Tundu Lissu hawezi kumshinda Freeman Mbowe kwa chochote na kwa vyovyote vile atafedheheka sana hususani kwenye uchaguzi wa CHADEMA taifa Januari 21

My friends, ladies and gentleman,
Na huu ndio ukweli mnapaswa kufahamu na kuuelewa vyema kwamba,
Tundu Antipas Mughwai Lisu, hawezi kumshinda Freeman Aikali Mbowe kwa namna yoyote ile, hususan chadema inapoelekea kwenye uchaguzi wa ngazi ya taifa Jan.21.2025.

Hawezi kumshinda kwa kura za wajumbe, kwasababu hana wajumbe wengi wanaomuunga mkono ukilinganisha na wale wengi zaidi wanaomuunga mkkono Mbowe. Lisu hawezi kumshinda Mbowe kwa hoja ispokua manung"uniko, kelele, mdomo na tuhuma za kubuni tu, Lakini pia Lisu hawezi kumshinda mbowe kwa uzoefu, mipango na maarifa katika uongozi ndani ya chadema, kwasababu Lisu yeye muda mwingi hutumia kula raha na mabwenyenye ya magharibi yanayomfadhili yeye na familia yake huko ughaibuni.

Lisu hawezi kumshinda Mbowe kwa fedha wala mali, kwasababu Lisu hana pesa, hana kazi wala biashara zaidi ya kuishi kwa kuomba omba kuchangiwa na wananchi pesa za kujikimu. Lisu hawezi kumshinda Mbowe kwasababu, hana mipango mikakati ya ushindi wala hana sera mpya wala mawazo mapya zaidi ya tuhuma tu, Lisu hawezi kumshinda Mbowe kwasababu haaminiki kabisa ndani ya chadema ispokua mitandaoni tu, Lisu hakubaliki na hana ushawishi wala haeleweki vyema kwa wajumbe wa mkutano mkuu wa chadema Taifa, kutokana na uzalendo wake kughubukwa na mashaka na utata mwingi sana, kwamfano haijulikani bayana anaishi wapi kwasasa, ulaya au africa? na ofisi ya chadema itahamishiwa ulaya au itabaki Africa?

Kubwa zaidi anaonekana kama kuwadi wa ukoloni mambo leo ambae anafanya kazi kwa niaba ya watu wa magharibi wenye nia ovu na tamaa ya rasilimali za Tanzania kwa manufaa yao, familia zao na mataifa yao.

kwa kifupi,
nawashauri wanaoendelea kuwekeza fedha, mali, nguvu, imani na matumaini yao kwa huyu kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi kwamba ni ndoto za alinacha kumshinda Freeman Aikael Mbowe, statesman na mwamba wa kaskazini. mnapoteza muda wenu tu:NoGodNo:

Mungu Ibariki Tanzania.
povu jingi sana, mbowe amelamba sukari ndio itakayomtoa kwenye chadema hiyo hiyo aliyolamba., majuto ni mwisho, alipokuwa Mwenyekiti kweli alihisi chama ni chake atabaki milele madarakani sasa shilingi imegeuka upande wa pili
 
gentleman,
kwamba eti MC Algers atachomoka mbele ya Dar Es Salaam Young Afrca pale Lupaso kwa Mkapa Jan.18.2025?

halafu eti kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi afurukute mbele ya mwamba wa kaskazini pale mlimani city Jan.21.2025? :pedroP:

thubutu wewe:pedroP:
Unauliza nazi chini ya mnazi uliokomaa na kukauka?
 
povu jingi sana, mbowe amelamba sukari ndio itakayomtoa kwenye chadema hiyo hiyo aliyolamba., majuto ni mwisho, alipokuwa Mwenyekiti kweli alihisi chama ni chake atabaki milele madarakani sasa shilingi imegeuka upande wa pili
imemgeukia Kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi right?🐒
 
Uyoyo usiyemtaka ndio atakuwa bosi wako utampigia makofi kwenye baraza lenu kuu, ndio munaosema mbowe ana hela kwa sababu mnahongwa shilingi 10 kuuza utu wenu, mfate na msigwa huko au bei yako ni ndogo huuziki
 
relax gentleman,

siasa sio ya kuweka kwa roho, ni vizur ikaishia kwa lungs tu.
Pole sana kambana, ndivyo siasa ilivyo, next time inaweza kua upande wako na ukashinda 🤣
 
My friends, ladies and gentleman,
Na huu ndio ukweli mnapaswa kufahamu na kuuelewa vyema kwamba,
Tundu Antipas Mughwai Lisu, hawezi kumshinda Freeman Aikali Mbowe kwa namna yoyote ile, hususan chadema inapoelekea kwenye uchaguzi wa ngazi ya taifa Jan.21.2025.

Hawezi kumshinda kwa kura za wajumbe, kwasababu hana wajumbe wengi wanaomuunga mkono ukilinganisha na wale wengi zaidi wanaomuunga mkkono Mbowe. Lisu hawezi kumshinda Mbowe kwa hoja ispokua manung"uniko, kelele, mdomo na tuhuma za kubuni tu, Lakini pia Lisu hawezi kumshinda mbowe kwa uzoefu, mipango na maarifa katika uongozi ndani ya chadema, kwasababu Lisu yeye muda mwingi hutumia kula raha na mabwenyenye ya magharibi yanayomfadhili yeye na familia yake huko ughaibuni.

Lisu hawezi kumshinda Mbowe kwa fedha wala mali, kwasababu Lisu hana pesa, hana kazi wala biashara zaidi ya kuishi kwa kuomba omba kuchangiwa na wananchi pesa za kujikimu. Lisu hawezi kumshinda Mbowe kwasababu, hana mipango mikakati ya ushindi wala hana sera mpya wala mawazo mapya zaidi ya tuhuma tu, Lisu hawezi kumshinda Mbowe kwasababu haaminiki kabisa ndani ya chadema ispokua mitandaoni tu, Lisu hakubaliki na hana ushawishi wala haeleweki vyema kwa wajumbe wa mkutano mkuu wa chadema Taifa, kutokana na uzalendo wake kughubukwa na mashaka na utata mwingi sana, kwamfano haijulikani bayana anaishi wapi kwasasa, ulaya au africa? na ofisi ya chadema itahamishiwa ulaya au itabaki Africa?

Kubwa zaidi anaonekana kama kuwadi wa ukoloni mambo leo ambae anafanya kazi kwa niaba ya watu wa magharibi wenye nia ovu na tamaa ya rasilimali za Tanzania kwa manufaa yao, familia zao na mataifa yao.

kwa kifupi,
nawashauri wanaoendelea kuwekeza fedha, mali, nguvu, imani na matumaini yao kwa huyu kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi kwamba ni ndoto za alinacha kumshinda Freeman Aikael Mbowe, statesman na mwamba wa kaskazini. mnapoteza muda wenu tu:NoGodNo:

Mungu Ibariki Tanzania.
Ila anaweza kukushinda wewe?
 
Gentleman kuna vitu nitakukumbusha baada ya uchaguzi
 
Ila anaweza kukushinda wewe?
Yes gentleman,
nikiri tu wazi humu jukwaani, kwamba yapo mambo ambayo, Kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi ananishinda kwa mbali sana, kwa mfano kwenye kuomba omba kuchangiwa mambo mbalimbali na kuropoka ropoka n.k🐒
 
Gentleman kuna vitu nitakukumbusha baada ya uchaguzi
Huyu sii tuu wakukumbusha ila wakupeleka shule tena bila ada wala gharama yoyote na apate mahitaji yote,ila aweze kusoma na kuishi maisha mazuri yenye utulivu wa akili,mawazo na mtazamo.
 
Gentleman kuna vitu nitakukumbusha baada ya uchaguzi
ntafurahi na kushukuru mno gentleman, kwa namna ambavyo reference za uchambuzi, maelezo na ufafanuzi wangu kuelekea uchaguzi wa Chadema ngazi ya Taifa utakavyotimia,

huku wadau wa JF as team,
tukibaki kuwa wamoja tukiendelea kuelimishana na kujadiliana mambo mbalimbali ya kitaifa kwa upendo na ungwana wa kiwango cha juu sana 🐒
 
My friends, ladies and gentleman,
Na huu ndio ukweli mnapaswa kufahamu na kuuelewa vyema kwamba,
Tundu Antipas Mughwai Lisu, hawezi kumshinda Freeman Aikali Mbowe kwa namna yoyote ile, hususan chadema inapoelekea kwenye uchaguzi wa ngazi ya taifa Jan.21.2025.

Hawezi kumshinda kwa kura za wajumbe, kwasababu hana wajumbe wengi wanaomuunga mkono ukilinganisha na wale wengi zaidi wanaomuunga mkkono Mbowe. Lisu hawezi kumshinda Mbowe kwa hoja ispokua manung"uniko, kelele, mdomo na tuhuma za kubuni tu, Lakini pia Lisu hawezi kumshinda mbowe kwa uzoefu, mipango na maarifa katika uongozi ndani ya chadema, kwasababu Lisu yeye muda mwingi hutumia kula raha na mabwenyenye ya magharibi yanayomfadhili yeye na familia yake huko ughaibuni.

Lisu hawezi kumshinda Mbowe kwa fedha wala mali, kwasababu Lisu hana pesa, hana kazi wala biashara zaidi ya kuishi kwa kuomba omba kuchangiwa na wananchi pesa za kujikimu. Lisu hawezi kumshinda Mbowe kwasababu, hana mipango mikakati ya ushindi wala hana sera mpya wala mawazo mapya zaidi ya tuhuma tu, Lisu hawezi kumshinda Mbowe kwasababu haaminiki kabisa ndani ya chadema ispokua mitandaoni tu, Lisu hakubaliki na hana ushawishi wala haeleweki vyema kwa wajumbe wa mkutano mkuu wa chadema Taifa, kutokana na uzalendo wake kughubukwa na mashaka na utata mwingi sana, kwamfano haijulikani bayana anaishi wapi kwasasa, ulaya au africa? na ofisi ya chadema itahamishiwa ulaya au itabaki Africa?

Kubwa zaidi anaonekana kama kuwadi wa ukoloni mambo leo ambae anafanya kazi kwa niaba ya watu wa magharibi wenye nia ovu na tamaa ya rasilimali za Tanzania kwa manufaa yao, familia zao na mataifa yao.

kwa kifupi,
nawashauri wanaoendelea kuwekeza fedha, mali, nguvu, imani na matumaini yao kwa huyu kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi kwamba ni ndoto za alinacha kumshinda Freeman Aikael Mbowe, statesman na mwamba wa kaskazini. mnapoteza muda wenu tu:NoGodNo:

Mungu Ibariki Tanzania.
Vipi siku hizi umehamia Chadema?
 
Back
Top Bottom