Kurunzi
JF-Expert Member
- Jul 31, 2009
- 9,753
- 10,747
Unaonekana umeshazoa vya kulipiwa sio, vijana wa Lumba mmeharibika akili mpaka maadiliA silly question deserves a silly answer, period.
Unauliza swali la mipasho unajibiwa kimipasho. Maswali mengine anauliza kutekeleza majukumu yake kwa wanaomuweka Belgium.
Yeye mwenyewe Lissu nani anallipa gharama zake za kuishi Belgium?