Pulchra Animo
JF-Expert Member
- Jun 16, 2016
- 3,718
- 3,465
Mbowe alipata 58%, lakini akashindwa uchaguzi? Mshindi alipata asilimia ngapi?Sidhani kama ni kweli Mbowe ana mpango wa kugombea urais 2025. Nadhani ni muda wa kukusanya watu wengi zaidi wa kuipinga CCM, kuliko kuanza kuwabagua eti sijui hawa team Mbowe, hawa Covid19, hawa nani sijui. Kushinda uchaguzi kunahitaji watu wengi, sio kundi dogo. Kumbuka Mbowe alipata 58%, ukiwaacha hawa kando hata ACT itaizidi CHADEMA