Tundu Lissu: Hakuna Rais kwenye nchi hii amewahi kutufanyia kitu mbaya kama Rais Samia

Hakuna cha nguvu wala nini,
Ila namshauri viongozi wakuu wa chama cha Chadema wakianza kanda inayojumuisha songea wafike Peramio hospital pale kwa uongonzi wa kanisa la pale , waweke shahada ya Maua kwenye kaburi Mahalum pale la sister ambae nafikili kwa sasa utaratibu kuja mtangaza kuwa mtakatifu na mabaki yake nafikili yalisha fukuliwa pale ni shida, watakuja nishukuru badae
 
Wewe ndio wapaswa kuamka, chama chenye Robo tatu ya viongozi wenye Imani ya Dini moja kisha wakana? Wewe si mpumbavu tu? Si ni bora mngefungua kanisa ili mjipatie Waumini au muende msituni
Kura zenu nyinyi wapumbavu na wajinga hatuzihitaji
 
Kaka huku mtaani watu hawana imani na CHADEMA ila raia wanaichukia CCM kwa dhati kabisa. Upinzani wa aina hii ni mbaya na mbaya zaidi CCM anaamini mpinzani wake ni CHADEMA.
 
Sasa kama Samia amewafanya vibaya hvy bc JPM aliwanyenyekea sana
 
Kosa kubwa atakalotenda rais ni kuvunja katiba ya nchi iliyomuweka madarakani na kuapa kuilinda. Kama ameivunja ijulukane tu kosa lake
 
Unafiki utammaliza Lissu. Jinsi alivyokuwa anamponda magufuli, leo anataka kutuaminisha kuwa Magufuli alikuwa bora kuliko Samia. 2025 ina mambo! Lissu hawezi kuwa Rais wa TZ hata siku moja. Hata akipewa bajeti yote ya Ubelgiji kuhonga wapiga kura.
 
kwa suala la dp world, nadiriki kusema hakuna Rais aliyewahi kutufanyia hivyo, labda ukiondoa yule mzanzibar mwingine aliyeuza Loliondo. hawa watu nadhani wana shida na mali za Tanganyika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…