Tundu Lissu hajawahi kunyamaza na hatonyamazishwa kamwe

Ni Kweli hawezi nyamazishwa,

Pia hawezi kufa twice, arudi home haraka nduguze wanamhitaji kuendeleza HARAKATI.
 
Tundu Antipas Mughwai Lisu..... Nyaghaamba
 
Jamaa anaipenda kweli tanzania mpaka watoto wake kawapa uraia wa marekani!!!!Kweli jamaa mzalendo!!!
 
Acha wajaribu kupambana na huyu jamaa lakini kamwe hawatashinda. Lissu ni Heavy weight politician. Atazidi kuwaumbua kila uchao.
Nasikia na yeye anautaka uraisi?????Au ni mzalendo wa kawaida hataki vyeo bali anataka haki na madaraka????
 
Well, kuna red line not to be crossed...siku zote wanaovuka hiyo wanakutana na walioshika mpini hawatajali repercussions, he is lucky to be alive hata hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…