Tundu Lissu Fukuza Uanachama hawa Team Mbowe, usimuige Magufuli Msaliti hasemeki; Hakuna adui mbaya kama wa nyumbani kwako

Mbowe alipata 58%, lakini akashindwa uchaguzi? Mshindi alipata asilimia ngapi?
 
Lisu siyo mtu wa visasi ni mtu wa haki
haki gani aliyonayo Lisu? Kumpakazia uongo FAM kuwa anakula rushwa ya hela za Abdul? , Nusu Mkate, etc etc etc......leta ushahidi hana! Lisu nilimpenda kuliko wote, lakini kwa alichokionesha wakati wa kampeni, he is the most hopeless guy of our times!
 
58%? Labda ya mgao wa ruzuku ya chadema
 
Lini alitamka Mbowe? weka clip hapa
 
Mbowe juzi kasema kwa sasa ameweka muda wake kwenye biashara zake na kurudisha nguvu kwenye familia ya Mbowe, tumuache apumzike tusimrajetaje na kumungiza kwenye tamaa zetu
 
Mbowe alipata 58%, lakini akashindwa uchaguzi? Mshindi alipata asilimia ngapi?
48%, sorry. Nilitaka nionyeshe wingi wa kura alizopata na jinsi gani mtu makini hawezi kuzipuuza na kutengeneza team yake peke yake
 
Jambo nzito lilikuwa kuwaondoa CCM kupitia Mbowe.
Mengine hayo itakuwa ni kutapatapa.
 
Kweli chadema ni manyumbu 💩
Hoja kama ya mtoto wa darasa 1A
 
migambo wana ruka na kukanyagana sio 🐒
Wewe lazima utakuwa unaliwa kiboga na Pedeshee Macala siyo bure. Chawa wenzio kama kina Jenista wanafaidika na ccm wewe unaleta porojo Jf. Pathetic Idiot.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…