Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Long live Lissu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja arudi sasa utaona tofauti yangu na waoHata wale waliolipwa mwanzo waliapa kama wewe , tetesi zinadokeza kwamba wawili wamekwishakufa , bado watatu
Kuna tetesi kwamba utakufa kabla hajarudiNgoja arudi sasa utaona tofauti yangu na wao
Naomba hii iwe angalizo kwa wote wanaodhani wanaweza kumnyamazisha Tundu Lissu. Ukifuatilia tangu awamu ya 3 huyu mtu alikuwa mwiba halisi kwa kuanika ukweli kuhusu wachimbaji waliozikwa kibabe tena wakiwa hai kwenye mashimo ya madini huko kanda ya ziwa ili kupisha mwekezaji, Mh. Lyatonga Mrema na IGP Mahita wanalifahamu hili vizuri sana.
Pamoja na vitisho vyote Lissu hakuwahi kumpigia magoti mtu yeyote na mwisho wa siku ukweli ulikuja kubainika, Mungu aziweke mahali pema peponi roho za wahanga wale, Amina.
Awamu ya nne ya Mh Profesa Kikwete makali ya Lissu ya kusimamia ukweli wote mnayafahamu, kuna wakati Dk Kikwete alinukuliwa akisema " NI HERI DR SLAA AENDE IKULU KULIKO TUNDU LISSU AINGIE BUNGENI " Dr slaa hakwenda ikulu lakini Tundu Lissu aliingia bungeni kwa kishindo.
Huyu mtu hanyamazishwi na wanadamu, atanyamaza pale tu Mungu atakapomtwaa kwa hiyari yake lakini si kwa hila za wanadamu wenye mwili na nyama.
Alinyamazishwa wakati wa kumpokea fisadi.
Umedanganyika kishamba sana , kwa taarifa yako shetani hajawahi kumshinda Mungu hata mara mojaHata sasa a nakiri ukweli huo.
Historia itasimama.
SwadaktaKwa Tanzania mpinzani halisi na anayesimamia misimamo yakeke bila kuyumba ni Lissu tu. Kuna MTU ametolea mfano Dr Ulimboka, lakini anajua yaliyomkuta Ulimboka ndiyo yaliyosababisha afunge mdomo mpaka tumemsahau.
Yaliyomkuta Lissu ni classic lakini nyinyi ni mashahidi jinsi anavyopambana akiwa kitandani huku hajui hatma ya majeraha yake.
Je akipona kabisa itakuwaje? Hakuna jasiri kama huyu Tanzania.
a ma
True !Lissu is a major pain in their shyty @$$es
Naomba hii iwe angalizo kwa wote wanaodhani wanaweza kumnyamazisha Tundu Lissu. Ukifuatilia tangu awamu ya 3 huyu mtu alikuwa mwiba halisi kwa kuanika ukweli kuhusu wachimbaji waliozikwa kibabe tena wakiwa hai kwenye mashimo ya madini huko kanda ya ziwa ili kupisha mwekezaji, Mh. Lyatonga Mrema na IGP Mahita wanalifahamu hili vizuri sana.
Pamoja na vitisho vyote Lissu hakuwahi kumpigia magoti mtu yeyote na mwisho wa siku ukweli ulikuja kubainika, Mungu aziweke mahali pema peponi roho za wahanga wale, Amina.
Awamu ya nne ya Mh Profesa Kikwete makali ya Lissu ya kusimamia ukweli wote mnayafahamu, kuna wakati Dk Kikwete alinukuliwa akisema " NI HERI DR SLAA AENDE IKULU KULIKO TUNDU LISSU AINGIE BUNGENI " Dr slaa hakwenda ikulu lakini Tundu Lissu aliingia bungeni kwa kishindo.
Huyu mtu hanyamazishwi na wanadamu, atanyamaza pale tu Mungu atakapomtwaa kwa hiyari yake lakini si kwa hila za wanadamu wenye mwili na nyama.
Hivi umeelewa uzi huu kwa kiwango chako duni cha elimu ? tuliweka uzi huu miaka mingi iliyopita ili kuweka angalizo , nadhani wewe na wachovu wenzako mmejionea wenyewe .Kiwete huwa hanyamazi na mpumbavu huwa anaongea hovyo bali mwenye hekima uhesabu MANENO yake walahi
Sent using Jamii Forums mobile app
Nani shetani ?
mkuu ndio kwanza kumekucha .Na kwa kuwa hata hao wanaotaka kumnyamazisha Lissu kumbe hata wao kuna siku watanyamaza tu, one way or the other! hakuna sababu ya Lissu kunyamaza, Aluta continua
Alivyosema yaliyomkuta na hali halisi. UKWELI NI MATUSI DANGANYIKAYako wapi matusi aliyotukana Lissu ?
asante mkuuAlivyosema yaliyomkuta na hali halisi. UKWELI NI MATUSI DANGANYIKA