uwe hodari
JF-Expert Member
- Dec 16, 2022
- 4,045
- 8,608
Safi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna cha nguvu wala niniUmeandika upumbavu
Ila namshauri viongozi wakuu wa chama cha Chadema wakianza kanda inayojumuisha songea wafike Peramio hospital pale kwa uongonzi wa kanisa la pale , waweke shahada ya Maua kwenye kaburi Mahalum pale la sister ambae nafikili kwa sasa utaratibu kuja mtangaza kuwa mtakatifu na mabaki yake nafikili yalisha fukuliwa pale ni shida, watakuja nishukuru badaeHakuna cha nguvu wala nini,
Kura zenu nyinyi wapumbavu na wajinga hatuzihitajiWewe ndio wapaswa kuamka, chama chenye Robo tatu ya viongozi wenye Imani ya Dini moja kisha wakana? Wewe si mpumbavu tu? Si ni bora mngefungua kanisa ili mjipatie Waumini au muende msituni
Kwahiyo mdini ni nani hapo?Wapumbavu wanakinasibisha na udini chama chenye watu wenye akili kubwa!
Achana na kuamini, wewe mwenyewe unaona nini?Masikini unaamini kabisa anayosema Lisu.
Kweli wajinga ndio waliwao
HayaMbwa nyie
Nnachokiona Lisu keshagundua wafiwa wa lile shetani la Chato ukiutukuza tu Mzimu wao basi umewapataAchana na kuamini, wewe mwenyewe unaona nini?
Kaka huku mtaani watu hawana imani na CHADEMA ila raia wanaichukia CCM kwa dhati kabisa. Upinzani wa aina hii ni mbaya na mbaya zaidi CCM anaamini mpinzani wake ni CHADEMA.Nipo viwanja vya mashujaa hapa ndugu zetu wa Chadema hali iliyofikia hivi sasa kinahitaji kufanya mbinu mbadala.
Ni Sawa na kusema Chadema imepoteza udhibiti ushawishi Tanzania:-
1. Hawapo consistence wanachokihitaji.
2. Maridhiano yaliwafanya wakaonekana walamba asali. Ikambeba Mama kuliko wao.
3. Kumtukana JPM kwenye mikutano ya kwanza ika-back fire kwao!
4. Kuwazoesha watu mikutano ya club house kuliko hadhara
5. Watu wake ni hao hao! Wamezoelekea. Tangu mwaka 2005 ni Freeman, Mnyika, Slaa, n.k. "The law of diminishing return" inafanya kazi.
6. Kushindwa ku-link agenda zao na umasikini wa Tanzania.
Hii siyo chadema labda ni chama kinachoanza kujitafuta kwenye ushawishi.
View attachment 2701483
View attachment 2701484
😳😳😳😳😳😳😳😳😳25850=$1
Wakuu, tupo live leo kutokea Viwanja vya Uhuru, Bukoba kwenye uzinduzi wa Operation 255 Katiba Mpya okoa Bandari Zetu ambapo Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe akiongozana na Tundu Lissu na John Mnyika pamoja na viongozi wengine waandamizi wa chama hicho watakuwa wanazungumza.
===
View attachment 2701418
Chopa iliyombeba Freeman Mbowe, Tundu Lissu na John Mnyika ikiwasili uwanjani
John Heche
Dola ya Marekani imefika 2550, maana yake maisha yanazidi kupanda. 90% ya ngano tunaagiza nje. Hii inamaanisha maisha yatakuwa magumu.
Wameuza madini yote, dhahabu, tanzanite, nickel n.k. Wamefikia sehemu wameamua kuuza bandari, sote katika nchi yetu bandari ni uchumi, usalama wa nchi, uhuru wetu. Bila aibu wanazunguka nchi nzima kutetea kuuza bandari zetu.
Lazima tujuandae kuchukua hatua kali dhidi ya Serikali hii.
Ezekiel Wenje
CHADEMA tunaamini katika sera ya majimbo, ni aibu bei ya kahawa Uganda ipo juu Uganda kuliko hapa. Nani ana mashaka kati yenu kuwa CCM imeshindwa kuongoza nchi hii?
Matatizo ya nchi hii hayahitaji maombi, yanahitaji akili. CCM wameishiwa, tukiwagusa tu kidogo wanakimbilia kwenye maombi. Nchi inabadilika kwa fikra, sio kwa maombi.
CCM na serikali wamekiri hawana uwezo wa kuongoza mashirika yetu, leo wamekiri hawana uwezo wa kuongoza bandari. Kama wameshindwa hivyo vichache, watawezaje kusimamia nchi nzima?
Tujipange kwa uchaguzi, tuje tuwashughulikie.
Salum Mwalimu
Tunawaomba ndugu zetu watanganyika tusikanyagane. Tunatambua hasira yenu ya kuitaka Tanganyika yenu na sisi tunawaunga mkono.
Siku nyingi wazanzibari tumewambia (wantanganyika) mmelala, mmezubaa, nmapumbazwa, hamsikii. Leo tunashukuru mmefinywa na nyie mmeamka.
Wazanzibari tulikataa kuua zanzibar yetu, ukienda zanzibar leo kuna serikali yake, kuna Rais wake, kuna mawaziri wake, bunge, spika n.k… vya Tanganyika viko wapi?
Tudai katiba mpya, tuwe na serikali 3. Ndio falsafa na sera ya CHADEMA. Sipo tayari muungano uvinjike, lakini nitakuwa wa kwanza kupiga kura ya kuufanyia mabadiliko, kila mmoja abaki na mamlaka yake na heshima yake.
John Mnyika
Kwa yaliyotokea 2019 na 2020, na kwa uongozi mbovu uliopo sasa unaouza bandari na rasilimali zetu tiba ni kuiondoa madarakani serikali iliyopo sasa.
Lakini tuna kikwazo cha sheria na katiba mbovu zinazofanya uchaguzi usiwe huru na haki, ombi langu kwenu tusiache kudai katiba mpya na tume huru ya uchaguzi.
Tundu Lissu
Kuna mambo ya ajabu sana yanafanywa nchi hii na watu ambao tulidhani wana akili.
Ni lini katika nchi hii mliona CCM inatembea nchi nzima kuunga mkono mkataba wa kugawa nchi yetu kwa nchi nyingine? Chama kizima? Wote
Wosia wa Mkapa kabla hajaaga dunia alituambia aliiba. Haya kaandika mwenyewe kwenye kitabu chake.
Bandazi zote sio zetu tena, kila kinachoitwa bandari katika nchi hii amekabidhiwa Dubai kwa kipindi kisicho julikana.
CCM kwa kuwa Rais Samia ni mwenyekiti wao lazima wafe naye, ndio maana wanaranda nchi nzima. Hii ya Rais Samia ni kubwa, ni mbaya kuliko mikataba mingine yote. Tusimlaumu Magufuli kwenye hili, hayupo. Nilitaka nisiende, lakini sasa nitaenda Chato kumwamsha Magufuli aje aone ya Samia, ya CCM yake, nitaenda waweke askari Barabarani tu.
Mkataba huu mwanzo hadi mwisho hauonesho faida, sisi tutapata nini na wao watapata nini. Ni mkataba wa milele hadi shughuli za ziwa/bahari zitakapoisha. Mnafikiri huyu Rais aliyesaini Mkataba huu amepewa nini mpaka atuuze nini hii?
Hakuna Rais wa Tanzania ambaye katufanyia kitu mbaya kama huyu (Rais Salia, siyo Magufuli pia na unyama wake wote. Hakuna Rais ametapanya mali zetu namna hii.
Tuchukue hatua ya kuhakikisha havuki 2025 akijiita Rais, tusipofanya hivyo bandari hazitarudi. Pia, Katiba yetu imeyengeneza mungu wa nchi, jukumu la pili ni kutengeneza Katiba ambayo itazuia watu wa aina hii.
Nilimsema Mkapa akanishtaki, alikuwa mkatoliki kama mimi. Akaja Kikwete na mambo yake na wizi wake, alikuwa mwislam, tulimwita mwizi akatushtaki. Akaja Magufuli, mkatoliki na yeye, nilisema pia. Rais Samia amegawa pia bandari zetu kwa waarabu sio kwa kuwa ki mwislam, bali kwa kuwa ni mwizi.
Freeman Mbowe
Sera za CHADEMA zimeundwa kwa maneno 4 ambayo ni Haki, Uhuru, Demokrasia na Maendeleo ya watu wetu.
Wanataka kutugawa sababu ya dini, kwenye Mkataba wa Bandari hakuna udini. Kwenye kusimama kwenye haki hatutarudi nyuma, naomba imani zote zisimame kwenye kweli na haki.
CHADEMA inaangamia kwa kukosa maarifa.
Mtaweza?Tutawavunja uti wa mgongo