Tundu Lissu hawezi kumshinda Freeman Mbowe kwa chochote na kwa vyovyote vile atafedheheka sana hususani kwenye uchaguzi wa CHADEMA taifa Januari 21

povu jingi sana, mbowe amelamba sukari ndio itakayomtoa kwenye chadema hiyo hiyo aliyolamba., majuto ni mwisho, alipokuwa Mwenyekiti kweli alihisi chama ni chake atabaki milele madarakani sasa shilingi imegeuka upande wa pili
 
gentleman,
kwamba eti MC Algers atachomoka mbele ya Dar Es Salaam Young Afrca pale Lupaso kwa Mkapa Jan.18.2025?

halafu eti kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi afurukute mbele ya mwamba wa kaskazini pale mlimani city Jan.21.2025?

thubutu wewe
Unauliza nazi chini ya mnazi uliokomaa na kukauka?
 
povu jingi sana, mbowe amelamba sukari ndio itakayomtoa kwenye chadema hiyo hiyo aliyolamba., majuto ni mwisho, alipokuwa Mwenyekiti kweli alihisi chama ni chake atabaki milele madarakani sasa shilingi imegeuka upande wa pili
imemgeukia Kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi right?πŸ’
 
imemgeukia Kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi right?πŸ’
Uyoyo usiyemtaka ndio atakuwa bosi wako utampigia makofi kwenye baraza lenu kuu, ndio munaosema mbowe ana hela kwa sababu mnahongwa shilingi 10 kuuza utu wenu, mfate na msigwa huko au bei yako ni ndogo huuziki
 
relax gentleman,

siasa sio ya kuweka kwa roho, ni vizur ikaishia kwa lungs tu.
Pole sana kambana, ndivyo siasa ilivyo, next time inaweza kua upande wako na ukashinda 🀣
 
Ila anaweza kukushinda wewe?
 
Gentleman kuna vitu nitakukumbusha baada ya uchaguzi
 
Ila anaweza kukushinda wewe?
Yes gentleman,
nikiri tu wazi humu jukwaani, kwamba yapo mambo ambayo, Kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi ananishinda kwa mbali sana, kwa mfano kwenye kuomba omba kuchangiwa mambo mbalimbali na kuropoka ropoka n.kπŸ’
 
Gentleman kuna vitu nitakukumbusha baada ya uchaguzi
Huyu sii tuu wakukumbusha ila wakupeleka shule tena bila ada wala gharama yoyote na apate mahitaji yote,ila aweze kusoma na kuishi maisha mazuri yenye utulivu wa akili,mawazo na mtazamo.
 
Gentleman kuna vitu nitakukumbusha baada ya uchaguzi
ntafurahi na kushukuru mno gentleman, kwa namna ambavyo reference za uchambuzi, maelezo na ufafanuzi wangu kuelekea uchaguzi wa Chadema ngazi ya Taifa utakavyotimia,

huku wadau wa JF as team,
tukibaki kuwa wamoja tukiendelea kuelimishana na kujadiliana mambo mbalimbali ya kitaifa kwa upendo na ungwana wa kiwango cha juu sana πŸ’
 
Vipi siku hizi umehamia Chadema?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…