na anawanyoosha kweri-kweri na hili nalisema kwa dhati kutoka moyoni.Huyu ndio kiboko ya mbogamboga sasa 😍
unajichekesha wakati huo-huo machozi yanakutoka.Upinzani ulishakufa tangu 2015,kilicho baki ni futuhi.
Kimenuka !“Sisi CHADEMA tumetangaza rasmi kumuunga Mkono Maalim Seif kama ilivyo kwa Cheyo na Mrema kumuunga mkono Magufuli na hili tutatangaza rasmi muda si mrefu"- Tundu Lissu.
"Kama ilivyosahihi kwa Mrema na cheyo kumuunga mkono Magufuli, ni sahihi kwa Maalim Seif na ACT kuniunga mkono na ni sahihi kwa Tundu Lissu na CHADEMA kumuunga mkono Maalim Seif na ACT." Mhe. @TunduALissu.
“Nikichaguliwa kuwa Rais nitaunda Serikali ya Chadema kwasababu ya Katiba inavyosema. Kama kutakuwa na uhitaji itabidi tubadilishe Katiba kwanza, na moja ya maazimio ya Chadema ikishinda Uchaguzi Mkuu ndani ya siku 100 tutaanzisha mchakato wa Katiba mpya.”Tundu Lissu
“Bob Amsterdam ni Mawakili wangu, wanashughulika na maswala yangu yote yakisheria ya ndani na nje ya Nchi. Kama Tume imeandikiwa barua basi Mawakili wangu wamekuwa wakitimiza wajibu wao, Kama nilivyosema uchaguzi mkuu hatutaki mchezo" Tundu Lissu
===
LISSU: HATUNA MASLAHI NA URAIS ZANZIBAR, NDIO MAANA TUNAMUUNGA MKONO MAALIM SEIF
Mgombea Urais Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA, Tundu Lissu amesema CHADEMA kumuunga mkono Mgombea Urais Zanzibar kwa tiketi ya ACT-Wazalendo sio ushirikiano
Amesema wao hawatatangaza ‘coalition’ ya vyama vyao bali wataungana mkono kwenye maeneo ambayo hawana maslahi nayo. Amesema hawana maslahi na Zanzibar ndio maana wamemuunga mkono Maalim Seif Shariff Hamad
Amesema wamefanya hivyo kama ambavyo Lyatonga Mrema wa TLP na John Cheyo wa UDP walivyomuunga mkono mgombea wa Urais Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM, Dkt. John Magufuli
Amesema hiyo haikatazwi na sheria. Amesema ni muungano wa vyama ndio unatakiwa kisheria kupeleka barua kwa msajili na wao hawana muungano
Kwani wamesema wanakuja na mwingine. Lissu kasema yeye anamuunga mkono Maalimu .... Maalimu kasema anamuunga mkono Lissu. Mrema anamuunga mkono Magufuli na Cheyo anamuunga mkono Magufuli .... Vyama vitasema muda ukifika. What's wrong with that? Kinachofanyika hapa ni COLLABORATION na siyo COALITION ...!!Misimamo inatangazwa mara ngapi? Mara ya kwanza wametangaza mgombea wao wa Uraisi wa Chadema Zanzibar sasa wanakuja na mwingine tena kuwa wanamtaka Seif sharrf Hammad huu utoto
Kuna “2020” kuuuubwa pale. However, hata wakisema ni la 2015 bado ukweli upo palepale. Ni haki ya kikatiba kumuunga mkono umtakaye.hili bango hawakawii kusema lilikuwa la mwaka 2015 kwenye kampeni.
Huna facts zozote.Hayo magadget waliyomuwekea ni hatari kwa usalama wa taifa akiwa popote iwe ikulu au kituo cha jeshi au ofisi ya usalama wa taifa yanapiga picha na kubeba taarifa za ofisi alipo na kuzipeleka nje kupitia computer ya Amsterdam jasusi LA kimataifa
MTU ana mi gadget ya kijasusi ya mabeberu mwili mzima hafai u amiri jeshi mkuu
Katika watu wenye visasi visivyoisha ukiwakosea ni watu wa kigoma kwa Zito Kabwe na wapemba kwa Maalim Seifaisee hakuna wa kumstopisha Lissu.
Wakati wa Mungu ndio wakati sahihiMbowe alikuwa wapi 2015 kuteletea huyu mkombozi?
hahaha mataga umepanic mnooo.Katika watu wenye visasi visivyoisha ukiwakosea ni watu wa kigoma kwa Zito Kabwe na wapemba kwa Maalim Seif
Lisu unakumbuka ulichomfanyia Zito akiwa Chadema? Lisu unakumbuka mlichomfanyia Duni Haji, Mpemba alipokuwa Chadema? Kwa hiyo walishasamehe?
Anyway tunawatakieni muungano mwema wa mashaka wa ACT wazalendo na Chadema
Ila binafsi I smell a rotten rat somewhere
Kabla ya lini, huyu hapa Mrema msikilize hii ni jana.U
Umeshawaona kwenye majukwaaa?
Hao walisema kabala na ndo maana huwaoni wakisimama kupiga kampeni.
Sasa kama mnawaunga mkono ni sawa lakini sio kupanda kwenye jukwaa.
Wewe unayejua timing mbona hukuchukua fomu ya CCM vyombo ya usalama vikuunge mkono.Hana Maslahi na Zanzibar kisha anataka urais.
Lisu hajui timing na hajui ni kea vipi aviteke hata vyombo vya usalama ili vikuunge mkono.
fear of the unknown!! ugonjwa huu ni mbaya na utawatesa sana Lumumba.Hayo magadget waliyomuwekea ni hatari kwa usalama wa taifa akiwa popote iwe ikulu au kituo cha jeshi au ofisi ya usalama wa taifa yanapiga picha na kubeba taarifa za ofisi alipo na kuzipeleka nje kupitia computer ya Amsterdam jasusi LA kimataifa
MTU ana mi gadget ya kijasusi ya mabeberu mwili mzima hafai u amiri jeshi mkuu
Hivi we umesoma utaratibu wa tume kuhusu vyama kuungana au unabwatuka tu?Hao wengine Mrema na Cheyo matamko yao yaidhinishwa na kamati kuu zao na mikutano mikuu yao
CHADEMA hilo halipo ni Lissu kujiropokea mwenyewe kwenda mbele
Bwashee ukiendelea na mitazamo yako hii ya hivi karibuni mwisho nitaanza kukupuuza rasmi kama mboga mboga wenzio.Amechemka kwenye kampeni anatafuta sababu za kuenguliwa sasa!
Mimi nmemuweka Husein Mwinyi!Wewe unayejua timing mbona hukuchukua fomu ya CCM vyombo ya usalama vikuunge mkono.