Tundu Lissu: Hakuna Rais kwenye nchi hii amewahi kutufanyia kitu mbaya kama Rais Samia

LISSU alisha wa outclass kitambo san iwe bungeni au nje ya bunge!!
 
.
 
Lissu Samia alivoingia ni ww nd ulianza kumshambulia kwasbb ya uzanzibr wake na kwasbb ya uislm wake, leo hii unajikosha kusema hajauza kwasbb ya udini, Acha unafiki Lissu ww. Alaf Lissu ww wako ni wivu tu, hakuna hat rais mmoja ambae kwako amefanya zuri hata moja. Kwenda zako
 
Muongo huyu
 
Wanataka kutugawa sababu ya dini, kwenye Mkataba wa Bandari hakuna udini. Kwenye kusimama kwenye haki hatutarudi nyuma, naomba imani zote zisimame kwenye kweli na haki.
Huu ni mstari unaohitaji kujengewa ukuta wa dhahabu, na CHADEMA wasichoke kuurejea kila mahala wanapokwenda. Wananchi mwishowe watauelewa vyema.
 
Wewe ndio wapaswa kuamka, chama chenye Robo tatu ya viongozi wenye Imani ya Dini moja kisha wakana? Wewe si mpumbavu tu? Si ni bora mngefungua kanisa ili mjipatie Waumini au muende msituni
kama hujui ni kuwa CCM inaanguka kwa sababu hizo hizo unazowalaumu CHADEMA.
Badala ya kutafuta viongozi wenye uwezo wa kuongoza nchi, badala yake CCM inakuwa ni shimo la kuzoa yeyote kwa misingi ya imani tu?
CHADEMA haiwezi kwenda kuzoa wanachama kwa misingi ya imani zao. Kuwa mTanzania na kukipenda chama kwa sera zake inatosha.

Watu wa aina yako ndio mmekimaliza chama cha mapinduzi.
 
Hana jipya na amepoteza credibility kwenye siasa angestaafu kwa ustaarabu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…