Uchaguzi 2020 Tundu Lissu hawezi kuboresha afya, elimu na huduma za jamii sababu familia yake inaishi Ubelgiji

ha haya ma intanesheno eapoti tunayojenga vijijini kwetu ni kwa ajili ya kurahisisha wizi wa nini?
Kwani Mkoa wa Geita una airport nyingine tofauti na inayojengwa Chato? Kwani Kila Mkoa si unatakiwa uwe na kiwanja cha ndege? Kwani kiwanja kile atakitumia Magufuli peke yake? Wananchi wanaoishi Chato na mkoa wa Geita kwa ujumla hawastaili kutumia usafiri wa ndege Kama mikoa mingine?

Acha ubinafsi, hata kule Kuna watu, kwa hiyo wasipiewe huduma kwa sababu raisi anatoka Chato?
 
Nyie watu wengine ni wapuuzi sana kuabudu ukoloni, sijui hamjasoma hata history? Hivi hujui kuwa hiyo miundo mbinu ilijengwa kwa ajili ya kurahisisha wizi wa rasimali zetu kupeleka kwao ulaya? Hivi hayo mahospitali na mashule yalijengwa kwa ajili watanganyika?

Leo Magufuli anapojenga miundo mbinu na Hospitali ni kwa ajili ya Nani Kama sio watanzania, Cha kushangaza wewe unayebeza hiyo miundo mbinu Kila siku unapita na kigari chako kwenye hiyo hiyo barabara, bibi yako kule kijijini anapata huduma kwenye kituo cha afya alichojenga Magufuli.

Ama kweli watanzania hamna shukrani.

Ww utaibiwa nn ndugu yangu? Do u think wazungu wakitaka kitu Tanzania Kuna mtu wa kuwazuia? Acha kuongea ndoto za mchana

So na ww unajidanganya una vitu vingi ambavyo wazungu wanavitaka na hawawez kuvipata kwa ajili ya serikali iliyopo?

Nenda serengeti katikati ya mbuga kule ukaone vitu vya wazungu na hakuna hata mswahili anaenda
 
Kwani Mkoa wa Geita una airport nyingine tofauti na inayojengwa Chato? Kwani Kila Mkoa si unatakiwa uwe na kiwanja cha ndege? Kwani kiwanja kile atakitumia Magufuli peke yake? Wananchi wanaoishi Chato na mkoa wa Geita kwa ujumla hawastaili kutumia usafiri wa ndege Kama mikoa mingine?
Acha ubinafsi, hata kule Kuna watu, kwa hiyo wasipiewe huduma kwa sababu raisi anatoka Chato?
good. kwa statement yako hii unaafiki kuwa wakoloni walipojenga miundombinu ilikuwa si kwa matumizi yao peke yao.
 
Ww utaibiwa nn ndugu yangu? Do u think wazungu wakitaka kitu Tanzania Kuna mtu wa kuwazuia? Acha kuongea ndoto za mchana

So na ww unajidanganya una vitu vingi ambavyo wazungu wanavitaka na hawawez kuvipata kwa ajili ya serikali iliyopo?

Nenda serengeti katikati ya mbuga kule ukaone vitu vya wazungu na hakuna hata mswahili anaenda
We hujanielewa nilikuwa naongelea miundo mbinu kipindi cha ukoloni haikujengwa kwa manufaa yetu sisi Watanganyika, ingawa tulianza kunufaika nayo baada ya wakoloni kuondoka.

Kuhusu wizi wa rasimali kwa awamu hii huwezi linganisha na awamu iliyopita, wewe mwenyewe ni umeshuhudia swala la mikataba ya madini lilivyoshughulikiwa hadi kampuni ya Accacia kufungasha virago. Awamu hii yote hakuna hata kashifa moja ya ufisadi iliyoibuliwa, mzee anazipangua juu kwa juu.
 
Wakudadavuwa,

Tangu uhuru hadi leo karibia miaka 60!!bado huduma za afya ni kitendawili, na ni ccm ndio watawala!! Eti hadi leo mwananchi bado anaahidiwa kuletewa, huduma ya maji na afya?!! Hao viongozi waliokuwa na familia zao hapa hapa nchini miaka yote hiyo suala la afya si lingekuwa hadithi?
 
Mataga mnakwama wapi?Propaganda za kitoto kama hizi pelekeni kwa wajinga!
Mataga hajui hata watoto wa Lissu wanasoma Junior Seminary kule Moro na kila mtu anajua/sio siri.

Hizi story za familia yake kua belgium sijui wanaziokoteaga wapi.
 
good. kwa statement yako hii unaafiki kuwa wakoloni walipojenga miundombinu ilikuwa si kwa matumizi yao peke yao.
Wewe hujasoma historia ya ukoloni, wakati wa ukoloni babu zetu walikuwa Kama watumwa tu, huduma za jamii kama elimu na afya zilitolewa kwa ubaguzi mkubwa, wazungu na wahindi ndo walikuwa na uhakika wa kunufaika na huduma hizo. Watoto wa machifu pekee ndo angalau walipewa upendeleo.

Katika usafiri wa barabara au reli nako ubaguzi ilikuwa hivyo hivyo.

Kwa hiyo huwezi ukasema kuwa wakoloni walijenga miundobinu kwa nia njema ya kumwendeleza Mwafrika, isipokuwa kwa malengo yao ya kurahisisha usafiri wao na usafirishaji wa malighafi na rasimali zetu kwenda bandarini tayari kwa kusafirishwa kwenda ulaya.
 
We hujanielewa nilikuwa naongelea miundo mbinu kipindi cha ukoloni haikujengwa kwa manufaa yetu sisi Watanganyika, ingawa tulianza kunufaika nayo baada ya wakoloni kuondoka.

Kuhusu wizi wa rasimali kwa awamu hii huwezi linganisha na awamu iliyopita, wewe mwenyewe ni umeshuhudia swala la mikataba ya madini lilivyoshughulikiwa hadi kampuni ya Accacia kufungasha virago. Awamu hii yote hakuna hata kashifa moja ya ufisadi iliyoibuliwa, mzee anazipangua juu kwa juu.

Tatizo hakuna mtu yuko free kuongea kama awamu ya jk

Awamu ya jk kila mtu alikuwa free kusema any tetesi, hivi unajua why ilianzishwa sheria ya takwimu?
 
Elewa kitu kimoja maandishi yanakufanya uonekane ulivyo mjinga na mpumbavu au una welevu kiasi gani, wewe umeonyesha ujinga na upumbavu wako kupitia maandishi.
Kwa hiyo wewe kwa matusi hayo inakufanya uonekano mtu wa maana? Mtu ametoa hoja mpinge kwa hoja, sio matusi.
 
Wewe hujasoma historia ya ukoloni, wakati wa ukoloni babu zetu walikuwa Kama watumwa tu, huduma za jamii kama elimu na afya zilitolewa kwa ubaguzi mkubwa, wazungu na wahindi ndo walikuwa na uhakika wa kunufaika na huduma hizo. Watoto wa machifu pekee ndo angalau walipewa upendeleo.
Katika usafiri wa barabara au reli nako ubaguzi ilikuwa hivyo hivyo.
Kwa hiyo huwezi ukasema kuwa wakoloni walijenga miundobinu kwa nia njema ya kumwendeleza Mwafrika, isipokuwa kwa malengo yao ya kurahisisha usafiri wao na usafirishaji wa malighafi na rasimali zetu kwenda bandarini tayari kwa kusafirishwa kwenda ulaya.
yeah right.... kurahisisha usafiri na usafirishaji wa raslimali kwenda intaneshno eapoti iliyojengwa kijijini kwetu badala ya proximity to makao makuu ya mkoa.

huu ni ukoloni tu pia, tofauti na ule wa Wazungu ni rangi tu!
 
Tatizo hakuna mtu yuko free kuongea kama awamu ya jk

Awamu ya jk kila mtu alikuwa free kusema any tetesi, hivi unajua why ilianzishwa sheria ya takwimu?
Awamu hii ukilinganisha na awamu iliyopita mitandao ya kijamii Kama twitter, Facebook, jamiiforum, Instagram n.k ndo vimekuwa vyanzo vikuu vya habari. Katika mitandao hii watu wapo free kutoa maoni yao wengine hata kutukana serikali watakavyo, na wengine hata kutumia akaunti feki kuficha identity.

Awamu iliyopita Zitto alikuwa anaibua kashifa nyingi tu za ufisadi na ana vyanzo vyake vya kumpatia taarifa. Hivi kweli Zitto anayepost Kila siku twitter kuikashifu serikali kwa kashifa hewa angeshindwa kuanika ufisadi mkubwa Kama alivyokuwa anafanya awamu iliyopita?
Mtu Kama kigogo anayetumia akaunti feki ya twitter angeshindwa kuanika ufisadi?
 
Huo ni wivu tu, na ww peleka Familia yako ikaishi nje
Kamanda, pamoja kwamba hata shinda, hili la familia yake kuishi ughaibuni linaonesha ni jinsi gani akili yake haipo Tanzania
 
wakoloni walitujengea hospitali na miundombinu bora kabisa huku familia zao wakiwa wameziacha kwao Ulaya.

ambacho hawakufanya wakoloni ni kujijengea international airports huko vijijini kwao!
Walichokifanya ni kunyonya na kuiba rasilimali na hili ndilo Tundu atafanya kukwiba,kupora na kwenda kuishi ughaibuni. Sumu haionjwi.
 
kuna ambao washakwiba tayari 1.5tr.

hawa cha moto kinawasubiri huko mbeleni, labda wapige mbizi kuelekea hapo visiwani Comoro.
 
Back
Top Bottom