Sandinistas
JF-Expert Member
- Jul 5, 2013
- 2,612
- 1,776
Mwingine alishindwa kuelewa tu maswali ya mwanahabari licha ya kujibu. Rangi ya ngozi ya mwulizaji ilisababisha mental block!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyie subjects mnaojibu hoja kwa K47 ndio wenye sifa za kugombea Uraisi?Nimsikia Mhe Tundu Lissu akiwa huko Uingereza kuwa akipata ridhaa ya watanzania na chama chake basi atagombea kiti cha urais katika uchaguzi mkuu ujao wa 2020.
Nimekuwa nikumuangalia Mhe Tundu Lissu alipokuwa mwanaharakati na mtetezi wa madhila waliyokuwa wanapata wananchi katika migodi mbalimbali huko kanda ya ziwa na baadaye kuwa mbunge wa Singida.
Akiwa mbunge katika Bunge la Jamhuri amekuwa ni mchangiaji wa mara nyingi sana na muuliza maswali sana na kuomba kuhusu utaratibu na muongozo wa spika mara kwa mara kiasi cha kusababisha hata kutolwa nje na spika pale anapokataa kutii kiti cha spika.
Nakumbuka hata wakati wa Bunge la Katiba hapo ndipo Mhe Lissu alikuwa mkali kama mbogo kwa baadhi ya taratibu alipoona kama vile zina malengo fulani ambayo hayakuwa na faida kwa baadhi ya makundi.
Kwa ujumla ukimuangalia Mhe Lissu na jinsi anavyochangia mada au hoja na maneno anayotumia kwenye public kiukweli sidhani kama anaweza kuwa sahihi kuwa Rais ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi mkuu wa Majeshi ya ulinzi na usalama.
Kwa mtazamo wangu mimi kiukweli nidhamu ya Tundu Lissu katika kuchangia mada au hoja kwa wenzake huwa kuna dharau kubwa sana anaonyesha kiasi cha kutoheshimu michango ya wenzake na kama ndivyo alivyo basi kiti cha uraisi sidhani kama ni size yake.
Ccm wameaandaa wahombea wao vipi kuna mabadiliko kwenye maisha ya watanzaniaTatizo upinzani wa Tz unatuzingua kwa sababu huwa hawamuandai mgombea wa raisi badala yake huwa wanamuandaa siku hiyo hiyo ya uchaguzi hapo ndo napowaona wanapwaya.
Sent using Jamii Forums mobile app
kupitia kupigania haki za wananchi kwenye maeneo ya migodi ndipo nilipoanza kumfuatilia Tundu Lissu kuhusu jinsi alivyokuwa anajibizana na waandishi na wageni pale anapokuwa ktk vipindi kwenye TV na ndipo alipofika hata bungeni tabia yake ya majibizano na ubishi na kuonyesha dharau kwa wengine....kuhusu kupigania haki za wananchi kwenye migodi alikuwa yuko sawa kabisa wala hapo sijasema kuwa hakuwa sawa.naongea tabia zake na kiburi na kujiona kuwa yuko juu ya wengine na kuonyesha dharau ya wazi wazi kwa wengine.kisa tu anajua sheria tuna wanasheria wangapi tz na wana hekima na busara.Muone Wakili wa kujitegemea mtoto kutoka Ifakara Wakili Kibatara mbona ana busara sana hekima na Baba yake alikuwa Daktari Bingwa wa Upasuaji kwa sasa ni marehemu lakini mtoto sheria anazijua sana tu na kesi nyingi huwa anashinda huko mahakani lakini ana heshima sana wenzake hata apale anapoona kuwa kuna kasoro kwa wenzake.Sijaona mahali popote katika bandiko lako sababu inayokufanya uone kuwa Tundu Lissu hafai kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Rekodi ya utetezi wake katika hiyo migodi na huko bungeni inaonyesha ni mbunge anayetetea haki za wananchi na kupinga kupitishwa kwa Katiba/sheria mbovu. Sijui kwa nini wewe haya unayaona kuwa ni mambo mabaya.
Ungesema kwamba Mh Tundu Lissu hafai kuwa Rais kwa sababu za kukandamiza na kunyima haki raia, na hata kutaka kuondoa roho za raia kwa sababu tu za kupishana hoja hapo ningekuelewa vizuri.
Mh Tundu Lissu anafaa sana kwa sasa kuwa Rais wa Tanzania kutokana na ukiukwaji mkubwa wa haki, kusiginwa kwa katiba na kutofuata taratibu za kisheria zilizopo, mambo ambayo yameshamiri sana wakati huu kiasi cha kuhatarisha umoja wa taifa letu.
Tunataka mtu anayeelewa maana ya kuwa na katiba na kuiheshimu katiba yetu.
pamoja na hayo lakini kitu kinachonikera kwa huyo boss wako mwanasheria ni dharau na kebehi....ameulizwa swali hilo na BBC na pia na VOA kuhusu mazuri ya serikali ya wamu ya tano yeye anajibu kwa kebehi na dharau halafu ndo mnataka awe Rais mtu ambaye hathamini hata michango chanya ya saerikali iliyopo madarakani.sisi hatujakataa kupingwa wala kukosolewa lakini ndo hakuna cha maana hata kimoja kizuri kilichofanyika....watangazaji wa BBC na VOA walikuwa wanashangaa tu kwa majibu ya swali hilo.
Anguko lake litatokana na bashite, muda utaongeaWa kumlaumu ni kikwete kulazimisha membe awe Rais huku akimhujumu Lowasa ndipo kwa hasira timu lowasa wakaamua kumpigia magufuli kura nyingi na jina lake kupitishwa kuwa mgombea wa CCM, kwenye kampeni kote alikuwa mnyenyekevu lakini ghafra alipoingia ikulu akamteua Bashite kuwa mshauri wake mkuu hapo ndipo akaanza udikteta kutokana na Bashite kuingiza fursa zake chuki zake binafsi na kusahau katiba na sheria za Nchi.
Sidhani kama itakuja kutokea tupate mtu ambaye hastahili kuzidi huyu tuliye naye. Amekosa karibia sifa zote.
Hata kama TL hana sifa lakini akilinganishwa na huyu tuliye naye, TL ataonekana malaika.
Sent using Jamii Forums mobile app
TL ni mjuaji na mwenye kiburi kisicho na faida, sidhani kama alipata malezi mazuri, hafai kabisa, labda kubeba mikoba yake ya vitabu vya sheria na kusunamia kesi mahakamanu, lakini ki uongozi ni Zero.Nimsikia Mhe Tundu Lissu akiwa huko Uingereza kuwa akipata ridhaa ya watanzania na chama chake basi atagombea kiti cha urais katika uchaguzi mkuu ujao wa 2020.
Nimekuwa nikumuangalia Mhe Tundu Lissu alipokuwa mwanaharakati na mtetezi wa madhila waliyokuwa wanapata wananchi katika migodi mbalimbali huko kanda ya ziwa na baadaye kuwa mbunge wa Singida.
Akiwa mbunge katika Bunge la Jamhuri amekuwa ni mchangiaji wa mara nyingi sana na muuliza maswali sana na kuomba kuhusu utaratibu na muongozo wa spika mara kwa mara kiasi cha kusababisha hata kutolwa nje na spika pale anapokataa kutii kiti cha spika.
Nakumbuka hata wakati wa Bunge la Katiba hapo ndipo Mhe Lissu alikuwa mkali kama mbogo kwa baadhi ya taratibu alipoona kama vile zina malengo fulani ambayo hayakuwa na faida kwa baadhi ya makundi.
Kwa ujumla ukimuangalia Mhe Lissu na jinsi anavyochangia mada au hoja na maneno anayotumia kwenye public kiukweli sidhani kama anaweza kuwa sahihi kuwa Rais ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi mkuu wa Majeshi ya ulinzi na usalama.
Kwa mtazamo wangu mimi kiukweli nidhamu ya Tundu Lissu katika kuchangia mada au hoja kwa wenzake huwa kuna dharau kubwa sana anaonyesha kiasi cha kutoheshimu michango ya wenzake na kama ndivyo alivyo basi kiti cha uraisi sidhani kama ni size yake.
hakuna kitu kama hicho....shambulio la Lissu ni kama shambulio la mtanzania mwingine yoyote yule na tumeona hayo watu wanavamia nyumba ya mtu wanamwambia tumefuata roho yako sali sala yako ya mwisho na anashutiwa na kufa na uchunguzi huwa unafanyika na Jeshi la Polisi.kwani Lissu anatofauti gani na watz wengine.Tatizo lenu ni siku ileile kusema serikali ndo imefanya hayo wakatu huna ushahidi wowote.Ukiambiwa lete ushahidi hakuna hata mmoja aliyepeleka ushahidi huo kule Polisi Dodoma mnabaki tu kalalamika kwenye mitandao.Nyie subjects mnaojibu hoja kwa K47 ndio wenye sifa za kugombea Uraisi?
Tatizo upinzani wa Tz unatuzingua kwa sababu huwa hawamuandai mgombea wa raisi badala yake huwa wanamuandaa siku hiyo hiyo ya uchaguzi hapo ndo napowaona wanapwaya.
Sent using Jamii Forums mobile app[/QUOTE
Mliyemsukumiza aliandaliwa Na nani, kama hakutokana na msuguano kati ya machinga na mkwere.
Wewe hata maana ya busara hujui. Umepoteza muda wako kukaa shuleni lakini huna mchango wowote wa maana katika Taifa.mtazamo wangu....hafai kuwa Rais hana busara wala hekima anadharau sana.
Nani mwenye sifa hiyo? Nani anayetoa maneno yenye hekima kwenye public ili agombee 2020?Nimsikia Mhe Tundu Lissu akiwa huko Uingereza kuwa akipata ridhaa ya watanzania na chama chake basi atagombea kiti cha urais katika uchaguzi mkuu ujao wa 2020.
Nimekuwa nikumuangalia Mhe Tundu Lissu alipokuwa mwanaharakati na mtetezi wa madhila waliyokuwa wanapata wananchi katika migodi mbalimbali huko kanda ya ziwa na baadaye kuwa mbunge wa Singida.
Akiwa mbunge katika Bunge la Jamhuri amekuwa ni mchangiaji wa mara nyingi sana na muuliza maswali sana na kuomba kuhusu utaratibu na muongozo wa spika mara kwa mara kiasi cha kusababisha hata kutolwa nje na spika pale anapokataa kutii kiti cha spika.
Nakumbuka hata wakati wa Bunge la Katiba hapo ndipo Mhe Lissu alikuwa mkali kama mbogo kwa baadhi ya taratibu alipoona kama vile zina malengo fulani ambayo hayakuwa na faida kwa baadhi ya makundi.
Kwa ujumla ukimuangalia Mhe Lissu na jinsi anavyochangia mada au hoja na maneno anayotumia kwenye public kiukweli sidhani kama anaweza kuwa sahihi kuwa Rais ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi mkuu wa Majeshi ya ulinzi na usalama.
Kwa mtazamo wangu mimi kiukweli nidhamu ya Tundu Lissu katika kuchangia mada au hoja kwa wenzake huwa kuna dharau kubwa sana anaonyesha kiasi cha kutoheshimu michango ya wenzake na kama ndivyo alivyo basi kiti cha uraisi sidhani kama ni size yake.
Lissu nikibo ya mafisadi ni kikwazo kwa mafisadi wanashindwa kupanua wigo wa ufisadi kwasabu yake wakaona wajibu hoja zake kwa K47kupitia kupigania haki za wananchi kwenye maeneo ya migodi ndipo nilipoanza kumfuatilia Tundu Lissu kuhusu jinsi alivyokuwa anajibizana na waandishi na wageni pale anapokuwa ktk vipindi kwenye TV na ndipo alipofika hata bungeni tabia yake ya majibizano na ubishi na kuonyesha dharau kwa wengine....kuhusu kupigania haki za wananchi kwenye migodi alikuwa yuko sawa kabisa wala hapo sijasema kuwa hakuwa sawa.naongea tabia zake na kiburi na kujiona kuwa yuko juu ya wengine na kuonyesha dharau ya wazi wazi kwa wengine.kisa tu anajua sheria tuna wanasheria wangapi tz na wana hekima na busara.Muone Wakili wa kujitegemea mtoto kutoka Ifakara Wakili Kibatara mbona ana busara sana hekima na Baba yake alikuwa Daktari Bingwa wa Upasuaji kwa sasa ni marehemu lakini mtoto sheria anazijua sana tu na kesi nyingi huwa anashinda huko mahakani lakini ana heshima sana wenzake hata apale anapoona kuwa kuna kasoro kwa wenzake.
Ni kweli 2020 watapata taabu sana ingawa ni mabingwa wa uchakachuaji
Ukijua mambo mengi ni lazima uueleze umma pale wanapotaka wengine wanapotaka kuupindisha ukweli.Ni kweli hiyo theory ipo kwenye psychology lakini kwa alikofikia Lissu hapana...kwenye uongozi busara ni muhimu sana na Lissu hiyo busara ameikosa kabisa kila kitu yeye anajiona anakijua na yuko juu wa wengine kwa kila jambo.nina karibu copy ya mijadala yake ya Bungeni huwa namsikiliza sana tu ktk kuchangia hoja zake kwa muda mrefu....ni kweli mambo mengi anayajua lakini ana vuka mipaka sana na hilo ni tatizo kubwa ukiwa kiongozi
[emoji3][emoji3][emoji3] kwahiyo Bashiru nae kilaza?Lissu ana akili kuwazidi wabunge wote wa CCM combined.
Nina uhakika hata Bashiru hakuwa anajua tofauti ya Taifa na Serikali.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hili ongezi la serikali vs taifa ni la kijinga sana na kwa kweli wajinga wamelishikia bango.Lissu ana akili kuwazidi wabunge wote wa CCM combined.
Nina uhakika hata Bashiru hakuwa anajua tofauti ya Taifa na Serikali.
Sent using Jamii Forums mobile app