TUNDU LISSU dhidi ya CCM +Mbowe+Chawa wa Mbowe +Vyombo vya Usalama Nchini !!.Nyuma ya Lissu Kuna nguvu ya KIUNGU !!.

Kitendo Cha Lissu kupona kuuwawa wakati wa utawala wa Magu, ile ni mkono wa Mungu tu,,

Jamani tuamini Mungu yupo na anatenda, Amen!
 
Ukiwa Hauna D mbili, unaweza kushupaza Shingo tu na kumchukulia LISSU kama mtu wa kawaida sana .

Sasa Iko hivi, Mungu muumbaji humtegemeza MTU mwenye HAKI , Kwa Mungu ukiwa mwenyé HAKI na Usokua na MAWAA utatengenezwa kua Very powerful kuliko kitu chochote kile.

Silaha pekee alizonazo LISSU
1-Akili yake, ( wajinga na wapumbavu mtaona wivu) Ukweli ni kua LISSU ana akili nyingi sana , ana Uelewa mwingi mnoo wa masuala mbalimbali mengi ya kidunia , Uwezo Huu Mkubwa wa Akili, Kwa watu wa aina yake Dunia yote huwafanya wajiamini sana, na Jeuri dhidi ya uozo wa namna yoyote Ile , hivo huonekana Wana Jeuri, kiburi ,kujisikia lkn watu wanaowaona MTU aina ya LISSU kwa Fikra hizo ni wale watu WAVIVU, Wazembe, wajinga na wapumbavu, wanaodhulumu, Wezi na Mafisadi .

2-Kuipenda Haki Kwa Maneno na Matendo , LISSU maishani mwake hapendi kuona MTU anaonewa au yeye anaonewa , na hili linamfanya AINULIWE NA MUNGU SIKU HADI SIKU .

3-Mungu yupo pamoja naye, Mungu akiwa pamoja Nawewe, hakuna MTU atakayekua Juu yako ... hamnaaaa hamnaaaa!!.

Tazama Nguvu ya maajabu aliyonayo LISSU!!.

1-Kesi zake zote alosimamia Kwa wengine au Yeye, Alizishinda.

2-Mara zote alipoishauri Nchi kupitia Bunge ,na Nchi ikashupaza shingo, Tumepelekwa Mahakaman na kulipa mabilioni .

3-AMEPIGWA RISASI 38 ,Jamaa yuko HAI.

4-Uchaguzi 2020, mputamputa alowapa CCM nadhani Kila Mmoja aliushuhudia.

5-Kagombea Uenyekiti Chadema Taifa, yaan from nowhere, Jamaa anabadili maamuzi, hajui nyuma yake nani atamuunga mkono , hajui Mkutano Mkuu Yuko na nani, Jamaa anachukua Fomu na hatimaye Licha ya mashambulizi ya Mbowe, CCM, Dola , JAMAA ANAWASHINDA ASUBUHI KWEUPE

6/Kaanzisha Operation ya NORENE , Chama kakuta hakuna hata Mia, kelele za kumkwamisha zikawa nyingi , Jamaa kasema twendeni, twenden, Tazameni wenyewe ,Bila hata Msanii Mmoja, KANDA YA NYASA KAKIWASHA KWELIKWELI, SASA YUKO KANDA YA KUSINI, ANAKIWASHA KWELIKWELI, MIKUTANO INAJAAA !!.

7/Wameibuka Hawa Wezi wa G-55 , Hawa ni mradi wa Mbowe , Mbowe anatengeneza hiii vita ili mradi tu kuonyesha CHADEMA haielewean, Ina migogoro, na ninaamini wataanza kukimbilia Mahakamani kusaidia. Na MAHAKAMA ZA CCM.

Habari njema bado ni kwamba LISSU ATASHIDA TUU ,HAMNA NAMNA YA YEYE KUSHINDWA KWAKUA IMEAMRIWA HIVO , na hapa ni washauri wooote wanaoutaka Ubunge kupitia CHADEMA, tulieni, unganeni na LISSU mtaoata Ubunge majimbo kea majimbo !!.

Swali ni je LISSU anapata wapi nguvu hii?? LISSU anapata wapi Uzoefu wa namna hii??....... Kuna MTU ambaye bado hajajua tu NYUMA YA LISSU KUNA NGUVU YA KIUNGU ?.

HOJA ZA LISSU ZIKO WAZI, SHERIA ZA MFUMO WA UCHAGUZI KWA SASA HAZIFAI KATIKA TANZANIA YA VYAMA VINGI !!. ZIBADILISHWE.

👉JARIBIO la kumuua litamfanya Azidi kupendwa

👉G 55 na Makesi Mahakaman ndo yanazidi Kumfanya Lissu apendwe na watu Kwasababu watanzania watajua ni kwann Wanamzonga zonga sana .

Yaan LISSU namna yoyote ya kukabiliana naye ,unafanya LISSU Azidi kua maarufu na kupendwa
Kabla ya KIFO cha mtu fulani. Nilimuuliza Mungu "umetupa nchi hii nzuri ili tuishi maisha ya hovyo haya hadi lini?". Majibu ya Mungu wakati mwingine yanatisha jamani.
 
Nishasema sana.

Huyo Mungu wenu mnayemtaja hapa, hana akili.

Laigwanaan Tundu sio Mungu ni Dikteta lililokubuhu.
 
miungu au nyungu gentleman? :NoGodNo:

CCM mtambue kuwa kuna roho ya ujasiri kama ile ya Daudi na Joshua imeshaingia Tanzania .

CCM isitegemee tena dhulma kubaki madarakani . Ni bora kufanya marekebisho ya kisheria hata kama CCM itapata ushindi mdogo lakini nchi itakua salama.

Kenya enzi za KANU ,katiba na sheria mbovu ndizo zilizokuwa zinaleta Ukabila na hata ugaidi . Leo Kenya ukabila umeanza kupotea kabisa kwa sababu ya Katiba nzuri zinazowafanya wananchi wote kuwa kitu kimoja dhidi ya uonevu na ubaguzi na ufisadi .

Wakati Kenya wanaondokana ukabila sisi Tanganyika tunaimarisha ukabila unaoitwa CCM yaani kama wewe sio CCM basi huna haki hata ya kupiga kura.
 
toka hapa,
yaani kachama ka vibaka na matapeli wa kisiasa ndio kaitishe ccm na vyama vingine vya suisa zaidi ya20 nchini? mbona unachekesha kivivu gentleman? :pedroP:
 
Sasa hapo mbowe ameingia je? Hata kama unamchukia mtu siyo lazima kumzushia hata yasiyomhusu.

Mbowe angeutaka huo uwenyeketi hata lissu mwenyewe asingetoboa. Usiyoyajua ni sawa na usiku wa giza.

Wapuuzi ni hawa wanaondeleza mipasuko ya kipuuzi ndani ya chama kipindi hiki muhimu kinachohitaji mageuzi makubwa ndani ya nchi yetu.

Wanachotetea ni matumbo yao tu. Ikiwezekana Lissu awaondoa tu ndan ya chama kwa lazima wawepo? Wakajiunge na Msigwa hamna tatizo!

Kwa kweli hakuna uhalali wa kumlaumu Mbowe.

Hakuna uthibitisho wa wazi wa kauli au matendo, wa Mbowe kuhusika katika uasi wa maamuzi aliyoyasimamia Mbowe mwenyewe.

Kwa sasa tuwakabili hawa waasi, wao kama walivyo, bila kumhusisha Mbowe ambaye hatuna uhakika kama ni mhusika.
 
toka hapa,
yaani kachama ka vibaka na matapeli wa kisiasa ndio kaitishe ccm na vyama vingine vya suisa zaidi ya20 nchini? mbona unachekesha kivivu gentleman? :pedroP:

katika Historia ya dunia hii iliyoimbwa na Mwanyezi Mungu Mabadiliko hayajawahi kuletwa na kundi la watu wengi .

Allexiander the Great aliaipeleka dunia mchakamchaka mpaka ikaomba poo akiwa kijana mdogo wa miaka 20. Mpaka leo wagiriki wanaamini kuwa hakuwa binadamu wa Kawaida .

Halikadhalika Yesu hakutumia nguvu bali hoja tu na ujasiri wake . Alikua na watu 12 tu na mmoja alimsaliti kwa hoja ya pesa kama Alivyo Mrema na kundi lake la G55.
Leo dunia nzima inamtaja Yesu kwa ushujaa mkubwa kama mkombozi toka kwa Mungu lakini waliomtesa wanatajwa kama mawakala wa shetani .

Halikadhalika Mohamad alikua kijana mdogo wa miaka 25 alipoanza kusimamisha Haki kumwabudu Mungu mmoja . Mungu hua anafanya kazi na Mtu mmoja sio kundi . Hao wengine wanavutwa kumfuata kokote anakipenda na chochote anachosema maana ndiye Mungu aliyemchagua kuleta mabadiliko kwa wakati huo.

Kila Jambo lina wakati wake .
Wakoloni wangeambiwa kuwa atatokea mwafrika mmoja bila silaha na kupata uhuru kisha ataifishe mali zao zote na kuzifanya ziwe mali za umma Bila shaka wazungu wangemwana huyo mtu ni kichaa . Lakini alitokea Kijana Julius Kambarage Nyerere akaleta uhuru kisha akataifisha Mlaki zo zote
Wakaondoka nchini bila kitu.

Lakini pia Sokoine angeulizwa kuwa atatokea Mtu mmoja toka Zanzibar na kuuza Ardhi yote ya Wamasai kwa waarabu na kuwafanya Wamasai kuishi bila ardhi angekataa na kumwona huyo mtu amechanganyikiwa.

Lakini Pia Sipriani Misiba au Polepole au Bashiru Ally au Pailo Makonda au Sabaya wangeulizwa kuwa kabla ya miaka yake Kumi ya JPM atatokea Mwanamke mmoja Mzanzibari na kuuza Bandari zote , maeneo yote yenye madini ,ardhi yote yenye rutuba ,misitu yote,kuhamishia makaa ya mawe China na Kenya ,magogo yote ya miti na kuhamisha Wamasai wote kwa nguvu kisha kununua umeme toka Ethiopia . Bila shaka wangemuona mtu huyo kuwa ni kichaa adiyejiemewa na anayetoa mchana kweupe .

Mwacheni Mungu aitwe Mungu .
Naam Mungu ndiye anayeweka watawala wa nchi kwa wakati wake na kwa majira yake na kwa sababu zake.
Japo ni kweli CCM walishasema kuwa Ushindi kwao sio suala la Mungu Kupenda bali ni lazima .

Mungu atafanya kazi yake na waliomdhihaki wataabika vibaya mno.
 
Ukiwa Hauna D mbili, unaweza kushupaza Shingo tu na kumchukulia LISSU kama mtu wa kawaida sana .

Sasa Iko hivi, Mungu muumbaji humtegemeza MTU mwenye HAKI , Kwa Mungu ukiwa mwenyé HAKI na Usokua na MAWAA utatengenezwa kua Very powerful kuliko kitu chochote kile.

Silaha pekee alizonazo LISSU
1-Akili yake, ( wajinga na wapumbavu mtaona wivu) Ukweli ni kua LISSU ana akili nyingi sana , ana Uelewa mwingi mnoo wa masuala mbalimbali mengi ya kidunia , Uwezo Huu Mkubwa wa Akili, Kwa watu wa aina yake Dunia yote huwafanya wajiamini sana, na Jeuri dhidi ya uozo wa namna yoyote Ile , hivo huonekana Wana Jeuri, kiburi ,kujisikia lkn watu wanaowaona MTU aina ya LISSU kwa Fikra hizo ni wale watu WAVIVU, Wazembe, wajinga na wapumbavu, wanaodhulumu, Wezi na Mafisadi .

2-Kuipenda Haki Kwa Maneno na Matendo , LISSU maishani mwake hapendi kuona MTU anaonewa au yeye anaonewa , na hili linamfanya AINULIWE NA MUNGU SIKU HADI SIKU .

3-Mungu yupo pamoja naye, Mungu akiwa pamoja Nawewe, hakuna MTU atakayekua Juu yako ... hamnaaaa hamnaaaa!!.

Tazama Nguvu ya maajabu aliyonayo LISSU!!.

1-Kesi zake zote alosimamia Kwa wengine au Yeye, Alizishinda.

2-Mara zote alipoishauri Nchi kupitia Bunge ,na Nchi ikashupaza shingo, Tumepelekwa Mahakaman na kulipa mabilioni .

3-AMEPIGWA RISASI 38 ,Jamaa yuko HAI.

4-Uchaguzi 2020, mputamputa alowapa CCM nadhani Kila Mmoja aliushuhudia.

5-Kagombea Uenyekiti Chadema Taifa, yaan from nowhere, Jamaa anabadili maamuzi, hajui nyuma yake nani atamuunga mkono , hajui Mkutano Mkuu Yuko na nani, Jamaa anachukua Fomu na hatimaye Licha ya mashambulizi ya Mbowe, CCM, Dola , JAMAA ANAWASHINDA ASUBUHI KWEUPE

6/Kaanzisha Operation ya NORENE , Chama kakuta hakuna hata Mia, kelele za kumkwamisha zikawa nyingi , Jamaa kasema twendeni, twenden, Tazameni wenyewe ,Bila hata Msanii Mmoja, KANDA YA NYASA KAKIWASHA KWELIKWELI, SASA YUKO KANDA YA KUSINI, ANAKIWASHA KWELIKWELI, MIKUTANO INAJAAA !!.

7/Wameibuka Hawa Wezi wa G-55 , Hawa ni mradi wa Mbowe , Mbowe anatengeneza hiii vita ili mradi tu kuonyesha CHADEMA haielewean, Ina migogoro, na ninaamini wataanza kukimbilia Mahakamani kusaidia. Na MAHAKAMA ZA CCM.

Habari njema bado ni kwamba LISSU ATASHIDA TUU ,HAMNA NAMNA YA YEYE KUSHINDWA KWAKUA IMEAMRIWA HIVO , na hapa ni washauri wooote wanaoutaka Ubunge kupitia CHADEMA, tulieni, unganeni na LISSU mtaoata Ubunge majimbo kea majimbo !!.

Swali ni je LISSU anapata wapi nguvu hii?? LISSU anapata wapi Uzoefu wa namna hii??....... Kuna MTU ambaye bado hajajua tu NYUMA YA LISSU KUNA NGUVU YA KIUNGU ?.

HOJA ZA LISSU ZIKO WAZI, SHERIA ZA MFUMO WA UCHAGUZI KWA SASA HAZIFAI KATIKA TANZANIA YA VYAMA VINGI !!. ZIBADILISHWE.

👉JARIBIO la kumuua litamfanya Azidi kupendwa

👉G 55 na Makesi Mahakaman ndo yanazidi Kumfanya Lissu apendwe na watu Kwasababu watanzania watajua ni kwann Wanamzonga zonga sana .

Yaan LISSU namna yoyote ya kukabiliana naye ,unafanya LISSU Azidi kua maarufu na kupendwa
It's all true
 
kwahiyo ni kakikundi ka G55 au wale wanaoongozwa na kibaka na tapeli wa siasa ndio wataleta mabadiliko ndani chadema, right gentleman?🤣
 
CCM wana fedha, Polisi, TISS, Tume ya Uchaguzi Chadema na Lissu wana Mungu muumba wa mbingu na nchi.
 
Lissu na genge lake wanaiuwa CHADEMA kwa mikono yao
 
Yaani hata miezi 6 hajamaliza mnasema ataua Chama ?
Acheni uhuni .
Karibuni kupita huko mitaani muwaambie wapiga kura kuwa Eti Mrema anataka kugombea hata udiwani kama atapata.
 
Sidhani Mbowe anaweza kuwa nyuma ya hao wahuni njaa 55 - nitakuwa wa mwisho kuamini.
 
Mbowe aliifanya chadema kuwa chimbo lake la kupigia mapene.

Mdomoni aliiimba demokrasia lkn kumbe usiku aliitumia chadema kuvuta mkwanja toka ccm.

Hivi Sasa anafanya usinichi wa chini chini kwa kufadhili kundi la g55
 
Back
Top Bottom