Tundu Lissu hajawahi kunyamaza na hatonyamazishwa kamwe


Kazi unayo..........maumivu yakimwisha tuutamsikia.
 
Kwa Tanzania mpinzani halisi na anayesimamia misimamo yakeke bila kuyumba ni Lissu tu. Kuna MTU ametolea mfano Dr Ulimboka, lakini anajua yaliyomkuta Ulimboka ndiyo yaliyosababisha afunge mdomo mpaka tumemsahau.
Yaliyomkuta Lissu ni classic lakini nyinyi ni mashahidi jinsi anavyopambana akiwa kitandani huku hajui hatma ya majeraha yake.
Je akipona kabisa itakuwaje? Hakuna jasiri kama huyu Tanzania.
a ma
 
Swadakta
 
Lissu The Great .

Hakika utukufu wa Mungu ni wa ajabu sana !
 
Nakala imfikie Pascal Mayalla wa CCM ofisi ndogo Lumumba
 

Na kwa kuwa hata hao wanaotaka kumnyamazisha Lissu kumbe hata wao kuna siku watanyamaza tu, one way or the other! hakuna sababu ya Lissu kunyamaza, Aluta continua
 
Kiwete huwa hanyamazi na mpumbavu huwa anaongea hovyo bali mwenye hekima uhesabu MANENO yake walahi


Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi umeelewa uzi huu kwa kiwango chako duni cha elimu ? tuliweka uzi huu miaka mingi iliyopita ili kuweka angalizo , nadhani wewe na wachovu wenzako mmejionea wenyewe .
 
Na kwa kuwa hata hao wanaotaka kumnyamazisha Lissu kumbe hata wao kuna siku watanyamaza tu, one way or the other! hakuna sababu ya Lissu kunyamaza, Aluta continua
mkuu ndio kwanza kumekucha .
 
Reactions: MTK
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…