TUNDU LISSU dhidi ya CCM +Mbowe+Chawa wa Mbowe +Vyombo vya Usalama Nchini !!.Nyuma ya Lissu Kuna nguvu ya KIUNGU !!.

Mkishaanza kukufuru ndio huwa yanawatokea puani

Back up ya Mungu?
Wamejipanga Kila dakika kuanzisha nyuzi humu jf mwishowe wanapuyanga kama hivyo, ni wa kuwadharau, kuwahurumia na kuwapuuza tu hawa nyumbu na haka ka-kampeni kao ka kufosi trending
 
Na huwa vinaishia humu tu

Mtaani ni different
 
Ukiwa Hauna D mbili, unaweza kushupaza Shingo tu na kumchukulia LISSU kama mtu wa kawaida sana .

Sasa Iko hivi, Mungu muumbaji humtegemeza MTU mwenye HAKI , Kwa Mungu ukiwa mwenyé HAKI na Usokua na MAWAA utatengenezwa kua Very powerful kuliko kitu chochote kile.

Silaha pekee alizonazo LISSU
1-Akili yake, ( wajinga na wapumbavu mtaona wivu) Ukweli ni kua LISSU ana akili nyingi sana , ana Uelewa mwingi mnoo wa masuala mbalimbali mengi ya kidunia , Uwezo Huu Mkubwa wa Akili, Kwa watu wa aina yake Dunia yote huwafanya wajiamini sana, na Jeuri dhidi ya uozo wa namna yoyote Ile , hivo huonekana Wana Jeuri, kiburi ,kujisikia lkn watu wanaowaona MTU aina ya LISSU kwa Fikra hizo ni wale watu WAVIVU, Wazembe, wajinga na wapumbavu, wanaodhulumu, Wezi na Mafisadi .

2-Kuipenda Haki Kwa Maneno na Matendo , LISSU maishani mwake hapendi kuona MTU anaonewa au yeye anaonewa , na hili linamfanya AINULIWE NA MUNGU SIKU HADI SIKU .

3-Mungu yupo pamoja naye, Mungu akiwa pamoja Nawewe, hakuna MTU atakayekua Juu yako ... hamnaaaa hamnaaaa!!.

Tazama Nguvu ya maajabu aliyonayo LISSU!!.

1-Kesi zake zote alosimamia Kwa wengine au Yeye, Alizishinda.

2-Mara zote alipoishauri Nchi kupitia Bunge ,na Nchi ikashupaza shingo, Tumepelekwa Mahakaman na kulipa mabilioni .

3-AMEPIGWA RISASI 38 ,Jamaa yuko HAI.

4-Uchaguzi 2020, mputamputa alowapa CCM nadhani Kila Mmoja aliushuhudia.

5-Kagombea Uenyekiti Chadema Taifa, yaan from nowhere, Jamaa anabadili maamuzi, hajui nyuma yake nani atamuunga mkono , hajui Mkutano Mkuu Yuko na nani, Jamaa anachukua Fomu na hatimaye Licha ya mashambulizi ya Mbowe, CCM, Dola , JAMAA ANAWASHINDA ASUBUHI KWEUPE

6/Kaanzisha Operation ya NORENE , Chama kakuta hakuna hata Mia, kelele za kumkwamisha zikawa nyingi , Jamaa kasema twendeni, twenden, Tazameni wenyewe ,Bila hata Msanii Mmoja, KANDA YA NYASA KAKIWASHA KWELIKWELI, SASA YUKO KANDA YA KUSINI, ANAKIWASHA KWELIKWELI, MIKUTANO INAJAAA !!.

7/Wameibuka Hawa Wezi wa G-55 , Hawa ni mradi wa Mbowe , Mbowe anatengeneza hiii vita ili mradi tu kuonyesha CHADEMA haielewean, Ina migogoro, na ninaamini wataanza kukimbilia Mahakamani kusaidia. Na MAHAKAMA ZA CCM.

Habari njema bado ni kwamba LISSU ATASHIDA TUU ,HAMNA NAMNA YA YEYE KUSHINDWA KWAKUA IMEAMRIWA HIVO , na hapa ni washauri wooote wanaoutaka Ubunge kupitia CHADEMA, tulieni, unganeni na LISSU mtaoata Ubunge majimbo kea majimbo !!.

Swali ni je LISSU anapata wapi nguvu hii?? LISSU anapata wapi Uzoefu wa namna hii??....... Kuna MTU ambaye bado hajajua tu NYUMA YA LISSU KUNA NGUVU YA KIUNGU ?.

HOJA ZA LISSU ZIKO WAZI, SHERIA ZA MFUMO WA UCHAGUZI KWA SASA HAZIFAI KATIKA TANZANIA YA VYAMA VINGI !!. ZIBADILISHWE.

👉JARIBIO la kumuua litamfanya Azidi kupendwa

👉G 55 na Makesi Mahakaman ndo yanazidi Kumfanya Lissu apendwe na watu Kwasababu watanzania watajua ni kwann Wanamzonga zonga sana .

Yaan LISSU namna yoyote ya kukabiliana naye ,unafanya LISSU Azidi kua maarufu na kupendwa

“Basi, tuseme nini juu ya hayo? Mungu akiwapo upande wetu, ni nani aliye juu yetu?
”
— Warumi 8:31 (Biblia Takatifu)
 
Ayubu 17 (Biblia Takatifu)
¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯
⁸ Walekevu watayastaajabia hayo, Na asiye na hatia atajiamsha juu ya mpotovu.
⁹ Lakini mwenye haki ataishika njia yake, Naye mwenye mikono safi atazidi kupata nguvu.
 
“Mtu asiye haki humvizia mwenye haki, Na kutafuta jinsi ya kumfisha.
”
— Zaburi 37:32 (Biblia Takatifu)
 
“Nuru ya mwenye haki yang'aa sana; Bali taa ya mtu mbaya itazimika.
”
— Mithali 13:9 (Biblia Takatifu)
 
Back
Top Bottom