Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tupatie mhutasari wa kamati za Chadema na ACT kama huna nyamaza.Hao wengie mrema na cheyo matamko yao yaidhinishwa na kamati kuu zao na mikutano mikuu yao
Chadema hilo halipo ni Lisu kujiropokea mwenyewe kwenda mbele
Haupo hawajawahi kaa kikao cha kukubaliana kumuunga mkono Maalim SeifTupatie mhutasari wa kamati za Chadema na ACT kama huna nyamaza.
Wafikiri kwa kutumia kamasy nini? Anatangaza na hamna Cha kumfanya. Jino kwa jino mpk 28/10Hao wengine Mrema na Cheyo matamko yao yaidhinishwa na kamati kuu zao na mikutano mikuu yao
CHADEMA hilo halipo ni Lissu kujiropokea mwenyewe kwenda mbele
Wewe ni mjumbe wa kamati za CHADEMA na ACT mpaka useme kuwa haya maamuzi sio ya chama? Wewe jamaa bure kabisa.Hao wengine Mrema na Cheyo matamko yao yaidhinishwa na kamati kuu zao na mikutano mikuu yao
CHADEMA hilo halipo ni Lissu kujiropokea mwenyewe kwenda mbele
Utabaki na hayo hayo kichwani sioni wa kukusaidia kukuambia ukweli.Na Lissu pia SIYO MGOMBEA bali ni WAKALA WA MABEBERU wakiwakilishwa na AMSTERDAM ambaye anaendelea kumuongoza na kum - MONITOR Lissu kupitia hiyo gadget waliyomfungia mwilini mwake wakati wa matibabu fake huko Ubelgiji.
Hayo magadget waliyomuwekea ni hatari kwa usalama wa taifa akiwa popote iwe ikulu au kituo cha jeshi au ofisi ya usalama wa taifa yanapiga picha na kubeba taarifa za ofisi alipo na kuzipeleka nje kupitia computer ya Amsterdam jasusi LA kimataifaNa Lissu pia SIYO MGOMBEA bali ni WAKALA WA MABEBERU wakiwakilishwa na AMSTERDAM ambaye anaendelea kumuongoza na kum - MONITOR Lissu kupitia hiyo gadget waliyomfungia mwilini mwake wakati wa matibabu fake huko Ubelgiji.
Wewe Quinine huna cha kusema leo? Leo huna "ukweli" Quinine? Basi pole!Sioni wa kukusaidia kukuambia ukweli.
“Sisi CHADEMA tumetangaza rasmi kumuunga Mkono Maalim Seif kama ilivyo kwa Cheyo na Mrema kumuunga mkono Magufuli na hili tutatangaza rasmi muda si mrefu"- Tundu Lissu.
"Kama ilivyosahihi kwa Mrema na cheyo kumuunga mkono Magufuli, ni sahihi kwa Maalim Seif na ACT kuniunga mkono na ni sahihi kwa Tundu Lissu na CHADEMA kumuunga mkono Maalim Seif na ACT." Mhe. @TunduALissu.
“Nikichaguliwa kuwa Rais nitaunda Serikali ya Chadema kwasababu ya Katiba inavyosema. Kama kutakuwa na uhitaji itabidi tubadilishe Katiba kwanza, na moja ya maazimio ya Chadema ikishinda Uchaguzi Mkuu ndani ya siku 100 tutaanzisha mchakato wa Katiba mpya.”Tundu Lissu
“Bob Amsterdam ni Mawakili wangu, wanashughulika na maswala yangu yote yakisheria ya ndani na nje ya Nchi. Kama Tume imeandikiwa barua basi Mawakili wangu wamekuwa wakitimiza wajibu wao, Kama nilivyosema uchaguzi mkuu hatutaki mchezo" Tundu Lissu
===
LISSU: HATUNA MASLAHI NA URAIS ZANZIBAR, NDIO MAANA TUNAMUUNGA MKONO MAALIM SEIF
Mgombea Urais Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA, Tundu Lissu amesema CHADEMA kumuunga mkono Mgombea Urais Zanzibar kwa tiketi ya ACT-Wazalendo sio ushirikiano
Amesema wao hawatatangaza ‘coalition’ ya vyama vyao bali wataungana mkono kwenye maeneo ambayo hawana maslahi nayo. Amesema hawana maslahi na Zanzibar ndio maana wamemuunga mkono Maalim Seif Shariff Hamad
Amesema wamefanya hivyo kama ambavyo Lyatonga Mrema wa TLP na John Cheyo wa UDP walivyomuunga mkono mgombea wa Urais Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM, Dkt. John Magufuli
Amesema hiyo haikatazwi na sheria. Amesema ni muungano wa vyama ndio unatakiwa kisheria kupeleka barua kwa msajili na wao hawana muungano
... ndivyo kanuni za NEC zinavyotaka?Hao wengine Mrema na Cheyo matamko yao yaidhinishwa na kamati kuu zao na mikutano mikuu yao
CHADEMA hilo halipo ni Lissu kujiropokea mwenyewe kwenda mbele
Lissu huyu amepata ubatizo wa damu ndo manaMbowe alikuwa wapi 2015 kuteletea huyu mkombozi?
Vile vile kama Mtanzania na mpiga kura ana haki ya kumuunga mkono mgombea yeyote. Na amesema Chama nacho kitatangaza msimamo wake....!!Hao wengine Mrema na Cheyo matamko yao yaidhinishwa na kamati kuu zao na mikutano mikuu yao
CHADEMA hilo halipo ni Lissu kujiropokea mwenyewe kwenda mbele
ni hasara kwa mgombea urais kutokuwa na weredi kwenye mambo ya kisheria maana atapelewa pelekwa tu kama gunia la viazi pale tandale.Lissu yuko bold, angekuwa Lowassa leo angekuwa Dodoma kwenye maadili.
ndo hivo ameshaamua mtateseka sanaHao wengine Mrema na Cheyo matamko yao yaidhinishwa na kamati kuu zao na mikutano mikuu yao
CHADEMA hilo halipo ni Lissu kujiropokea mwenyewe kwenda mbele
hili bango hawakawii kusema lilikuwa la mwaka 2015 kwenye kampeni.View attachment 1585444
Cc: Dr. Mahera
Misimamo inatangazwa mara ngapi? Mara ya kwanza wametangaza mgombea wao wa Uraisi wa Chadema Zanzibar sasa wanakuja na mwingine tena kuwa wanamtaka Seif sharrf Hammad huu utotoVile vile kama Mtanzania na mpiga kura ana haki ya kumuunga mkono mgombea yeyote. Na amesema Chama nacho kitatangaza msimamo wake....!!