Tundu Lissu: Filamu ya Royal Tour ni biashara kubwa Amazon. Je, nani mwenye hakimiliki? Mgawo wetu ni kiasi gani?

A silly question deserves a silly answer, period.

Unauliza swali la mipasho unajibiwa kimipasho. Maswali mengine anauliza kutekeleza majukumu yake kwa wanaomuweka Belgium.

Yeye mwenyewe Lissu nani anallipa gharama zake za kuishi Belgium?
Unaonekana umeshazoa vya kulipiwa sio, vijana wa Lumba mmeharibika akili mpaka maadili
 
1. Filamu ni mali ya watanzania hivyo mapato ya filamu ninya watanzania

2. Filamu hiyo itasaidia kutangaza utalii na kuibrand nchi yetu hivyo mapato ya utalii yataendelea kuongezeka

TL AENDELEE KULA KUKU WA BURE BELGIUM

SAMIA aendelee kuchapa kazi ya kuwaletea maendeleo watanzania
 
Hivi najiuliza kilichompeleka Lissu amazon ni nini? Au alikuwa anatafuta papuchi
 
Uzuri Tundu Lissu akishaona kuna hela na mgao anaunga mkono, mwanzoni aliiponda hii film, TL kwenye pesa humwambii kitu
 
Una kilo nyingi za upambaf
 
Alikwapua kufanya miradi, ndege zipo, road zipo, miradi inaonekana, kama hufaidi ww basi ni ndugu yako

Hiyo movie mpaka sasa hata kuiona umeiona ndugu? Au unashabikia Tu kufata mkumbo
Kama unampenda sana kazikwe naye Chato
 
KWA taarifa yako hakuna hela yenu mliyowekeza humo kwahiyo nia yetu ni kutangaza utalii tu usihoji tena mauzo ya filamu maana hukuchangia shilingi yako
 
ambaye anauthubutu wa kuiamini chadema kama chama cha siasa ni mtu jasiri sana ambaye anaweza hata kunywa sumu kama chai
 
tusubiri fedha za watarii watakapo kuja hayo mengine hayatuhusu
 
Inashangaza kuuliza hilo swali. Ukiuliza hivo inamaana kua hauna ufahamu hata wa kodi yako unayotoa inavofanya kazi

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
Msome Rais wako 👇


Niambie hiyo kodi yako inaingiaje kwenye RT ewe mwenye ufahamu wa kodi?

Subirini watalii waanze kumiminika mjilipe ila msiwabake tu.
 
Kwani zile documentaries za wanyama zinazochukuliwa kwenye mbuga zetu na kurushwa kwenye chaneli kama NAT GEO, NAT GEO WILD na nyinginezo huwa tunapata mgao wowote...........yaani wadanganyika tushakuwa shamba la bibi la mabeberu tukubali tu....
Hupati mgao unapata wataliii
 
Kwani hiyo video imesajiliwa wapi kwa sheria za nchi gani?

Hiyo filamu ni Mali ya nani?

Naona baadhi ya trailer zina nembo ya director.

Sielewi tusaidiane
 
Acha wivu, kwani pale Lumumba unajua kama Kodi inalipwa Kwa Mzee nani?
 
hebu tutolee KINEMBE chako kichafu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…