Tundu Lissu hakubaliki kwao? Singida haijawahi kuwa na Mbunge wa CHADEMA kwenye Majimbo yote 8 ya Singida kasoro analotoka yeye!

Tundu Lissu hakubaliki kwao? Singida haijawahi kuwa na Mbunge wa CHADEMA kwenye Majimbo yote 8 ya Singida kasoro analotoka yeye!

Tundu lissu hajawahi kuwa mbunge? Brothet go home, you know nothing
Poor attention to Details (PATDS)
Go Get diagnosis!
Yeye ni makam mwenyekit wa chama kikuu cha upinzani , ukiacha yeye nani mwingine amewah kuwa mbunge singida?

I know people i know things ... Im at home whats your point?
 
He is not doing enough.

Huwa hafanyi kazi bwana, usimtetee..

Hata Singida mjini penye mchanganyiko mkubwa vile wa makabila?
Singida mjini kwenyewe hakuna upinzani, ni CCM tu, Ni kweli Lissu anatoka Singida, jimbo la singida mashariki/Ikungi huko wanampenda sana na wanamsikiliza 100%, ila baada ya shambulio lake jimbo lilipoa na kurudi ccm. Lissu kwa sasa anafanya siasa za kitaifa si za kijimbo kama akina zito ambao ni kama wafalme kwenye majimbo yao ccm haifui dafu. Mind kuwa Singida haiathiriwi na siasa za kikabila na kikanda ndio maana unaona lissu anayetoka eneo hilo lakini ni kama hana ushawishi kama wanasiasa wa maeneo mengine kuna elements za ukabila na ukanda, Singida hakuna siasa za namna hiyo, wacha lissu atambe kitaifa kuliko kikabila na kikanda
 
Sio Kweli,

Hakuna kitu kinaitwa siasa za kitaifa.

Ni kupoteza focus tu... siasa inaanzia unapotoka mkuu...

Mwanasiasa unajivunia effort zako kwenye ku convince jamii yako kwanza
 
Sio Kweli,

Hakuna kitu kinaitwa siasa za kitaifa.

Ni kupoteza focus tu... siasa inaanzia unapotoka mkuu...

Mwanasiasa unajivunia effort zako kwenye ku convince jamii yako kwanza
wakati lissu anaibuka mbunge wa upinzani pekee mkoani singida majimbo mengine ya mkoa huo yalikuwa yamelala fofofo uzingizi wa kisiasa. Huko hawajui siasa za upinzani huwa wanahofu ni vita tu. Ile spirit ya upinzani haikuenea kwenye majimbo mengine hadi sasa. Kama ipo ni kidogo sana. Hoja kwamba lissu hana ushawishi wa kisiasa eneo analotoka ni kweli eneo limepoa halina amshaamsha za upinzani. Ccm inajizatiti kulinda ngome zake za kisiasa kuanzia ngazi za chini kabisa. Sasa huo muda wa lissu ku maintain status yake ya kisiasa anaupata wapi ikiwa wanachama wenyewe wa chadema ni wachache sana eneo la kati? Siasa zinafanywa na watu kama mnyororo. Kuna muda lissu alipata matatizo na ule mnyororo wa kufanya siasa eneo analotoka ukawa umekatika. No matter how he didn't
 
He is not doing enough.

Huwa hafanyi kazi bwana, usimtetee..

Hata Singida mjini penye mchanganyiko mkubwa vile wa makabila?
Mbona Zitto ana jimbo moja tu Kigoma unataka useme zitto hakubaliki kigoma? Kwa ideology hii ungesema slaa hakubaliki maana alikua hana wabunge wengi huko Manyara.

Ni maeneo tu yanachangia not necessarily Mbowe au Lissu. Huko Kilimanjaro hata Mbowe asipokuwepo tayari wanajitambua. Same to Mbeya na Mara
 
Sio Kweli, Mbona Katavi wameweza
Katavi gani ni koloni? Rukwa na katavi mbona upinzani kuna kata CCM haijawahi shinda tokea 1995!! Je nani alikijenga chama huko? Watu kujitambua ndio mtaji wa kwanza
 
Mbona Zitto ana jimbo moja tu Kigoma unataka useme zitto hakubaliki kigoma? Kwa ideology hii ungesema slaa hakubaliki maana alikua hana wabunge wengi huko Manyara.

Ni maeneo tu yanachangia not necessarily Mbowe au Lissu. Huko Kilimanjaro hata Mbowe asipokuwepo tayari wanajitambua. Same to Mbeya na Mara
Sio kweli.

Kigoma majimbo ya Upinzani ni zaid ya Manne toka 1995...

Dr Slaa alikuwa na Karatu pamoja na Simanjiro na Babati mjini.

Mkuu huyo nabii mnaenuhitaji ni aidha hakubaliki kwao au hafanyi kazi za chama mkoani kwake ipasavyo
 
Katavi gani ni koloni? Rukwa na katavi mbona upinzani kuna kata CCM haijawahi shinda tokea 1995!! Je nani alikijenga chama huko? Watu kujitambua ndio mtaji wa kwanza
Mkuu kuna vitu vya hisia na kuna uhalisia..
Aida Kenan ni mbunge wa wapi?

Si wameanza kidogo kidogo

Kumbuka mara zote walikuwa wanachagua CCM kipindi hiki wameanza kichagua opposition na pengine wakaongeza zaidi.

Umewahi msikia Aida anapiga kelele?
 
Tukisema kiongozi anapimwa kea perfomance na sio blabla muwe mnatuelewa.

Toka uchaguzi wa vyama vingi 1995, na Tundu Lissu kujiunga CHADEMA kama mwanachama Muandamizi, takribani miaka 30 sasa.

Singida haijawahi kuwa na mbunge yeyote wa Upinzani ukiacha yeye mwenyewe Tundu Lissu jimboni kwake Singida Mashariki.

Nadhani ndie mbunge pekee ambae Kanda yake haina mbunge hata mmoja wa Upinzani ukiacha Morogoro.

Pamoja na ushawishi wake kwanini wananchi wa maeneo anayotoka hawamuelewi?

Sio Dodoma sio Singida Mambo manne;

1. Hapendi kusaidia wengine
2. Anawadharau wengine
3. Hakubaliki kwao ukiacha jimboni kwake pekee.
4. Hafanyi kazi za chama ipasavyo.

Majimbo nane yeye ana score ya 1/8 alafu analeta hoja za kujenga chama? Unajenga vip chama wakati huna historia hiyo?

Tofaut na Mpinzani wake mkuu, Freeman Mbowe... Ameijenga ipasavyo Kaskazini na zaidi mkoa anaotoka kuna kipindi alikuwa na wabunge 8/9.

Anaongea sana lakini anazidiwa Mbali sana na Heche, Sugu, Mnyika, Bony Yai, Wenje, na viongoz wengine wasio na majigambo lakini kazi zao zinaonekana.

Lissu sio mchapa kazi kama anavyojitapa? Kama hilo dogo anashindwa ataweza vipi kujenga Chadema nchi nzima?
TakaTaka, kwa tume gani ya uchaguzi?
 
Back
Top Bottom