Zanzibar 2020 Tundu Lissu: Hatuna maslahi na Urais Zanzibar, tutatangaza rasmi kumuunga mkono Maalim Seif

Hao wengie mrema na cheyo matamko yao yaidhinishwa na kamati kuu zao na mikutano mikuu yao

Chadema hilo halipo ni Lisu kujiropokea mwenyewe kwenda mbele
Tupatie mhutasari wa kamati za Chadema na ACT kama huna nyamaza.
 
Tundu Lissu kaleta na kuonyesha vitu tofauti. Atleast kawafundisha watu kusoma word to word sheria na kanuni zetu ili kuepuka maonevu

1. Kathibitisha kwamba hakunaga kitu kinachoitwa ni β€œkosa kikanuni kufanya mikutano na kuhutubia” wakati wa kukusanya sahihi za wadhamini wa form za urais

2. Huwezi kumuita mtu kizembe tu kwa kutangaza kwenye media. Lazima umkabidhi barua mkononi na mpange nae ratiba ya kukutana na sio kumuharibia ratiba zake

3. Umuhimu wa kutumia reference kwenye mambo muhimu. β€œIf Mgombea huyu alifanya hivi na kuachwa, then na sisi tutafanya hivyo na kuachwa piaβ€πŸ˜Š

Dr. Mahera inabidi ujipange aisee. Tumia PhD yako vizuri. Wasomi wote hutafiti kabla ya kuact. Usitegemee kupokea ushauri wa maana kutoka kwa Polepole et al. Utapata taabu saana after Nov 2020
 
Hao wengine Mrema na Cheyo matamko yao yaidhinishwa na kamati kuu zao na mikutano mikuu yao

CHADEMA hilo halipo ni Lissu kujiropokea mwenyewe kwenda mbele
Wafikiri kwa kutumia kamasy nini? Anatangaza na hamna Cha kumfanya. Jino kwa jino mpk 28/10
 
Hao wengine Mrema na Cheyo matamko yao yaidhinishwa na kamati kuu zao na mikutano mikuu yao

CHADEMA hilo halipo ni Lissu kujiropokea mwenyewe kwenda mbele
Wewe ni mjumbe wa kamati za CHADEMA na ACT mpaka useme kuwa haya maamuzi sio ya chama? Wewe jamaa bure kabisa.
 
Na Lissu pia SIYO MGOMBEA bali ni WAKALA WA MABEBERU wakiwakilishwa na AMSTERDAM ambaye anaendelea kumuongoza na kum - MONITOR Lissu kupitia hiyo gadget waliyomfungia mwilini mwake wakati wa matibabu fake huko Ubelgiji.
Utabaki na hayo hayo kichwani sioni wa kukusaidia kukuambia ukweli.
 
Na Lissu pia SIYO MGOMBEA bali ni WAKALA WA MABEBERU wakiwakilishwa na AMSTERDAM ambaye anaendelea kumuongoza na kum - MONITOR Lissu kupitia hiyo gadget waliyomfungia mwilini mwake wakati wa matibabu fake huko Ubelgiji.
Hayo magadget waliyomuwekea ni hatari kwa usalama wa taifa akiwa popote iwe ikulu au kituo cha jeshi au ofisi ya usalama wa taifa yanapiga picha na kubeba taarifa za ofisi alipo na kuzipeleka nje kupitia computer ya Amsterdam jasusi LA kimataifa

MTU ana mi gadget ya kijasusi ya mabeberu mwili mzima hafai u amiri jeshi mkuu
 
Huyu Lissu atawatoa jasho la meno, pamoja na collabo ya ccm, NEC, polisi na msajili bado jamaa anawaacha gap la millenium.
 
Hao wengine Mrema na Cheyo matamko yao yaidhinishwa na kamati kuu zao na mikutano mikuu yao

CHADEMA hilo halipo ni Lissu kujiropokea mwenyewe kwenda mbele
... ndivyo kanuni za NEC zinavyotaka?
 
Hao wengine Mrema na Cheyo matamko yao yaidhinishwa na kamati kuu zao na mikutano mikuu yao

CHADEMA hilo halipo ni Lissu kujiropokea mwenyewe kwenda mbele
Vile vile kama Mtanzania na mpiga kura ana haki ya kumuunga mkono mgombea yeyote. Na amesema Chama nacho kitatangaza msimamo wake....!!
 
Hao wengine Mrema na Cheyo matamko yao yaidhinishwa na kamati kuu zao na mikutano mikuu yao

CHADEMA hilo halipo ni Lissu kujiropokea mwenyewe kwenda mbele
ndo hivo ameshaamua mtateseka sana
 
Vile vile kama Mtanzania na mpiga kura ana haki ya kumuunga mkono mgombea yeyote. Na amesema Chama nacho kitatangaza msimamo wake....!!
Misimamo inatangazwa mara ngapi? Mara ya kwanza wametangaza mgombea wao wa Uraisi wa Chadema Zanzibar sasa wanakuja na mwingine tena kuwa wanamtaka Seif sharrf Hammad huu utoto
 
Upinzani ulishakufa tangu 2015,kilicho baki ni futuhi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…