Zanzibar 2020 Tundu Lissu: Hatuna maslahi na Urais Zanzibar, tutatangaza rasmi kumuunga mkono Maalim Seif

Huyu ndio anajipambanua Rais, asiyetambua muungano lakini anataka kuwa Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania.Msaidieni mwenzenu huyu anaangamia kwa kukosa maarifa
 
Ccm hatutaki maneno mengi.
28.10.2020 tunaenda chinja huyo kibaraka wenu na kule Zanzibar tunamstaafisha yule mamvi
#MagufuliNiMafanikio
#Magufuli5Tena
 
 
Na Lissu pia SIYO MGOMBEA bali ni WAKALA WA MABEBERU wakiwakilishwa na AMSTERDAM ambaye anaendelea kumuongoza na kum - MONITOR Lissu kupitia hiyo gadget waliyomfungia mwilini mwake wakati wa matibabu fake huko Ubelgiji.
Mungu anakuona nothing less nothing more ✊📍🇹🇿
 
Hao wengine Mrema na Cheyo matamko yao yaidhinishwa na kamati kuu zao na mikutano mikuu yao

CHADEMA hilo halipo ni Lissu kujiropokea mwenyewe kwenda mbele
Kama kajiropokea wewe inakuhusu nini???
Wewe tulia tu na usikilize jinsi beberu wanavyochacharika
 
Hao wengine Mrema na Cheyo matamko yao yaidhinishwa na kamati kuu zao na mikutano mikuu yao

CHADEMA hilo halipo ni Lissu kujiropokea mwenyewe kwenda mbele
Kuna vyama vinataka watu wengine watimize democracy wakati vyama vyao havina msamiati huo
 
Nakukumbusha kua mwaka huu moto haujakimbizwa mikoani.
 
Mtaungana mpaka Mtaungama mwaka huu. CCM mbele kwa mbele.


CCM ndembe ndembe kifo cha mende. CCM MBELE KWA MBELE KABURINI , na mwaka huu hatuiziki tunaipiga moto kama BANIANI usibakie hata mfupa.
 
Na Lissu pia SIYO MGOMBEA bali ni WAKALA WA MABEBERU wakiwakilishwa na AMSTERDAM ambaye anaendelea kumuongoza na kum - MONITOR Lissu kupitia hiyo gadget waliyomfungia mwilini mwake wakati wa matibabu fake huko Ubelgiji.


Naona kama vile umepata dawa ya Askofu wako Gwajima
 


Sawa daktari labda mwenzetu ulihitimu kwa mfufuaji na mla mivutu Askofu wako Gwajima
 
Misimamo inatangazwa mara ngapi? Mara ya kwanza wametangaza mgombea wao wa Uraisi wa Chadema Zanzibar sasa wanakuja na mwingine tena kuwa wanamtaka Seif sharrf Hammad huu utoto

Kwako Mtaalamu utu uzima tutangazie hilo jiwe linalogeuka kokoto linalopiga magoti. Hata aweke kibuno juu kama siafu lakini ngoma ngumu, imekula kwake mwaka huu
 
Lisu na Amsterdam wataligwa mchana kweupe oktoba 28.

Na ajiandae kurudi kwa beberu wake


CCM mara hii haizikwi , tunaichoma kama Baniani, lisirudi tena dudu hilo . Limetutesa muda mrefu inatosha
 
NEC mbumbumbu wa sheria, ZEC ndiyo inayosimamia uchaguzi Zanzibar siyo NEC. Kazi ya Msajili wa vyama ni kusajili na kuvilea sio kusimamoa uchaguzi Zanzibar wala Bara. Hivi hawa ndugu elimu zao walizipatia vyuo gani?


Elimu hizo walizipatia kwa Askofu Gwajima huku wakiaminishwa kuwa anaweza kufufua mtu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…