Watanzania ni maskini sana wa fikra, sasa unapotaja Mloganzila mie mtu wa Mpui Sumbawanga inanihusu nini.Je. Mloganzila pia ilikuwepo?
Duh! Kwa miaka 60 ya uhuru unataja hospital 4, kwa hiyo miaka 60 ijayo jumla zitakuwa 8 kama tukiendelea kuwa na CCM.Benjamin Mkapa Hospital, Mloganzila, Mbeya regional Referral Hospital, JKCI nazo zilikuwepo hata kabla ya uhuru?
Watanzania ni maskini sana wa fikra, sasa unapotaja Mloganzila mie mtu wa Mpui Sumbawanga inanihusu nini.
Talk about the health system. Hiyo ni mbovu sana. Juzi tu Corona imebidi wagonjwa wakimbie Amana hali ilivyo mbaya.
CCM mna dhambi sana.
Acha ubinafsi uliopindukia. Kwani wanaopelekwa kutibiwa Muloganzila siyo watanzania?sasa unapotaja Mloganzila mie mtu wa Mpui Sumbawanga inanihusu nini.
Utajua maana yake muda ukifika. Usiwe na haraka wala wasiwasi, Mkuu.Machineries ndio nini?
Hebu muache kuokota okota maneno!
Naishi Mpui mkoa wa Rukwa ambako hiyo Mloganzila huwa tunaiona kwenye magazetiKamanda wewe unaishi wapi?
Mloganzila ilitakiwa iwepo na Mpui nnakoishi mimi, hayo ndio maendeleo.Acha ubinafsi uliopindukia. Kwani wanaopelekwa kutibiwa Muloganzila siyo watanzania?
Nchi inadumbukia kwenye ufisadi wa kupindukia kwa sababu ya ubafsi wenu kama huu unouonyesha kwenye maandishi. Mafanikio ya mkoa mmoja, kijiji, kimoja, mtu mmoja ni mafanikio ya taifa, maana mafanikio yake yanasambaa ndani ya nchi kwa namna moja mama nyingine.
Tupende mafanikio ya watanzania wenzetu na tuwaombee watumie mafanikio hayo kwa manufaa mapana kwa nchi! Hivyo ndivyo tutaweza kuifanya Tanzania imara kiuchumi na kijamii.
Acha ubinafsi uliopindukia. Kwani wanaopelekwa kutibiwa Muloganzila siyo watanzania?
Nchi inadumbukia kwenye ufisadi wa kupindukia kwa sababu ya ubafsi wenu kama huu unouonyesha kwenye maandishi. Mafanikio ya mkoa mmoja, kijiji, kimoja, mtu mmoja ni mafanikio ya taifa, maana mafanikio yake yanasambaa ndani ya nchi kwa namna moja mama nyingine.
Tupende mafanikio ya watanzania wenzetu na tuwaombee watumie mafanikio hayo kwa manufaa mapana kwa nchi! Hivyo ndivyo tutaweza kuifanya Tanzania imara kiuchumi na kijamii.
Non sense comments.Ndugu zangu,
''Ukweli mchungu'', hata ukimsikiliza Tundu Lissu yeye anazungumzia ''mikataba'' ''sheria'' huku waziwazi akipuuza uboreshwaji wa elimu, afya, huduma za jamii na miundombinu ya msingi. Hii si bahati mbaya, familia yake inapata huduma za afya, elimu na malazi kutoka Ubelgiji.
Leo hata huduma ya kisheria anatumia za mawakili waliopo Ulaya ni dhahiri Lissu hana mpango na Watanzania. Na hata baada ya uchaguzi atatokomea huko huko kuganga njaa.
Tutafakari kwa makini, hoja kwa hoja.
Delete ccm Oct 28Ndugu zangu,

Huyu kaja kuvuruga nchi halafu anaondoka, atuache hovyo, Nyalandu na huyu Tundu wote mngewapiga chini kuna walionielewa hapo, Chadema japo siishabikii hata angebaki mbowe tukamzomea tukafanya lolote lakini angalau kidogo tungekuwa naye lakini sio huyu mkimbizi, ndio maana anafanya mambo anavyotaka yeyeNdugu zangu,
''Ukweli mchungu'', hata ukimsikiliza Tundu Lissu yeye anazungumzia ''mikataba'' ''sheria'' huku waziwazi akipuuza uboreshwaji wa elimu, afya, huduma za jamii na miundombinu ya msingi. Hii si bahati mbaya, familia yake inapata huduma za afya, elimu na malazi kutoka Ubelgiji.
Leo hata huduma ya kisheria anatumia za mawakili waliopo Ulaya ni dhahiri Lissu hana mpango na Watanzania. Na hata baada ya uchaguzi atatokomea huko huko kuganga njaa.
Tutafakari kwa makini, hoja kwa hoja.
Kuhusu afya kaa pembeni hujitambuiMbona CCM imeshindwa kuboresha kwa muda wa miaka 60? KCMC, Mhimbili, Bugando, Haydom nk zilikuwepo kabla ya uhuru.
Hajaisikia ataijuaje, hata hizo anazozitaja hajafika siku nyingi inavyoelekeaJe. Mloganzila pia ilikuwepo?
Mkuu hebu achana na mambo ya hospitali huyajui tafuta mengine uandike la sivyo endelea kuwa msomaji tu wa huu Uzi.Miaka 60 pekee ni mlongazila?
Unapoteza muda kwa huyo jamaa maana hajui kwamba katika hizo hospitals kuna za mashirika ya dini yeye anajua majina tuBenjamin Mkapa Hospital, Mloganzila, Mbeya regional Referral Hospital, JKCI nazo zilikuwepo hata kabla ya uhuru?
Huweji jibizana na hawa wafia Chadema ni kama vinyonga ukijibu hili anadai hujasema hiki ni ngumu Sana kujibizana naoWe hujanielewa nilikuwa naongelea miundo mbinu kipindi cha ukoloni haikujengwa kwa manufaa yetu sisi Watanganyika, ingawa tulianza kunufaika nayo baada ya wakoloni kuondoka.
Kuhusu wizi wa rasimali kwa awamu hii huwezi linganisha na awamu iliyopita, wewe mwenyewe ni umeshuhudia swala la mikataba ya madini lilivyoshughulikiwa hadi kampuni ya Accacia kufungasha virago. Awamu hii yote hakuna hata kashifa moja ya ufisadi iliyoibuliwa, mzee anazipangua juu kwa juu.
Umeona wivu na mwenzako kuandika Kizungu?Andika Kiswahili,kizungu hujui