Tundu Lissu: Hakuna Rais kwenye nchi hii amewahi kutufanyia kitu mbaya kama Rais Samia

Nipo viwanja vya mashujaa hapa ndugu zetu wa Chadema hali iliyofikia hivi sasa kinahitaji kufanya mbinu mbadala.

Ni Sawa na kusema Chadema imepoteza udhibiti ushawishi Tanzania:-

1. Hawapo consistence wanachokihitaji.

2. Maridhiano yaliwafanya wakaonekana walamba asali. Ikambeba Mama kuliko wao.

3. Kumtukana JPM kwenye mikutano ya kwanza ika-back fire kwao!

4. Kuwazoesha watu mikutano ya club house kuliko hadhara

5. Watu wake ni hao hao! Wamezoelekea. Tangu mwaka 2005 ni Freeman, Mnyika, Slaa, n.k. "The law of diminishing return" inafanya kazi.

6. Kushindwa ku-link agenda zao na umasikini wa Tanzania.

Hii siyo chadema labda ni chama kinachoanza kujitafuta kwenye ushawishi.


 
Nipo viwanja vya mashujaa hapa ndugu zetu wa Chadema hali iliyofikia hivi sasa kinahitaji kufanya mbinu mbadala.

Ni Sawa na kusema Chadema imepoteza udhibiti ushawishi Tanzania:..
Wakipoteza ushawishi c ndio vzr kwetu sisi walinda legacy na wanaccm?
 
Siasa za bongo zinahitaji kichwa cha habari tu 😁
 
Nipo viwanja vya mashujaa hapa ndugu zetu wa Chadema hali iliyofikia hivi sasa kinahitaji kufanya mbinu mbadala.

Ni Sawa na kusema Chadema imepoteza udhibiti ushawishi Tanzania:...
Unaugulia Maumivu....rudisheni Ardhi ya Watanganyika
 
Karibu sana Mjini

 
Mbwe na lissu wamezungumza nn
 
Wwe Hauna Akili, unaenda mkutanoni, unatafuta penye watu wachache, unapiga picha unaleta humu.

Mwanaume kua liongo ongo namna hii, alafu Nawewe una Mke ??.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…