Changamoto imetokea sababu ya upumbavu wetu kama civilization....
Kenya wali-adopt capitalism tangu 1960's and they are well off than anybody else kwenye elimu!
Privatise everything up and go to sleep!
Serikali ni machine of oppression,everybody is using it to steal from everybody else on his behalf!
Poor people ambao ni karibia 90% ya watu nchini are the most thugs than all.They are giving votes to politicians who agree to give them elimu,matibabu,etc for FREE!
Unfortunately government has no money themselves....they have it by taking it from somebody else!
In this way,politicians will go and steal from the rich who worked so hard to accumulate wealth and give it for FREE to the poor people 90%!
Also on the flip side this rich 10% do crony capitalism with the politicians to get favours to country's resources owned by all 100%!
Everybody is using the government to still from everybody else for themselves!
Cha kufanya ni privatize everything kusiweko na kitu kinaitwa "Mali ya Umma",no such thing....
Serikali ichukue kodi kufanya fauatayo:
1.Kulinda wananchi wote from foreign thugs
2.Kulinda wananchi wote internal thugs
3.Ku-inforce contract among citizens internally and externally
4.Ku-dispence haki among the citizens (judiciary)
5.Kujenga na kusimamia vitu vyote vinavyotumiwa na umma wote na sio makundi ya watu ...
6.Funds for majanga ya kibinadamu kama pandemics,volcanoes,"acts of god",etc
Reli,viwanja vya ndege,umeme,maji,stendi,mbuga za wanyama,migodi,ardhi yote,magereza,etc BINAFSISHA kwa wananchi....
Mengine kila mwanadamu AJITEGEMEE.....
Kama huwezi jitibia kufa.....huna chakula kufa...huna shule unafungwa jela,huna nguo za kufaa unafungwa jela,mlemavu huna familia ya kukuangalia unakufa....etc