Uchaguzi 2020 Tundu Lissu hawezi kuboresha afya, elimu na huduma za jamii sababu familia yake inaishi Ubelgiji

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu hawezi kuboresha afya, elimu na huduma za jamii sababu familia yake inaishi Ubelgiji

Capture.JPG
 
0
Tumia akili kama unayo hata kiduchu Uwanja wa ndege wa Dar haukujengwa kwa sababu kuna Wazaramo, au cha KIA kwa sababu ya Wameru, Wachaga, Wamasai, wala wa Chato kwa ajili ya Wasukuma hata kama wa Mwanza hauwatoshi. Pamoja na ujinga wako ungejiuliza hao wote wanatumia viwanja hivyo wakienda au wakitoka wapi? Singida wale Wanyaturu na Wanyiramba je?
Tatizo lako wewe umejielekeza kwenye ukabila na matusi juu, serikali ina mkakati wa kuhakikisha kuwa Kila Mkoa unakuwa na kiwanja cha ndege kwa kuboresha kilichopo au kujenga kipya Kama hakipo. Geita ni Mkoa mpya, zamani ilikuwa ni wilaya ndani ya Mkoa wa Mwanza. Kwa hiyo kwa mkakati huo huo Geita nayo inastahili kuwa na kiwanja cha ndege Kama ilivyo mikoa mingine. Kwa hiyo kiwanja cha ndege kujengwa Chato iliyo ndani ya Mkoa wa Geita ni sawa tu.
 
Ndugu zangu,

''ukweli mchungu'', hata ukimsikiliza Tundu Lissu yeye anazungumzia ''mikataba'' ''sheria'' huku waziwazi akipuuza uboreshwaji wa elimu,afya, huduma za jamii na miundombinu ya msingi. Hii si bahati mbaya, familia yake inapata huduma za afya,elimu na malazi kutoka Ubelgiji. Leo hata huduma ya kisheria anatumia za mawakili waliopo Ulaya ni dhahiri Lissu hana mpango na Watanzania. Na hata baada ya uchaguzi atatokomea huko huko kuganga njaa.

Tutafakari kwa makini, hoja kwa hoja.
I wonder matibabu,elimu ni "haki" ya mtu yeyote?

Matibabu na Elimu ni mambo binafsi ya mtu anunue huduma hizi kwa hela zake!

Too bad government yeyote duniani haina hela zake binafsi,hua zinachukua hela kutoka kwa mwananchi mmoja na kumpa mwananchi mwingine,of which is the case in point.

Kila mtu awajibike kwa elimu au matibabu yake....

Serikali iachie elimu na matibabu ziwe sekta binafsi 100%.

Serikali ina promise some stupidity to citizens ili kupata kura which is not correct....

Serikali ina create "haki" outta thin air which shows how stupid the government is....

Kuna mpumbavu anasema "kodi" zetu.....

Kodi zako za 10,000/= kwa mwaka ndio zikupe elimu bure na matibabu bure kwa mwaka mzima?Clearly gharama za kufanya haya ni other wealthy citizens hela zao zinachukuliwa ili wewe mpumbavu,vivu na goigoi upewe elimu bure,matibabu bure....etc

Kila mwanadamu awe responsible for his/her own expenses...

Hii ndio capitalism.....
 
Tundu Lissu ni mjasiriamali, hilo halina ubishi mkuu.
 
Brother kwa nchi zetu hizi zako kiafrika ukiendesha nchi kwa pure capitalism utawaumiza karibu asilimia 90 ya wananchi na kuwanufaisha asilimia 10 tu.

Kwanza tuna changamoto kubwa ya elimu, bado tuna asilimia kubwa Sana ya watu ambao hawana elimu ya kutosha kuweza kupambana na mazingira ya upepari. Kuweza kutambua fursa za kiuchumi na kuzitumia ipasavyo.

Kwa hiyo utajikuta unakuwa na kikundi kidogo Cha watu ambao ni bright wanaoweza kutumia fursa vizuri na kutengeneza mazingira bora yao kiuchumi wakati huhuo asilimia kubwa ya watu hawajui wafanye nini,

matokeo yake kikundi kidogo kinatake advantage ya kuwanyonya walio wengi na kujitajirisha huku umaskini ukitamalaki kwa wananchi walio wengi.

Kwa hiyo serikali inapopractice mixed economy inawalinda pia kundi la watu ambao hawana elimu ya kutosha kupambana na mazingira ya ubepari ambao ni wengi.
 
Ni yeye.hata Kama familia unaishi Somalia. Mfumo wa kimaisha kifamilia umekuwa mgumu mno.watanzania hawajui kesho itaamkaje na hawajui kesho wanakula Nini.ndipo tulikofikia tukiambiwa miradi mikubwa.mirafi mikubwa umefikia hatua Sasa watanzania wafe njaa ?
Sema hujui kwakuwa umeilekeza akili ifikili bila kuwezeshwa huwezi
 
Ndugu zangu,

''ukweli mchungu'', hata ukimsikiliza Tundu Lissu yeye anazungumzia ''mikataba'' ''sheria'' huku waziwazi akipuuza uboreshwaji wa elimu,afya, huduma za jamii na miundombinu ya msingi. Hii si bahati mbaya, familia yake inapata huduma za afya,elimu na malazi kutoka Ubelgiji. Leo hata huduma ya kisheria anatumia za mawakili waliopo Ulaya ni dhahiri Lissu hana mpango na Watanzania. Na hata baada ya uchaguzi atatokomea huko huko kuganga njaa.

Tutafakari kwa makini, hoja kwa hoja.
Nyie mwaka huu mtapata stroke, mwanzo mlisema CDM imekufa sasa tena kauli hazieleweki, tulieni OCTOBER ifike.
 
Ndugu zangu,

''ukweli mchungu'', hata ukimsikiliza Tundu Lissu yeye anazungumzia ''mikataba'' ''sheria'' huku waziwazi akipuuza uboreshwaji wa elimu,afya, huduma za jamii na miundombinu ya msingi. Hii si bahati mbaya, familia yake inapata huduma za afya,elimu na malazi kutoka Ubelgiji. Leo hata huduma ya kisheria anatumia za mawakili waliopo Ulaya ni dhahiri Lissu hana mpango na Watanzania. Na hata baada ya uchaguzi atatokomea huko huko kuganga njaa.

Tutafakari kwa makini, hoja kwa hoja.
Kwani kampeini zimeanza?
Hivi wazungu kama USAID,DANIDA,GTZ na EU wanaishi apo Chato?
 
Hata Palestina haikuwepo ila JK ameweka na ile JK Cardiac pale Mh2 au nalo hulifahamu?
Mimi nafahamu. Swali langu lilimlenga yule aliyesema hakuna kilichofanywa na serikali kwa miaka 60 kwenye afya.
 
Nimeongea na marakizi zangu na wanachama wa CHADEMA wameoneshwa kuhuzinika na jambo hili. Hawapendi kabisa kulisikia maana litapunguza kura za Lissu sana hasa kwa jamii ambayo haina exposure za nchi za nje. Nazani watoto wanaweza rudishwa mapema sana.
Weka clip
 
Kuhusu wizi wa rasimali kwa awamu hii huwezi linganisha na awamu iliyopita, wewe mwenyewe ni umeshuhudia swala la mikataba ya madini lilivyoshughulikiwa hadi kampuni ya Accacia kufungasha virago. Awamu hii yote hakuna hata kashifa moja ya ufisadi iliyoibuliwa, mzee anazipangua juu kwa juu.
Mikataba mpaka sasa haepelekwi bungeni?
 
Brother kwa nchi zetu hizi zako kiafrika ukiendesha nchi kwa pure capitalism utawaumiza karibu asilimia 90 ya wananchi na kuwanufaisha asilimia 10 tu.
Kaka

Africa has always been a free market driven continent....Na hii naongelea Before Christ....Africa was full of loca marketplaces and great empires zilizojengwa na free trade between Africans!

Huu upumbavu wa kusema Africa sio capitalist ni socialist ni upumbavu nisioweza uvumilia..

Socialism ni foreign concept to Africans Nyerere na Nkurumah walienda china na USSR wakakopi kama ilivyo na kuja kutuletea upumbavu!

Natural African system ni free market tangu enzi an enzi...mishale ilijengwa na wanakijiji mmoja mmoja na ilikua owned na hao watu na wala sio jamii nzima..

Kila mtu aliwajibika kwenda kuwinda kulisha familia yake....kutoa msaada kwa wenzake ilikua ni jambo muhimu,na kutoa msaada sio socialism get that clear..

Kulikua na masoko ya wananchi wanafanya butter trade tangu enzi na enzi....Empire kubwa kubwa sprung out of nothing in Africa due to free trade,Songhai,Mali,The Great Zimbambwe Empire,etc....

Hazikutokea kwam "sociolism" walizotuletea hawa vichaa akina Nkurumah na mwenzake JKN..

Hawa wehu walienda China na USSR wakakopi huu upumbavu wakatuletea 1960's haikuchukua 20yrz ikafeli badly maana it is not natural African system of living!!!!

Acheni hivi vituko kabisa!
 
Kwanza tuna changamoto kubwa ya elimu, bado tuna asilimia kubwa Sana ya watu ambao hawana elimu ya kutosha kuweza kupambana na mazingira ya upepari. Kuweza kutambua fursa za kiuchumi na kuzitumia ipasavyo.
Changamoto imetokea sababu ya upumbavu wetu kama civilization....

Kenya wali-adopt capitalism tangu 1960's and they are well off than anybody else kwenye elimu!

Privatise everything up and go to sleep!

Serikali ni machine of oppression,everybody is using it to steal from everybody else on his behalf!

Poor people ambao ni karibia 90% ya watu nchini are the most thugs than all.They are giving votes to politicians who agree to give them elimu,matibabu,etc for FREE!

Unfortunately government has no money themselves....they have it by taking it from somebody else!

In this way,politicians will go and steal from the rich who worked so hard to accumulate wealth and give it for FREE to the poor people 90%!

Also on the flip side this rich 10% do crony capitalism with the politicians to get favours to country's resources owned by all 100%!

Everybody is using the government to still from everybody else for themselves!

Cha kufanya ni privatize everything kusiweko na kitu kinaitwa "Mali ya Umma",no such thing....

Serikali ichukue kodi kufanya fauatayo:

1.Kulinda wananchi wote from foreign thugs
2.Kulinda wananchi wote internal thugs
3.Ku-inforce contract among citizens internally and externally
4.Ku-dispence haki among the citizens (judiciary)
5.Kujenga na kusimamia vitu vyote vinavyotumiwa na umma wote na sio makundi ya watu ...
6.Funds for majanga ya kibinadamu kama pandemics,volcanoes,"acts of god",etc

Reli,viwanja vya ndege,umeme,maji,stendi,mbuga za wanyama,migodi,ardhi yote,magereza,etc BINAFSISHA kwa wananchi....

Mengine kila mwanadamu AJITEGEMEE.....

Kama huwezi jitibia kufa.....huna chakula kufa...huna shule unafungwa jela,huna nguo za kufaa unafungwa jela,mlemavu huna familia ya kukuangalia unakufa....etc
 
Back
Top Bottom