Tundu Lissu hajawahi kunyamaza na hatonyamazishwa kamwe

Mwaka huu atapigia kelele zake ukonga kwa wafungwa wenzie ila wafungwa watafaidika atakuwa anawaandikia rufaa wafungwa wenzake
So ccm ndo hamtaki kukubali mmefeli na mnafelishwa world wide na magufuli......
 
Kama yeye ni mbabe, saa hizi yuko wapi? Hakuna mtu anayeweza kushindana na dola, hasa katika kipindi hiki. Hata kama una pembe ngumu namna gani ni lazima hizo pembe zitang'olewa na hatimaye utashika adabu tu.
Adabu wanashika mawaziri na usingizi anakosa jpm wananchi njaa ndo ziwafungua ubongo
 
Duniani kote Hamna democrasia ya kutukana watu
Kama tanzania mfano mkapa kuita watu malofa wapumbavu kenya kibaki aliita watu mavi ya kuku magufuli ndo kabisa ntajaza page bashite alitukana hadharani obama alitukanwa sana trump ndo kabisa so plz dont speak like a fool leader we all know about
 
Hili vema lieleweke kwa polisi wote wa Tanzania na viongozi wote wa ccm akiwemo Mwenyekiti wa Taifa
 
Naomba hii iwe angalizo kwa wote wanaodhani wanaweza kumnyamazisha Tundu Lissu. Ukifuatilia tangu awamu ya 3 huyu mtu alikuwa mwiba halisi kwa kuanika ukweli kuhusu wachimbaji waliozikwa kibabe tena wakiwa hai kwenye mashimo ya madini huko kanda ya ziwa ili kupisha mwekezaji, Mh. Lyatonga Mrema na IGP Mahita wanalifahamu hili vizuri sana.

Pamoja na vitisho vyote Lissu hakuwahi kumpigia magoti mtu yeyote na mwisho wa siku ukweli ulikuja kubainika, Mungu aziweke mahali pema peponi roho za wahanga wale, Amina.

Awamu ya nne ya Mh Profesa Kikwete makali ya Lissu ya kusimamia ukweli wote mnayafahamu, kuna wakati Dk Kikwete alinukuliwa akisema " NI HERI DR SLAA AENDE IKULU KULIKO TUNDU LISSU AINGIE BUNGENI " Dr slaa hakwenda ikulu lakini Tundu Lissu aliingia bungeni kwa kishindo.

Huyu mtu hanyamazishwi na wanadamu, atanyamaza pale tu Mungu atakapomtwaa kwa hiyari yake lakini si kwa hila za wanadamu wenye mwili na nyama.
Ni vema watu wakawa wanakumbuka tunayoandika humu jf , huwa hatukurupuki .
 
Mungu ibariki damu ya Tundu Lissu , kumwagika kwake kwaweza kuwa ukombozi kamili .
 
Faida lazima iwe ya jamii kubwa na si mtu mmoja na rafiki zake. Wenye kujua leadership proper wanafahamu hili vilivyo
 
Naomba hii iwe angalizo kwa wote wanaodhani wanaweza kumnyamazisha Tundu Lissu. Ukifuatilia tangu awamu ya 3 huyu mtu alikuwa mwiba halisi kwa kuanika ukweli kuhusu wachimbaji waliozikwa kibabe tena wakiwa hai kwenye mashimo ya madini huko kanda ya ziwa ili kupisha mwekezaji, Mh. Lyatonga Mrema na IGP Mahita wanalifahamu hili vizuri sana.

Pamoja na vitisho vyote Lissu hakuwahi kumpigia magoti mtu yeyote na mwisho wa siku ukweli ulikuja kubainika, Mungu aziweke mahali pema peponi roho za wahanga wale, Amina.

Awamu ya nne ya Mh Profesa Kikwete makali ya Lissu ya kusimamia ukweli wote mnayafahamu, kuna wakati Dk Kikwete alinukuliwa akisema " NI HERI DR SLAA AENDE IKULU KULIKO TUNDU LISSU AINGIE BUNGENI " Dr slaa hakwenda ikulu lakini Tundu Lissu aliingia bungeni kwa kishindo.

Huyu mtu hanyamazishwi na wanadamu, atanyamaza pale tu Mungu atakapomtwaa kwa hiyari yake lakini si kwa hila za wanadamu wenye mwili na nyama.
Mungu mbariki Tundu Lissu .
 
Nadhani mmeanza kuelewa sasa
 
Kama yeye ni mbabe, saa hizi yuko wapi? Hakuna mtu anayeweza kushindana na dola, hasa katika kipindi hiki. Hata kama una pembe ngumu namna gani ni lazima hizo pembe zitang'olewa na hatimaye utashika adabu tu.
Mkuu Post yako tata sana! Kumbe ni dola imemlaza NBO?
 
Nakala iwafikie watu wasiojulikana popote walipo wilayani Kinondoni
 
Back
Top Bottom