Uchaguzi 2020 Tundu Lissu hawezi kuboresha afya, elimu na huduma za jamii sababu familia yake inaishi Ubelgiji

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu hawezi kuboresha afya, elimu na huduma za jamii sababu familia yake inaishi Ubelgiji

Hoja nyepesi kweli hii nimejaribu kuifunga jiwe ila bado inaelea
 
Pepo wa upumbavu na ujinga toka
Pepo mchafu toka
Pepo wa kutangatanga toka
Pepo unayemtesa huyu kijana toka
 
We naye famba, mbona hutaji shule za wakoloni, barabara, majengo n.k?
nadhani nimejibu kilichoandikwa, kama unahitaji tutaje shule na barabara zinaonekana nyingi tu, halafu kujibu kistaarabu hauwezi mpaka uanze maneno ya kukaraisha, kuwa mtu mzima basi wakati mwingine
 
Huo ni wivu tu, na ww peleka Familia yako ikaishi nje
wakoloni walitujengea hospitali na miundombinu bora kabisa huku familia zao wakiwa wameziacha kwao Ulaya.

ambacho hawakufanya wakoloni ni kujijengea international airports huko vijijini kwao!
Nyie watu wengine ni wapuuzi sana kuabudu ukoloni, sijui hamjasoma hata history? Hivi hujui kuwa hiyo miundo mbinu ilijengwa kwa ajili ya kurahisisha wizi wa rasimali zetu kupeleka kwao ulaya? Hivi hayo mahospitali na mashule yalijengwa kwa ajili watanganyika?

Leo Magufuli anapojenga miundo mbinu na Hospitali ni kwa ajili ya Nani Kama sio watanzania, Cha kushangaza wewe unayebeza hiyo miundo mbinu Kila siku unapita na kigari chako kwenye hiyo hiyo barabara, bibi yako kule kijijini anapata huduma kwenye kituo cha afya alichojenga Magufuli.

Ama kweli watanzania hamna shukrani.
 
Kama mawazo yako ya asubuhi saa 6:27 AM ndio haya....basi kazi ipo...maana nakumbuka shuleni vipindi vyote vya hesabu vilikuwa asubuhi wakiamini kuwa asubuhi akili zetu zinakuwa 'full charge'...sasa wewe asubuhi tu 'betri low'..
 
Nyie watu wengine ni wapuuzi sana kuabudu ukoloni, sijui hamjasoma hata history? Hivi hujui kuwa hiyo miundo mbinu ilijengwa kwa ajili ya kurahisisha wizi wa rasimali zetu kupeleka kwao ulaya? Hivi hayo mahospitali na mashule yalijengwa kwa ajili watanganyika?

Leo Magufuli anapojenga miundo mbinu na Hospitali ni kwa ajili ya Nani Kama sio watanzania, Cha kushangaza wewe unayebeza hiyo miundo mbinu Kila siku unapita na kigari chako kwenye hiyo hiyo barabara, bibi yako kule kijijini anapata huduma kwenye kituo cha afya alichojenga Magufuli.

Ama kweli atanzania hamna shukrani.
ha haya ma intanesheno eapoti tunayojenga vijijini kwetu ni kwa ajili ya kurahisisha wizi wa nini?
 
Wakudadavua safari za msalani zimekuwa nyingi sana baadaya ujio wa Tundu Lissu.
 
Kwa hatua tuliyofikia kimaisha kuwa ngumu ,hakuna namna ya kumuepuka kumchagua TL kuwa Rais hata Kama familia yake unaishi Afghanistan ,bora
 
Wakudadavuwa,

Elewa kitu kimoja maandishi yanakufanya uonekane ulivyo mjinga na mpumbavu au una welevu kiasi gani, wewe umeonyesha ujinga na upumbavu wako kupitia maandishi.
 
Hakii hii nchi inahitaji ukombozi wa kifikra kama bado kuna watu wana mawazo mgando kama wewe kibaya zaidi waweza kuta umesoma na kidiploma unacho nauliza huko shule mwaenda somea ujinga?
Mkuu huko ni kutapatapa, iansikitisha sana kuona CCM iMEFIKIA KUWA NA WAJENGA HOJA ZA AINA HII!
Kweli wahenga walisema wakati ukuta!
 
Nitajie waziri yoyote ambaye mtoto wake anasoma shule ya kata. Ukimpata hata mmoja uje tuendelee na mjadala.
 
Back
Top Bottom