Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 15,133
- 11,914
Ujanja wa kijinga. Mmechoma wenyewe Ili mpate huruma ya wananchi. Hapa Chato ni Mwamba Jiwe Magufuli na CCM tu!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na wale UVCCM wa Chato kawaandaa Lissu.Lissu kafanya chokochoko weeee kaona kimya sasa anaamua kuchoma vyombo vyake halafu anasingizia ccm! Ila Mungu ndio mjuzi wa yote.
Inabidi umwogope Mungu maana anakuona!!Lissu kafanya chokochoko weeee kaona kimya sasa anaamua kuchoma vyombo vyake halafu anasingizia ccm! Ila Mungu ndio mjuzi wa yote.
jaribu kidogo kuficha chuki zakoJuu ya mpapai awe makini tu anaweza kuanguka 😂
Hujafa hujaumbika Ndugu, Uwe na hofu ya Mungu na Jenga tabia ya kukosoa kwa hoja na Sio kejeli!! Duniani tunapita, Jenga hoja isaidie vizazi vijavyo
UVCCM ni magaidi washughulikiwe.Gari yetu ya matangazo & vyombo vyake vimechomwa moto na kuharibiwa na wahuni wa CCM usiku wa kuamkia leo karibu na Chato.
Lengo lao liko wazi: kututisha ili tuogope kufanya mikutano ya hadhara wilayani Chato leo. Hatutishiki & hatutakubali kutishwa. Tunaelekea mkutanoni Chato sasa
Tundu Lissu
Agosti 2, 2023
Pia soma: Chato: Gari la matangazo ya mikutano la CHADEMA lanusurika kuteketea kwa moto
Serikali nzima inapambana na mtu mmojaLissu kwa sasa yupo juu vibaya mno
Kwanini limechomwa?Gari yetu ya matangazo & vyombo vyake vimechomwa moto na kuharibiwa na wahuni wa CCM usiku wa kuamkia leo karibu na Chato.
Lengo lao liko wazi: kututisha ili tuogope kufanya mikutano ya hadhara wilayani Chato leo. Hatutishiki & hatutakubali kutishwa. Tunaelekea mkutanoni Chato sasa
Tundu Lissu
Agosti 2, 2023
Pia soma: Chato: Gari la matangazo ya mikutano la CHADEMA lanusurika kuteketea kwa moto
Hii Nchi itaingia machafuko siku si nyingi! Lakini ujanja hapa baada ya majambazi ya raslimali kulemewa hoja yanakimbilia kuleta fujo ili mikutano izuiwe na hoja ya mnada wa tanganyika ipoe!Gari yetu ya matangazo & vyombo vyake vimechomwa moto na kuharibiwa na wahuni wa CCM usiku wa kuamkia leo karibu na Chato.
Lengo lao liko wazi: kututisha ili tuogope kufanya mikutano ya hadhara wilayani Chato leo. Hatutishiki & hatutakubali kutishwa. Tunaelekea mkutanoni Chato sasa
Tundu Lissu
Agosti 2, 2023
Pia soma: Chato: Gari la matangazo ya mikutano la CHADEMA lanusurika kuteketea kwa moto
Wewe ndio mwenye chuki!🤣🤣jaribu kidogo kuficha chuki zako
Lengo lao liko wazi: kututisha ili tuogope kufanya mikutano ya hadhara wilayani Chato leo. Hatutishiki & hatutakubali kutishwa. Tunaelekea mkutanoni Chato sasa[emoji419][emoji375]Gari yetu ya matangazo & vyombo vyake vimechomwa moto na kuharibiwa na wahuni wa CCM usiku wa kuamkia leo karibu na Chato.
Lengo lao liko wazi: kututisha ili tuogope kufanya mikutano ya hadhara wilayani Chato leo. Hatutishiki & hatutakubali kutishwa. Tunaelekea mkutanoni Chato sasa
Tundu Lissu
Agosti 2, 2023
Pia soma: Chato: Gari la matangazo ya mikutano la CHADEMA lanusurika kuteketea kwa moto
Hata Magufuli hajawahi kushinda kihalali chato, hao CCM Tu wametoka wapi?Ujanja wa kijinga. Mmechoma wenyewe Ili mpate huruma ya wananchi. Hapa Chato ni Mwamba Jiwe Magufuli na CCM tu!!!
Nenda kaichukue basi🤣Tunataka Bandari yetu mm na familia yangu pamoja na ukoo wangu woooote.
Na atapaishwa juu zaidi na vitendo vya kihuni kama hivyo vya kuchoma moto gari !!Lissu kwa sasa yupo juu vibaya mno
Mbona kama ndio wanawapa promoGari yetu ya matangazo & vyombo vyake vimechomwa moto na kuharibiwa na wahuni wa CCM usiku wa kuamkia leo karibu na Chato.