Tundu Lissu, hana mapenzi mema na Watanzania

Habari wana JF, huwa sipendelei sana kuiongelea siasa wala hata kutembelea huku upande wa siasa lakini dah Tandu Lissu leo kanileta huku.

Tundu Lissu hana mapenzi mema na nchi yake wala wananchi wa nchi yetu Tanzania. Kwa haya yafuatayo

• Hamtakii mema Rais anaye waongoza wananchi ambao na yeye anahitaji badae kuwaongoza. Kwa maana nyingine kumtakiwa mabaya Rais na kutamani labda kutokupona ni kukubali kuyahatarisha maisha ya watanzania na yeye haweZi kujari kwasababu haishi Tanzania.

• Hana mapenzi mema na Watanzania kwasababu kaonesha chuki binafsi, mwanzo nilijua ni siasa tu hampendi magufuri kisa uongozi lakini imedhihilika wazi kuwa hampendi personal.

• Kwanini asingizie usalama wake na kwenda kuishi Ulaya. Hivi kuna mwananchi gani mjinga atakaye kubali kumchagua mtu asiye yaishi maisha yake. Yani ukaishi ulaya uje kuniomba nikuchague hivi ninawazimu kichwani.

• Kitendo cha kwenda kuishi na kuungana kutafta msaada kwa wazungu walio mtesa mwafrika maelfu ya miaka nyuma ni unyama na maandalizi ya hatari kwa mtanzania.

Kama kweli Tundu Lissu angekuwa anaipenda Tanzania angemuombea mema Rais kwasababu ni matter what happened lakini ishakuwa ndiye Rais haiwezi kubadilika tena kuwa ndiye kiongozi kwahiyo anapo hitaji Rais kutokuwa katika hali nzuri hana mapenzi mema na wananchi wa Tanzania na ni uthibithisho tosha kuwa yeye ni sumu kwa Watanzania wote.

Kwa mfano imedhihirika kuwa hampendi Magufuli sio kisa tu uongozi hadi personal KWANINI, huenda wanachama wote nje ya chadema hatupendi na hawezi kuwa mwema kwa wananchi walio vyama tofauti na chadema.

Mimi namtaka akafute tweet zake zote Twitter zinazo mhusu Magufuli kwasababu ni za chuki na mwanzo mimi nilikuwa namuona mwema kwakuwa anaihubiri amani ila leo anahitaji watu walie damn😢
Jf moderetaz wamlete humu kwenye uzi siku moja ajibu mashtaka,ili tusiendelee kuongea yasiyokuwepo
 
Mimi namtaka akafute tweet zake zote Twitter zinazo mhusu Magufuli kwasababu ni za chuki na mwanzo mimi nilikuwa namuona mwema kwakuwa anaihubiri amani ila leo anahitaji watu walie damn[emoji22]
Kwa yaliyomkuta yule Jamaa , sidhani hata kama ni ww ungekua na huo upendo unao usema wewe , žile risasi alizomiminiwa aisee ni mungu tu , saa izi hakutakiwa kuwepo
 
Mungu siyo wa kudhihakiwa. Meko hata kuingia kwa Shetani itabidi atubu. Maana ukatili wake hata Shetani mwenyewe anasubiri.

Ila Mungu mwache aitwe Mungu. Unamshambulia Lissu kwa risasi 16 kupitia Paul Makonda, unamnyima matibabu, unamnyima mshahara, unamnyang'anya Ubunge. Lakini unaanza KUFA wewe Magufuli. Tulio hai Tujifunze
 
Tundu Lissu hana mapenzi mema na kikundi kidogo cha Watanzania waliopanga na kutekeleza shambulizi la mauwaji dhidi yake. kama wewe hauko ktk kundi hilo huna haja ya kumuogopa Tundu Lissu. Huyu jamaa ni mtu mcheshi, na mwenye msaada kwa watu wengi, haswa wanyonge.
Afie huko. Akikanyaga huku tuning'oa hiyo figo iliyobaki
 
Hiyo haijawahi kujulikana nani aliye husika katika tukio lile. Au wewe unamjua?
Wakati mwingine muwe mnatafakari kabla ya kuandika.
Tangu lini kifo cha raisi kikahatarisha amani ya nchi? Katiba imefafanua sababu za ukomo wa raisi, ikiwemo kifo nayo haina nia njema na watanzania?
Tundu Lisu amepigwa risasi mchana kweupe kama mnyama na yaliyotokea baada ya hapo sote twayajua yamesababishwa na huyo unayemuita mungu unata umpende ili jiwe nn
 
Habari wana JF, huwa sipendelei sana kuiongelea siasa wala hata kutembelea huku upande wa siasa lakini dah Tandu Lissu leo kanileta huku.

Tundu Lissu hana mapenzi mema na nchi yake wala wananchi wa nchi yetu Tanzania. Kwa haya yafuatayo

• Hamtakii mema Rais anaye waongoza wananchi ambao na yeye anahitaji badae kuwaongoza. Kwa maana nyingine kumtakiwa mabaya Rais na kutamani labda kutokupona ni kukubali kuyahatarisha maisha ya watanzania na yeye haweZi kujari kwasababu haishi Tanzania.

• Hana mapenzi mema na Watanzania kwasababu kaonesha chuki binafsi, mwanzo nilijua ni siasa tu hampendi magufuri kisa uongozi lakini imedhihilika wazi kuwa hampendi personal.

• Kwanini asingizie usalama wake na kwenda kuishi Ulaya. Hivi kuna mwananchi gani mjinga atakaye kubali kumchagua mtu asiye yaishi maisha yake. Yani ukaishi ulaya uje kuniomba nikuchague hivi ninawazimu kichwani.

• Kitendo cha kwenda kuishi na kuungana kutafta msaada kwa wazungu walio mtesa mwafrika maelfu ya miaka nyuma ni unyama na maandalizi ya hatari kwa mtanzania.

Kama kweli Tundu Lissu angekuwa anaipenda Tanzania angemuombea mema Rais kwasababu ni matter what happened lakini ishakuwa ndiye Rais haiwezi kubadilika tena kuwa ndiye kiongozi kwahiyo anapo hitaji Rais kutokuwa katika hali nzuri hana mapenzi mema na wananchi wa Tanzania na ni uthibithisho tosha kuwa yeye ni sumu kwa Watanzania wote.

Kwa mfano imedhihirika kuwa hampendi Magufuli sio kisa tu uongozi hadi personal KWANINI, huenda wanachama wote nje ya chadema hatupendi na hawezi kuwa mwema kwa wananchi walio vyama tofauti na chadema.

Mimi namtaka akafute tweet zake zote Twitter zinazo mhusu Magufuli kwasababu ni za chuki na mwanzo mimi nilikuwa namuona mwema kwakuwa anaihubiri amani ila leo anahitaji watu walie damn😢
Tuliza papa
 
Tundu Lissu ana maswali yake... Kama una mapenzi mema na una majibu mjibu tu...
 
lissu hawezi kuwa na mapenzi mema hata siku moja na 'watesi wake'!
Labda uwe na akili ndogo kama kuku usahau unyama aliofanyiwa pale Dodoma tena mchana kweupe!
 
Kitendo cha kwenda kuishi na kuungana kutafta msaada kwa wazungu walio mtesa mwafrika maelfu ya miaka nyuma ni unyama na maandalizi ya hatari kwa mtanzania.
litaka aishi hapa ilimmalize? Mlipanga mauaji mkashindwa kwa uwezo wa Mungu lk leo hii mlaani yeye kuondoka nchini. mashetani makubwa nyie na makatili ya kupindukia!
 
Sijasoma uzi wako kwasababu unaonekana kuwa na chuki na huna logic. Je, kama asingekuwa TL ungejua kinachoendelea? Kwani raisi ni malaika asiugue? Je, kati yako na yeye nani yupo kwenye system na ana connection ya kupa info? Je, ww unge shambuliwa kwa silaha za moto na bado ukakosa haki zako ungekuwepo nchini ilihali bado unapata vitisho vya kutolewa uhai ungebaki? Tusikimbilie tu kuongea kwasababu tuna ndimi na tusiwe wepesi kutumia hisia bali Logic

Back
Top Bottom