Tundu Lissu hajawahi kunyamaza na hatonyamazishwa kamwe

Tundu Lissu hajawahi kunyamaza na hatonyamazishwa kamwe

Sijui huwa wana tumia vigezo gani kumteua mwana sheria mkuu wa serikali!!mbna lissu ame washida ki uwezo wanasheria wote wa serikali tokea tulipo pata uhuru mpaka sasa?lissu hakuna wa kumfananisha nae.
 
Naomba hii iwe angalizo kwa wote wanaodhani wanaweza kumnyamazisha Tundu Lissu. Ukifuatilia tangu awamu ya 3 huyu mtu alikuwa mwiba halisi kwa uanika ukweli kuhusu wachimbaji waliozikwa kibabe huko kanda ya ziwa ili kupisha mwekezaji, Mh. Lyatonga Mrema na IGP Mahita wanalifahamu hili vizuri sana.

Pamoja na vitisho vyote Lissu hakuwahi kumpigia magoti mtu yeyote na mwisho wa siku ukweli ulikuja kubainika, Mungu aziweke mahali pema peponi roho za wahanga wale, Amina.

Awamu ya nne ya Mh Profesa Kikwete makali ya Lissu ya kusimamia ukweli wote mnayafahamu, kuna wakati Dk Kikwete alinukuliwa akisema " NI HERI DR SLAA AENDE IKULU KULIKO TUNDU LISSU AINGIE BUNGENI " Dr slaa hakwenda ikulu lakini Tundu Lissu aliingia bungeni kwa kishindo.

Huyu mtu hanyamazishwi na wanadamu, atanyamaza pale tu Mungu atakapomtwaa kwa hiyari yake lakini si kwa hila za wanadamu wenye mwili na nyama.
Mkuu
umejaza sifa nyingi sana ambazo kimsingi sioni jipya kwani zama za kuongea sana zimeshapitwa na wakati.
tunataka kuchapa kazi. maneno maneno ndiyo yametufikisha hapa.
ushauri wangu kwako ni kumshauri mzee Lissu atembee kwenye hoja zake. aandae viongozi wa kesho maana hana zao katika siasa za Tanzania
 
Unataka tuanze kurithisha watoto kama wafanyavyo ccm ?
 
Unataka tuanze kurithisha watoto kama wafanyavyo ccm ?
Ungekuwa unatafakari kidooogo kabla ya kurukia kujibu ungeelewa mantiki ya post yangu.

sina nia mbaya
lakini sidhani kama unaelewa hata ulichopost kule juu
 
Anayeshabikia Chadema ya Lowasa na kuacha ccm ya Magufuli akapimwe akili.
 
Mwaka huu atapigia kelele zake ukonga kwa wafungwa wenzie ila wafungwa watafaidika atakuwa anawaandikia rufaa wafungwa wenzake
Sasa kama wewe unajua haki yako ni kula ugali na mbilimbi sheria utaijulia wapi?
 
Mwaka huu atapigia kelele zake ukonga kwa wafungwa wenzie ila wafungwa watafaidika atakuwa anawaandikia rufaa wafungwa wenzake

Ukonga huwezi kumfunga. He thinks thoroughly what he says. Labda kama unaweza kumweka mahabusu ya milele kam nanihii..
 
Sasa atanyamazishwa tu!!!
Kama mnapenda kunyamazishwa, mnafanya nini hapa jf? nyie mnapenda kuw uhuru wa kusema ya mioyoni mwenu, lakini wenzenu hamtaki waseme. What principles do you stand for?
 
Mwaka huu atapigia kelele zake ukonga kwa wafungwa wenzie ila wafungwa watafaidika atakuwa anawaandikia rufaa wafungwa wenzake
Kibaya ni kufa na hata ukifa kwa sababu ya kitu fulani basi ni bora pia. Mh. Lijuakali atamaliza miezi sita na atarudi hapa akiwa na furaha wakati kuna watu wengi 'untouchable' waliotufikisha hapa furaha yao haifikii hata 20%!
Duniani tunakuja kuishi na sio kuigiza, na maisha sio muda mwingi sana bali miaka 70 ni bahati!
 
Back
Top Bottom