Tundu Lissu: Gari letu la matangazo limechomwa moto karibu na Chato. Hatutishiki, Mkutano wa Chato utaendelea

Tundu Lissu: Gari letu la matangazo limechomwa moto karibu na Chato. Hatutishiki, Mkutano wa Chato utaendelea

CCM wataleta machafuko siku moja kwa sababu ni ving'ang'anizi wa madaraka hawa jamaa hawatatoka madarakani hata wasipopata kura moja wanajiona wao ndio wenye mamlaka ya kutawala na ndio maana wanafanya vurugu kama hizo.
 
Hawa wasiotishika walikuwa nje ya Nchi muda mrefu kwa hofu ya usalama wao

Hongera Rais Samia kurejesha ujasiriasiasa nchini
Uzee wako hauna thamani wala maana yoyote.

Magufuli aliwatisha wote hadi ccm mlikuja kupumua baada ya kumuua, lakini Lissu alibaki shujaa peke yake.

Alijitoa hadi damu yake kumwagika.

Unachoongea hapa ni utupu wa akili yako.
 
kwakuwa chaguzi bodi ni mali ya ccm,. basi lisu ni sawa na arsenal tu.
 
Mie naona haya ni matokeo ya maneno ya mzee Wasira,kunahotuba alitoa Hivi karibuni kuwa CCM waliopo Chato wawazomee Lissu na Chadema kwa ujumla.maneno Yale hayakuwa ya kujenga na haya ndio matokeo yake
 
CCM hawajawahi kuwa na siasa safi hata siku moja,siasa zao ni za vitisho na kutumia polisi.
 
Lissu kafanya chokochoko weeee kaona kimya sasa anaamua kuchoma vyombo vyake halafu anasingizia ccm! Ila Mungu ndio mjuzi wa yote.
Mikataba ya kimangungo mnayoiwekea taifa kweli nyie ni vilaza
 
Na utakoma, safari hii hakuna wa kukuonea huruma Burukenge wewe, unamtukana Rais Samia unadhani CCM nao hawajui kucheza rafu
Naona ukifanya wizi au ujinga unatakiwa uambiwe wizi wako na ujinga wako. So kama rais katoa bandari Bure au yeye kapata chochote anatakiwa aambiwe kwa ukali
 
Back
Top Bottom