Uchaguzi 2020 Tundu Lissu hana sifa za kuwa Rais na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama

Hebu tulia.Hivi aliyeseama;
-Mimi(CCM)haikuleta tetemeko
-hela za rambirambi zijenge miundombinu
-watu wa Kagera wanakazana mto Ngono
Hayo ni kwa uchache.Aliyatamka nani?Hizo siyo dharau na kejeli?
usichanganye hotuba serious za Rais na pale anapoingiza maneno ya utani kwa watani zake kama alivyokuwa anafanya Mwl Nyerere na hata Rais Kikwete kwa watani zake na mara nyingi viongozi wetu wamekuwa na maneno ya utani sana kwa watani zao pale utani unapohitajika.....hivyo tofautisha maneno ya utani na maneno serious kwa viongozi....lakini kuna mengine alikuwa serious kama pesa kujenga miundo mbinu hilo alikuwa serious kabisa
 
Mmevurugwa kweli kweli poleni sana!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lisu si kwamba hana busaratu vilevile ana kibri na kujiona yeye ni zaidi ya wote. Baatimbaya ukishakua hivyo unakua kipofu wa fikra. Na kwa lisu ningumu kujirekebisha na tabia iyo itamfanya ashindwe kuishi na watu vizuri.
kwa hiyo kwa mashart yako ndio mashart ya kikatiba !! je nani ana busara jiwe na Lisu??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utani?Kuwa serious. Unapokuwa unazungumza na watu waliopata madhila makubwa ya kupoteza wapendwa wao,nyumba na mali zao unapata wapi akili ya kuleta maneno ya kuudhi?Jirekebishe kimtazamo.Tena huishii hapo.Unawanyima na fedha zao za michango ya rambirambi zilizochangwa na hadi watu masikini.
 
Mshauri mkuu wa Magufuli ni Bashite na huyo Bashite hana vyeti unategemea atakuwa anamshauri nini zaidi?
 
Naona Lissu kamwaga mafuta kwenye shimo lenye manyoka waliozaliana miaka mingia sasa yanaangaika kutoka shimoni ya nashindwa
 
mbona mnasumbuka sana na huyu mpambanaji?tulieni,inaonekana anawatesa sana,kumbuka mti wenye matunda ndo unaopigwa sana mawe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kabis amkuu amejaa kibri kabisa mwanaume huyo ....nakumbuka lile Bunge la katiba Lissu alivyokuwa anavuja jasho kwa kubishana kwa nguvu sana mule ukumbini......na hakubali kushindwa kabisa kiasi cha kufanya mjadala kuwa wa upande mmoja tu hata kusikiliza wenzake kabisa......lazima makuzi yake na malezi yake kuna shida pahali as far as Developmental psychology is concern
 
CCM hata kibajaji wale wabunge wajinga wajinga vilaza kama msukuma, simbachawene, ngereja na wenzao ndiyo huwapenda kwa kifupi chaguo za CCM huwa ni watu ambao hupenda kujitoa fahamu
hatusumbi naye ila anahitaji msaada wa kisaikolojia ili awe sawa huyo boss wako mpambanaji
 
mbona mnasumbuka sana na huyu mpambanaji?tulieni,inaonekana anawatesa sana,kumbuka mti wenye matunda ndo unaopigwa sana mawe

Sent using Jamii Forums mobile app
Badala ya CCM kukaa vikao wakatae mbinu za Bashite kuwapiga Risasi Wapinzani wamekalia kubariki mbinu za kishamba kishetani za Bashite huko CCM hakuna anayezinduka sasa wote ni watumwa wa Bashite.
 
CCM hata kibajaji wale wabunge wajinga wajinga vilaza kama msukuma, simbachawene, ngereja na wenzao ndiyo huwapenda kwa kifupi chaguo za CCM huwa ni watu ambao hupenda kujitoa fahamu
Mkuu hao si kwamba hujitoa ufahamu.No.Ni wapumbavu wa kuzaliwa kabisakabisa.
 
Unaposema maneno anayotumia Lissu kwenye public hayafai, Je hayo yanayotumiwa na mwenyekiti wenu kwenye public yanafaa! Shughulikia kwanza boriti iliyo kwenye jicho lako kabla ya kutaka kushughulika na kibanzi jichoni mwa mwenzako.
 
kama psychiatric case amekuwa commander-in-chief, kwa nini sober Lissu asiweze kwa mfano?
 
hatusumbi naye ila anahitaji msaada wa kisaikolojia ili awe sawa huyo boss wako mpambanaji
Nenda kawaambie hayo maneno Watesi huko CCM wanaongozwa na Bashite a.k.a Maliyamungu wa TZ kwani bila wao kumpiga Risasi leo hii Tundu Lisu asingekuwa ulaya wala Marekani mda huu angekuwa yupo Bungeni Dodoma, chanzo ni wao na cha ajabu wao ndiyo chanzo cha kumchonganisha Tundu Lisu na wananchi kwa visingizio vya kijinga kuwa Tundu Lisu analichafua Taifa huko nje wakati wao ndiyo wanalichafua Taifa kwa kumpiga Risasi, yaani CCM inawadharau watanzania kwa kiwango cha kutisha.
 
Ninyi mna matatizo makubwa sana kwenye mbongo zenu.Yaani uongee uongo na upumbavu halafu ubishiwe kwa hoja uchukie?Lissu alikuwa anabisha kwa hoja.Kundi la wahuni wa CCM lilikuwa linakuja na hoja za upotoshaji.Ulitegemea Lissu aseme hewala?
 
Ila jiwe ana sifa za kuwa raisi?

Sent using Jamii Forums mobile app
2020 sifa za kuwa Rais huko CCM zitakuwa hizi 1- lakini uwe na mbinu za kurejesha mfumo wa chama kimoja kwa kuwafunga jela kuwapiga Risasi Wapinzani wote 2- uwe mtalaam wa uchakachuaji kila kona na vilevile uwe na mbinu za kufanya ufisadi kisayansi pasipo kujulikana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…