Kinjekitile Jr
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 566
- 1,583
Magufuli aliwasamehe vijana aliyowahisi kuwa Wanamuhujumu hawa kina Kina Nape Nnauye, January Makamba na vigogo kama kinana na Makamba Sr, ila kumbe alikuwa anajichimbia shimo mwenyewe
Kuna figisu zinapikwa chini kwa chini kutoka CCM na wanawatumia vibaraka wao kutoka CHADEMA ambao wengi wao ni Team Mbowe kuwa Lissu asiweze kupiga hatua yoyote ndani ya Chama chake na sekeseke litaanzia watakapo anza kumuandaa mtu wa kugombea Urais
Ikumbukwe Team FAM wanamtaka Boss wao agombee ili kusiwepo na nguvu kubwa sana ya kumtikisa Bi’Kizimkazi,wanaogopa akigombea Lissu au Heche ngoma itakuwa ngumu sana kwao
Hawa Mamluki inatakiwa wafukuzwe CHADEMA iwe wanapenda au hawapendi coz kuwalea watu wasiotaka kufanya kazi na wewe ni hatari kubwa sana kwa taasisi kubwa hasa ya siasa
MUNGU mwenyewe uwa hataki kusalitiwa ndio maana alimfukuza shetani Mbinguni