imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
Kivipi?Na Hata CDM amechukua ticket vibaya..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kivipi?Na Hata CDM amechukua ticket vibaya..
Poor attention to Details (PATDS)Tundu lissu hajawahi kuwa mbunge? Brothet go home, you know nothing
Sasa wachaga wote wanahusiana vipi na ubinafsi wa mbowe?Sema Wachagga wabinafsi sana.
Mbowe huoni aibu miaka 20+ bado unang'ang'ania uenyekiti?
Singida mjini kwenyewe hakuna upinzani, ni CCM tu, Ni kweli Lissu anatoka Singida, jimbo la singida mashariki/Ikungi huko wanampenda sana na wanamsikiliza 100%, ila baada ya shambulio lake jimbo lilipoa na kurudi ccm. Lissu kwa sasa anafanya siasa za kitaifa si za kijimbo kama akina zito ambao ni kama wafalme kwenye majimbo yao ccm haifui dafu. Mind kuwa Singida haiathiriwi na siasa za kikabila na kikanda ndio maana unaona lissu anayetoka eneo hilo lakini ni kama hana ushawishi kama wanasiasa wa maeneo mengine kuna elements za ukabila na ukanda, Singida hakuna siasa za namna hiyo, wacha lissu atambe kitaifa kuliko kikabila na kikandaHe is not doing enough.
Huwa hafanyi kazi bwana, usimtetee..
Hata Singida mjini penye mchanganyiko mkubwa vile wa makabila?
StupidUna Muda tudiscuss Biochemistry mkuu?
Mbunge akiwa mwenyewe kwa awamu mbili sio? Na walio kaa miaka 20 wasemeje.
Majimbo mengine ameyasaidia vip
Sio Kweli,Singida mjini kwenyewe hakuna upinzani, ni CCM tu, Ni kweli Lissu anatoka Singida, jimbo la singida mashariki/Ikungi huko wanampenda sana na wanamsikiliza 100%, ila baada ya shambulio lake jimbo lilipoa na kurudi ccm. Lissu kwa sasa anafanya siasa za kitaifa si za kijimbo kama akina zito ambao ni kama wafalme kwenye majimbo yao ccm haifui dafu. Mind kuwa Singida haiathiriwi na siasa za kikabila na kikanda ndio maana unaona lissu anayetoka eneo hilo lakini ni kama hana ushawishi kama wanasiasa wa maeneo mengine kuna elements za ukabila na ukanda, Singida hakuna siasa za namna hiyo, wacha lissu atambe kitaifa kuliko kikabila na kikanda
Mbowe sio mbinafsiSasa wachaga wote wanahusiana vipi na ubinafsi wa mbowe?
Mbowe anawawakilisha nyinyi mkuu.Sasa wachaga wote wanahusiana vipi na ubinafsi wa mbowe?
wakati lissu anaibuka mbunge wa upinzani pekee mkoani singida majimbo mengine ya mkoa huo yalikuwa yamelala fofofo uzingizi wa kisiasa. Huko hawajui siasa za upinzani huwa wanahofu ni vita tu. Ile spirit ya upinzani haikuenea kwenye majimbo mengine hadi sasa. Kama ipo ni kidogo sana. Hoja kwamba lissu hana ushawishi wa kisiasa eneo analotoka ni kweli eneo limepoa halina amshaamsha za upinzani. Ccm inajizatiti kulinda ngome zake za kisiasa kuanzia ngazi za chini kabisa. Sasa huo muda wa lissu ku maintain status yake ya kisiasa anaupata wapi ikiwa wanachama wenyewe wa chadema ni wachache sana eneo la kati? Siasa zinafanywa na watu kama mnyororo. Kuna muda lissu alipata matatizo na ule mnyororo wa kufanya siasa eneo analotoka ukawa umekatika. No matter how he didn'tSio Kweli,
Hakuna kitu kinaitwa siasa za kitaifa.
Ni kupoteza focus tu... siasa inaanzia unapotoka mkuu...
Mwanasiasa unajivunia effort zako kwenye ku convince jamii yako kwanza
Kwamba Mbowe ni nani uchagani? Kuna wachaga wapo huyo mbowe wala hawezi kaa meza moja na wao 🤔Mbowe anawawakilisha nyinyi mkuu.
Mbona Zitto ana jimbo moja tu Kigoma unataka useme zitto hakubaliki kigoma? Kwa ideology hii ungesema slaa hakubaliki maana alikua hana wabunge wengi huko Manyara.He is not doing enough.
Huwa hafanyi kazi bwana, usimtetee..
Hata Singida mjini penye mchanganyiko mkubwa vile wa makabila?
Katavi gani ni koloni? Rukwa na katavi mbona upinzani kuna kata CCM haijawahi shinda tokea 1995!! Je nani alikijenga chama huko? Watu kujitambua ndio mtaji wa kwanzaSio Kweli, Mbona Katavi wameweza
Sio kweli.Mbona Zitto ana jimbo moja tu Kigoma unataka useme zitto hakubaliki kigoma? Kwa ideology hii ungesema slaa hakubaliki maana alikua hana wabunge wengi huko Manyara.
Ni maeneo tu yanachangia not necessarily Mbowe au Lissu. Huko Kilimanjaro hata Mbowe asipokuwepo tayari wanajitambua. Same to Mbeya na Mara
Mkuu kuna vitu vya hisia na kuna uhalisia..Katavi gani ni koloni? Rukwa na katavi mbona upinzani kuna kata CCM haijawahi shinda tokea 1995!! Je nani alikijenga chama huko? Watu kujitambua ndio mtaji wa kwanza
TakaTaka, kwa tume gani ya uchaguzi?
Tukisema kiongozi anapimwa kea perfomance na sio blabla muwe mnatuelewa.
Toka uchaguzi wa vyama vingi 1995, na Tundu Lissu kujiunga CHADEMA kama mwanachama Muandamizi, takribani miaka 30 sasa.
Singida haijawahi kuwa na mbunge yeyote wa Upinzani ukiacha yeye mwenyewe Tundu Lissu jimboni kwake Singida Mashariki.
Nadhani ndie mbunge pekee ambae Kanda yake haina mbunge hata mmoja wa Upinzani ukiacha Morogoro.
Pamoja na ushawishi wake kwanini wananchi wa maeneo anayotoka hawamuelewi?
Sio Dodoma sio Singida Mambo manne;
1. Hapendi kusaidia wengine
2. Anawadharau wengine
3. Hakubaliki kwao ukiacha jimboni kwake pekee.
4. Hafanyi kazi za chama ipasavyo.
Majimbo nane yeye ana score ya 1/8 alafu analeta hoja za kujenga chama? Unajenga vip chama wakati huna historia hiyo?
Tofaut na Mpinzani wake mkuu, Freeman Mbowe... Ameijenga ipasavyo Kaskazini na zaidi mkoa anaotoka kuna kipindi alikuwa na wabunge 8/9.
Anaongea sana lakini anazidiwa Mbali sana na Heche, Sugu, Mnyika, Bony Yai, Wenje, na viongoz wengine wasio na majigambo lakini kazi zao zinaonekana.
Lissu sio mchapa kazi kama anavyojitapa? Kama hilo dogo anashindwa ataweza vipi kujenga Chadema nchi nzima?