Earthmover
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 24,977
- 23,799
Watanzania wamechachamaaa.
Tuko Sudan KISHINDO kimesikika Ardhi Ardhi Ardhi
Tuko Sudan KISHINDO kimesikika Ardhi Ardhi Ardhi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Emen.....
Wakipoteza ushawishi c ndio vzr kwetu sisi walinda legacy na wanaccm?Nipo viwanja vya mashujaa hapa ndugu zetu wa Chadema hali iliyofikia hivi sasa kinahitaji kufanya mbinu mbadala.
Ni Sawa na kusema Chadema imepoteza udhibiti ushawishi Tanzania:..
Basi hayaWatakuwa wamelipwa na kujaziwa mafuta hao
Kimenuka ! Bukoba yote ni msukosuko .WaTanzania wamechachamaaa......!!!!!
Tuko Sudan KISHINDO kimesikika Ardhi Ardhi Ardhi!!!!
Basi haya
Unaugulia Maumivu....rudisheni Ardhi ya WatanganyikaNipo viwanja vya mashujaa hapa ndugu zetu wa Chadema hali iliyofikia hivi sasa kinahitaji kufanya mbinu mbadala.
Ni Sawa na kusema Chadema imepoteza udhibiti ushawishi Tanzania:...
Karibu sana MjiniNipo viwanja vya mashujaa hapa ndugu zetu wa Chadema hali iliyofikia hivi sasa kinahitaji kufanya mbinu mbadala.
Ni Sawa na kusema Chadema imepoteza udhibiti ushawishi Tanzania:-
1. Hawapo consistence wanachokihitaji.
2. Maridhiano yaliwafanya wakaonekana walamba asali. Ikambeba Mama kuliko wao.
3. Kumtukana JPM kwenye mikutano ya kwanza ika-back fire kwao!
4. Kuwazoesha watu mikutano ya club house kuliko hadhara
5. Watu wake ni hao hao! Wamezoelekea. Tangu mwaka 2005 ni Freeman, Mnyika, Slaa, n.k. "The law of diminishing return" inafanya kazi.
6. Kushindwa ku-link agenda zao na umasikini wa Tanzania.
Hii siyo chadema labda ni chama kinachoanza kujitafuta kwenye ushawishi.
View attachment 2701483
View attachment 2701484
Salum Mwalimu karusha KOMBORA.......huko Lumumba ni MTAFUTANOKimenuka ! Bukoba yote ni msukosuko .
Mbwe na lissu wamezungumza nnWakuu, tupo live leo kutokea Viwanja vya Uhuru, Bukoba kwenye uzinduzi wa Operation 255 Katiba Mpya okoa Bandari Zetu ambapo Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe akiongozana na Tundu Lissu na John Mnyika pamoja na viongozi wengine waandamizi wa chama hicho watakuwa wanazungumza.
===
View attachment 2701418
Chopa iliyombeba Freeman Mbowe, Tundu Lissu na John Mnyika ikiwasili uwanjani
John Heche
Dola ya Marekani imefika 2550, maana yake maisha yanazidi kupanda. 90% ya ngano tunaagiza nje. Hii inamaanisha maisha yatakuwa magumu.
Wameuza madini yote, dhahabu, tanzanite, nickel n.k. Wamefikia sehemu wameamua kuuza bandari, sote katika nchi yetu bandari ni uchumi, usalama wa nchi, uhuru wetu. Bila aibu wanazunguka nchi nzima kutetea kuuza bandari zetu.
Lazima tujuandae kuchukua hatua kali dhidi ya Serikali hii.
Ezekiel Wenje
CHADEMA tunaamini katika sera ya majimbo, ni aibu bei ya kahawa Uganda ipo juu Uganda kuliko hapa. Nani ana mashaka kati yenu kuwa CCM imeshindwa kuongoza nchi hii?
Matatizo ya nchi hii hayahitaji maombi, yanahitaji akili. CCM wameishiwa, tukiwagusa tu kidogo wanakimbilia kwenye maombi. Nchi inabadilika kwa fikra, sio kwa maombi.
CCM na serikali wamekiri hawana uwezo wa kuongoza mashirika yetu, leo wamekiri hawana uwezo wa kuongoza bandari. Kama wameshindwa hivyo vichache, watawezaje kusimamia nchi nzima?
Tujipange kwa uchaguzi, tuje tuwashughulikie.
Kazi imeanza rasmi .Salum Mwalimu karusha KOMBORA.......huko Lumumba ni MTAFUTANO
Nipo viwanja vya mashujaa hapa ndugu zetu wa Chadema hali iliyofikia hivi sasa kinahitaji kufanya mbinu mbadala.
Ni Sawa na kusema Chadema imepoteza udhibiti ushawishi Tanzania:-
1. Hawapo consistence wanachokihitaji.
2. Maridhiano yaliwafanya wakaonekana walamba asali. Ikambeba Mama kuliko wao.
3. Kumtukana JPM kwenye mikutano ya kwanza ika-back fire kwao!
4. Kuwazoesha watu mikutano ya club house kuliko hadhara
5. Watu wake ni hao hao! Wamezoelekea. Tangu mwaka 2005 ni Freeman, Mnyika, Slaa, n.k. "The law of diminishing return" inafanya kazi.
6. Kushindwa ku-link agenda zao na umasikini wa Tanzania.
Hii siyo chadema labda ni chama kinachoanza kujitafuta kwenye ushawishi.
View attachment 2701483
View attachment 2701484