaraka wa mabeberu nyie inje za inje mnatafuta nini mmeacha jengo lenu la mchongo kutwa inje za inie hopeless kabisa nyie.
Mnapinga uwekezaji ili tuendelee kuwa tegemezi kwa hao mabeberu wenu🚮
Yupo juu ya makalioNani alikuambia mgombea urais yupo juu ya sheria ?