Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
Kwa akili hizi 👇👇👇 unategemea nn?
Lissu kwa sasa yupo juu vibaya mnoHaya
Ni jambo jema!
Nelson Mandela: Ukiona mtu Anaogopa vitisho jua huyo siyo Mwanasiasa ana Ajenda iliyofichika, Mwanasiasa Hatishiki!
Lissu kwa sasa yupo juu vibaya mnoHaya
Ni jambo jema!
Nelson Mandela: Ukiona mtu Anaogopa vitisho jua huyo siyo Mwanasiasa ana Ajenda iliyofichika, Mwanasiasa Hatishiki!
Juu ya mpapai awe makini tu anaweza kuanguka 😂Lissu kwa sasa yupo juu vibaya mno
Lissu kwa sasa yupo juu vibaya mnoHaya
Ni jambo jema!
Nelson Mandela: Ukiona mtu Anaogopa vitisho jua huyo siyo Mwanasiasa ana Ajenda iliyofichika, Mwanasiasa Hatishiki!
Dikteta mwenyewe alimshindwaJuu ya mpapai awe makini tu anaweza kuanguka 😂
Ukiona ngoma inalia sana, ujue inakaribia kupasukaLissu kwa sasa yupo juu vibaya mno
SawaUkiona ngoma inalia sana, ujue inakaribia kupasuka
Sent from my SM-G935F using JamiiForums mobile app
Alikimbilia ubalozini dadeki😂Dikteta mwenyewe alimshindwa
Labda auaweJuu ya mpapai awe makini tu anaweza kuanguka 😂
Kweli Mungu fundi mfano mzuri ni kama alivyofanya kwa MwendazakeLissu kafanya chokochoko weeee kaona kimya sasa anaamua kuchoma vyombo vyake halafu anasingizia ccm! Ila Mungu ndio mjuzi wa yote.