Uchaguzi 2020 Tundu Lissu hana sifa za kuwa Rais na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama

Mwingine alishindwa kuelewa tu maswali ya mwanahabari licha ya kujibu. Rangi ya ngozi ya mwulizaji ilisababisha mental block!
 
Nyie subjects mnaojibu hoja kwa K47 ndio wenye sifa za kugombea Uraisi?
 
Tatizo upinzani wa Tz unatuzingua kwa sababu huwa hawamuandai mgombea wa raisi badala yake huwa wanamuandaa siku hiyo hiyo ya uchaguzi hapo ndo napowaona wanapwaya.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ccm wameaandaa wahombea wao vipi kuna mabadiliko kwenye maisha ya watanzania
 
kupitia kupigania haki za wananchi kwenye maeneo ya migodi ndipo nilipoanza kumfuatilia Tundu Lissu kuhusu jinsi alivyokuwa anajibizana na waandishi na wageni pale anapokuwa ktk vipindi kwenye TV na ndipo alipofika hata bungeni tabia yake ya majibizano na ubishi na kuonyesha dharau kwa wengine....kuhusu kupigania haki za wananchi kwenye migodi alikuwa yuko sawa kabisa wala hapo sijasema kuwa hakuwa sawa.naongea tabia zake na kiburi na kujiona kuwa yuko juu ya wengine na kuonyesha dharau ya wazi wazi kwa wengine.kisa tu anajua sheria tuna wanasheria wangapi tz na wana hekima na busara.Muone Wakili wa kujitegemea mtoto kutoka Ifakara Wakili Kibatara mbona ana busara sana hekima na Baba yake alikuwa Daktari Bingwa wa Upasuaji kwa sasa ni marehemu lakini mtoto sheria anazijua sana tu na kesi nyingi huwa anashinda huko mahakani lakini ana heshima sana wenzake hata apale anapoona kuwa kuna kasoro kwa wenzake.
 

Kipi kizuri, kipi chanya kilichofanikiwa?
Elimu imekufa si umeeona matokeo?
Biashara zimekufa nenda mijini uone idadi ya makufuli
Diplomasia imekufa tunasemwa vibaya nje
Kilimo kimekufa check korosho
Export imekufa check dola dhidi ya shilling
Usalama wa RAIA mashakani wasiojulikana wana nguvu kuliko dola viroba,utekaji,mauaji
Makusanyo yameshuka pitia ripoti
Awamu iongozayo kwa upigaji, wizi,ufisadi hadi fisadi anapewa ubalozi, ushahidi wa rushwa pewa u rc
Umoja wa kitaifa umekufa ukanda udini check teuzi.
Deni la taifa juu.
 
A
Anguko lake litatokana na bashite, muda utaongea
 
TL ni mjuaji na mwenye kiburi kisicho na faida, sidhani kama alipata malezi mazuri, hafai kabisa, labda kubeba mikoba yake ya vitabu vya sheria na kusunamia kesi mahakamanu, lakini ki uongozi ni Zero.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyie subjects mnaojibu hoja kwa K47 ndio wenye sifa za kugombea Uraisi?
hakuna kitu kama hicho....shambulio la Lissu ni kama shambulio la mtanzania mwingine yoyote yule na tumeona hayo watu wanavamia nyumba ya mtu wanamwambia tumefuata roho yako sali sala yako ya mwisho na anashutiwa na kufa na uchunguzi huwa unafanyika na Jeshi la Polisi.kwani Lissu anatofauti gani na watz wengine.Tatizo lenu ni siku ileile kusema serikali ndo imefanya hayo wakatu huna ushahidi wowote.Ukiambiwa lete ushahidi hakuna hata mmoja aliyepeleka ushahidi huo kule Polisi Dodoma mnabaki tu kalalamika kwenye mitandao.
 
Hafai kuwa Rais kwa mwaka upi, na nani atafaa kuwa rais kwa mwaka upi?

Maana 2020 nadhani magufuli anaendleza harakati hadi 2025 na tukiangalia vema 2025 makonda anaweza kuchukua nchi!

wakati ukuta.
 
 
mtazamo wangu....hafai kuwa Rais hana busara wala hekima anadharau sana.
Wewe hata maana ya busara hujui. Umepoteza muda wako kukaa shuleni lakini huna mchango wowote wa maana katika Taifa.

TL ana makundi ya watu wengi wanaoweza kumtaja katika mambo aliyowasaidia. Kule bungeni Mama Makinda alitamka wazi kuwa TL aliwasaidia katika mengi kuliko Mwanasheria wa serikali.

Hata sasa kwa jitihada zake hizi hatujui ni wangapi amewasaidia ambao tayari walikuwa kwenye orodha ya mfalme ya kupotezwa, kutekwa na kuuawa.

Wewe una msaada gani katika nchi hii zaidi ya kukariri na kukaririrsha?

Hivi unataka tuheshimu michango ya akina Lusinde, Japipo na Musukuma? Watu ambao tunajua hawajui chochote na wala hawajawahi kutoa mchango wowote wa maana mle bungeni? Kuna wabunge wengi, hasa wa CCM, mle bungeni hawajawahi kutoa mchango wowote wa maana hata siku moja. Hao unataka waheshimiwe kwa michango gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nani mwenye sifa hiyo? Nani anayetoa maneno yenye hekima kwenye public ili agombee 2020?
 
Lissu nikibo ya mafisadi ni kikwazo kwa mafisadi wanashindwa kupanua wigo wa ufisadi kwasabu yake wakaona wajibu hoja zake kwa K47
 
Ni kweli 2020 watapata taabu sana ingawa ni mabingwa wa uchakachuaji

Hawategemei kura,pia uenda usiwepo uchaguzi mwakani baada ya hoja ya Miaka 7 kupita. Moja ya sifa za bunge dhaifu duniani ni kupitisha Sheria na sio kutunga Sheria.
 
Ukijua mambo mengi ni lazima uueleze umma pale wanapotaka wengine wanapotaka kuupindisha ukweli.
 
Binafsi Zitto ni bora zaidi kuliko Lissu ktk uraisi.

Lisu ni mwanaharakati ila Zitto ni mwana mageuzi, he is very visionary,accountable and dedicated.

Natamani coalition ya upinzani imsimamishe Zitto
 
Lissu ana akili kuwazidi wabunge wote wa CCM combined.

Nina uhakika hata Bashiru hakuwa anajua tofauti ya Taifa na Serikali.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hili ongezi la serikali vs taifa ni la kijinga sana na kwa kweli wajinga wamelishikia bango.
Taifa linaongozwa na serikali iliyopewa mamlaka na wananchi.
Trust me, Zitto can make a way better president than lissu, thought it will never happen to any of them!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…