The Palm Tree
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 7,951
- 12,541
Habari wana JF, huwa sipendelei sana kuiongelea siasa wala hata kutembelea huku upande wa siasa lakini dah Tandu Lissu leo kanileta huku.
Tundu Lissu hana mapenzi mema na nchi yake wala wananchi wa nchi yetu Tanzania. Kwa haya yafuatayo
• Hamtakii mema Rais anaye waongoza wananchi ambao na yeye anahitaji badae kuwaongoza. Kwa maana nyingine kumtakiwa mabaya Rais na kutamani labda kutokupona ni kukubali kuyahatarisha maisha ya watanzania na yeye haweZi kujari kwasababu haishi Tanzania.
• Hana mapenzi mema na Watanzania kwasababu kaonesha chuki binafsi, mwanzo nilijua ni siasa tu hampendi magufuri kisa uongozi lakini imedhihilika wazi kuwa hampendi personal.
• Kwanini asingizie usalama wake na kwenda kuishi Ulaya. Hivi kuna mwananchi gani mjinga atakaye kubali kumchagua mtu asiye yaishi maisha yake. Yani ukaishi ulaya uje kuniomba nikuchague hivi ninawazimu kichwani.
• Kitendo cha kwenda kuishi na kuungana kutafta msaada kwa wazungu walio mtesa mwafrika maelfu ya miaka nyuma ni unyama na maandalizi ya hatari kwa mtanzania.
Kama kweli Tundu Lissu angekuwa anaipenda Tanzania angemuombea mema Rais kwasababu ni matter what happened lakini ishakuwa ndiye Rais haiwezi kubadilika tena kuwa ndiye kiongozi kwahiyo anapo hitaji Rais kutokuwa katika hali nzuri hana mapenzi mema na wananchi wa Tanzania na ni uthibithisho tosha kuwa yeye ni sumu kwa Watanzania wote.
Kwa mfano imedhihirika kuwa hampendi Magufuli sio kisa tu uongozi hadi personal KWANINI, huenda wanachama wote nje ya chadema hatupendi na hawezi kuwa mwema kwa wananchi walio vyama tofauti na chadema.
Mimi namtaka akafute tweet zake zote Twitter zinazo mhusu Magufuli kwasababu ni za chuki na mwanzo mimi nilikuwa namuona mwema kwakuwa anaihubiri amani ila leo anahitaji watu walie damn😢
Inaonesha wazi kuwa una exposure na ufahamu mdogo sana wa mambo wewe...
Hata sijaelewa exactly, what are you trying to criticise to Tundu Lissu. What I see, is just empty none sense...
Sasa kama hampendi yeye binafsi kama unavyosema, shida yako nini? Hatupendi vyote, na hatuchukii vyote. This is natural to all human beings.....
Kama ambavyo "wewe unampenda", yeye anaweza kuwa " hampendi" kweli kwa sbb alijaribu kumuua akashindwa. Kwa hiyo amefanya choice ya "kutompenda"...
Kwa hiyo wote mko sawa. You all have same share. Yeye ni yeye na wewe ni wewe...