Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,506
- 16,003
Machineries uchwara, ila machineries za kizalendo zinakerwa na mengi tu ajabu yanayoendelea.Narudia Lissu anadharau 'machineries' za nchi yetu Tanzania na anatudharau sisi watanzania!
Je. Mloganzila pia ilikuwepo?imeshindwa kuboresha kwa muda wa miaka 60? KCMC, Mhimbili, Bugando, Haydom nk zilikuwepo kabla ya uhuru
Hakii hii nchi inahitaji ukombozi wa kifikra kama bado kuna watu wana mawazo mgando kama wewe kibaya zaidi waweza kuta umesoma na kidiploma unacho nauliza huko shule mwaenda somea ujinga?Ndugu zangu,
''ukweli mchungu'', hata ukimsikiliza Tundu Lissu yeye anazungumzia ''mikataba'' ''sheria'' huku waziwazi akipuuza uboreshwaji wa elimu,afya, huduma za jamii na miundombinu ya msingi. Hii si bahati mbaya, familia yake inapata huduma za afya,elimu na malazi kutoka Ubelgiji. Leo hata huduma ya kisheria anatumia za mawakili waliopo Ulaya ni dhahiri Lissu hana mpango na Watanzania. Na hata baada ya uchaguzi atatokomea huko huko kuganga njaa.
Tutafakari kwa makini, hoja kwa hoja.
HahaaaahaHuo ni wivu tu, na ww peleka Familia yako ikaishi nje
Akili za kuvukia barabara, hivi bado watu hawajui kwamba Rasi ni taasisi nakwamba nchi siyo kampuni 'a country is not a company'Ndugu zangu,
''ukweli mchungu'', hata ukimsikiliza Tundu Lissu yeye anazungumzia ''mikataba'' ''sheria'' huku waziwazi akipuuza uboreshwaji wa elimu,afya, huduma za jamii na miundombinu ya msingi. Hii si bahati mbaya, familia yake inapata huduma za afya,elimu na malazi kutoka Ubelgiji. Leo hata huduma ya kisheria anatumia za mawakili waliopo Ulaya ni dhahiri Lissu hana mpango na Watanzania. Na hata baada ya uchaguzi atatokomea huko huko kuganga njaa.
Tutafakari kwa makini, hoja kwa hoja.
Miaka 60 pekee ni mlongazila?Je. Mloganzila pia ilikuwepo?
Benjamin Mkapa Hospital, Mloganzila, Mbeya regional Referral Hospital, JKCI nazo zilikuwepo hata kabla ya uhuru?Mbona CCM imeshindwa kuboresha kwa muda wa miaka 60? KCMC, Mhimbili, Bugando, Haydom nk zilikuwepo kabla ya uhuru